Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

Hiyo kwa upande mmoja, na upande wa pili mkataba urekebishwe. Serikali ime-opt upande wa kurekebishwa. To me sioni shida.

Tatizo lako unataka ionekane kuwa waraka wa TEC hauja-impact chochote..!!
Maandishi ya TEC hayakuwa na option mbili mkuu, yalikuwa na option moja tu, tuendeshe wenyewe mbona bank tumeweza ?
Mkataba haujarekebishwa, ila imesainiwa mikataba mahususi tu ambayo toka mwanzo walisema itakuja, IGA haijabadilishwa hata nukta, na jana SSH alisema
 
Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza?
Ukiona mtu anakunyooshea kidole ujue una mambo hayako sawa, hao jamaa asilimia kubwa huwa hawana ubinadamu ni washarishari sana
 
Ukiona mtu anakunyooshea kidole ujue una mambo hayako sawa, hao jamaa asilimia kubwa huwa hawana ubinadamu ni washarishari sana
Tatizo ni kwamba kwa sasa wao ndo wanauchumi mkubwa na unaokuwa kwa kasi!
 
Nenda shule.
🤣🤣🤣 Watanikubali Shule kweli na umri huu maana Umri wangu unakaribia miaka 54 mwezi wa kumi na moja natimiza Sasa naruhusiwa kurudi darasa la Pili B kweli?
 
Natamani kuona hapo ulipoona. Wekeni hapa tuone, isije ikawa mnasema mmeona kumbe mmesikizishwa.
Nivema kuwashukuru walioona uozo wakapiga kelele. Kama so wao hayo mnayoshangilia sasa kama yapo, msinge yaona

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
TEC hawana tofauti na vyama vya siasa vya upinzani vya Tanzania, tofauti ni hivi TEC hujificha kwenye kivuli cha dini tu...
Natamani kuona hapo ulipoona. Wekeni hapa tuone, isije ikawa mnasema mmeona kumbe mmesikizishwa.
Nivema kuwashukuru walioona uozo wakapiga kelele. Kama so wao hayo mnayoshangilia sasa kama yapo, msinge yaona

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Natamani kuona hapo ulipoona. Wekeni hapa tuone, isije ikawa mnasema mmeona kumbe mmesikizishwa.
Nivema kuwashukuru walioona uozo wakapiga kelele. Kama so wao hayo mnayoshangilia sasa kama yapo, msinge yaona

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Na kingine kumbuka huyu ana interest ya kuendesha bandari Mozambique. Anaweza kuamua kupeleka baadhi ya biashara bandari ya Mozambique kama masharti yake ni mazuri. Somehow Kuna tatizo sehemu namna Hawa walivyompa hizo conversion.
 
Ulikubari=Ulikubali
Anyway sikuwahi kukubali mkataba kama ulivyo Unaweza ukafatilia Post zangu nilikuwa napinga sana mpaka utakapo rekebishwa.

Sasa baada ya kurekebishwa bado unataka nipinge?
 
Now you are misleading us. Vipengele vyote ulivyovitaja muda wake ulikuwa bado haujafika. Hata hivyo nikiri, maoni ya wananchi yamesaidia sana Serikali kuwa makini kwenye hii hatua ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…