Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

unajua ukijiwekea mazingira ya kuwa na maisha ya utata utata , unajijengea mazingira ya kutokuaminika . NI hivi waarabu walishajijengea mazingira ya kuwa na maisha ya utata na hiyo inaifanya dunia iwe na Imani ndogo na wao , hasa suala lao la misimamo ya utata ya dini . Huenda wakawa na nia njema tu , hasa baada ya maboresho ya mkataba , lakini misimamo yao imewafanya watu wakose Imani nao . Na si vyema ujilazimishe kumuamini mtu ambaye una mashaka nae. Ni bola uishi nae kwa kujihami , itakuwa salama kwako.
 
Huwezi mtenganisha mwarabu na dini kwenye nyanja zote za maisha iwe ni ajira, misaada au maslai yeyeto
 
 
Mbona lilikuwa wazi Toka Mwanzo kwamba hapa ni ishu ya dini siasa ni cover tuu.
 
Naomba nikuhoji kipengele kimoja tu, serikali itachukua faida asilimia 60%. Je unajua kampuni inaweza kuonesha kwamba inapata hasara miaka yote Kwa mbinu za kihasibu? Utakataaje ikiwa nitakuja na hesabu zinazoonesha hasara? Kwa mfano nikaamua kufanya mambo kwenye transfer pricing, depreciation na kuinfalete gharama za manunuzi ya mitambo ya kutumia bandarini? Hapo utatumia criteria gani? Afadhali hata ungesema nitachukua mapato ghafi asilimia kumi ningekuona wa maana. Pia je malipo yatafanyikia benki za Tanzania au za uswisi na uingereza na marekani? Maana inawezekana hujavifikiria vyote hivyo.
 

1. IGA(intergovernmental Agreement) na HGA (Host governmental Agreement)
Ipi inapower swali lako liko very technical..
But ntakujibu kifupi zaidi kuwa IGA ina nguvu kuliko Host kwa sababu host inahusika na Eneo husika ila IGA inahusika na Mataifa mawili...

2.Makosa hayajarekebishwa na HGA ila IGA imebadilishwa au imerekebishwa Baada ya wananchi kulalamika na ndo ilifanya Rais kwenda Dubai tena kufanya marekebisho hayo na hiyo ilienda sambamba na kubadili wizara husika iliyofanya makubaliano na kuitenga kuwa wizara iliyojitenga...

4,5,6,7
Yote maswala haya yatajibiwa kwa pamoja...
mkataba (IGA) ulifanyiwa amendments Mwaka huu na Serikali zote mbili isingeweza kutangaza kuwa inafanya amendments....na kama utakumbuka hta kipengele cha usiri katika kusaini HGA kilikuwepo lakini kimefutwa na umeshuhudia Rasmi HGA zikisainiwa...
Na kingine Kuonekana mkataba hadharani haikuwa nia ya serikali ulivuja!
Je unataka uone na ammendments ,ilizofanyika subiri tena New ammeded IGA ikivuja (kama itatokea lakini)
 
Yeah picha niliipata kuwa Watu hawana imani na waarabu kwa kigezo cha misimamo ya Dini na sio Mkataba
 
Hizi amendment kwenye IGA kwanini ziwe siri? Mbona hazijaenda Bungeni kulidhiwa?
 
Mkuu ndio Maana Ya IGA kuwepo kabla ya HGA kuwepo ukijua kazi za hii mikataba miwili utajibu swali lako
 
Kwa hiyo wewe unamwona muarabu ni mtu mzuri sana kwetu waafrica your very stuupid pig [emoji241]

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Na wewe niambie ubaya wa binadamu hadi huyo mungu waka akaweka jehanamu au mungu ni mpuuzi kama wewe nguruwe

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Me sijazungumzia Mungu mkuu nimezungumzia Mkataba wa DPW IGA na hizo HGA. Piata humu nakushauri, Kama kuna kipengele cha jehanamu au kama kuna kipengel kinataja Mungu ningependa kukifahamu
 
Swali lako la kipumbavu la nikuambie ubaya wa muarabu ndiyo na mimi nikakuuliza ubaya wa binadamu maana jibu ni moja

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Wewe umekuja moja kwa moja na ukauliza hivi
Kwa hiyo wewe unamwona muarabu ni mtu mzuri sana kwetu waafrica your very stuupid pig [emoji241]

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Nikakujibu unipe angalau ubaya wa mwarabu maana wewe umetaja kuwa si mtu mzuri...

Siku nyingine jitahidi kuwa katika hoja
 
Wewe umekuja moja kwa moja na ukauliza hivi

Nikakujibu unipe angalau ubaya wa mwarabu maana wewe umetaja kuwa si mtu mzuri...

Siku nyingine jitahidi kuwa katika hoja
Na mimi kikakuuliza kwa ujumla je ubaya wa binadamu ni upi hadi huyo mungu wako akaumba jehanamu ? Kama ubaya wa binadamu upo ndiyo sababu mungu kaumba jehanamu sasa swali lako ni upumbavu au unataka kutuambia waarabu jehanamu awawezi kwenda ?

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Waarabu hatuwataki mbona hamaikii? Uarabu na uislamu ni kitu kimoja. Tutaanza kushuhudi ugaidi ukitamalaki nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…