Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Huo Ukweli ni Mchungu sana Kama Mtu akijaribu Kuumeza au Kuutafuna tu lazima Ateme na Nyongo
 
Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
 
Na ukiendelea kushupaza shingo kudai Chadema itakufa utapukutika kama vumbi la mbao za mnazi , waangalie wenzio waliko
Hapa ndio panapo nishangaza Kuhusu CDM, badala wawaze namna ya kuchukua madaraka wanawaza watu KUFA[emoji38]

Na hakuna chama kinachoitwa cha Mungu kikawa kina maombi au maono ya kutegemea watu wafe "wapukutike" ndio kishike dola.
 
Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
Kaa usubirie hizo ndoto zitimie..

Nipo na kina Mdee hapa wanachoma nyama [emoji38]
 
Waambie hao MATAGA wa lumumba
 
Hapa ndio panapo nishangaza Kuhusu CDM, badala wawaze namna ya kuchukua madaraka wanawaza watu KUFA[emoji38]

Na hakuna chama kinachoitwa cha Mungu kikawa kina maombi au maono ya kutegemea watu wafe "wapukutike" ndio kishike dola.
Kawashangae maccm wenzako habari za cdm wachana nazo maana siyo size yako.
 
Kaa usubirie hizo ndoto zitimie..

Nipo na kina Mdee hapa wanachoma nyama [emoji38]
Wewe na wao hamna tofauti maana jinsia yenu ni moja kwahiyo wewe kuwa nao siyo issue
 
Chadema imewekeza kwenye mioyo ya watu,sio kwenye majengo.
Ukitaka kulifahamu kuwepo na Tume huru ya Uchaguzi na misingi ya Demokrasia ifuatwe.
Mpango wa Mungu mwanadamu hawezi kuzuia!Unapigwa Chepe, CDM inaenderea mbere.
 
CHADEMA ilikuwa inaenda vizuri tu hadi alipokuja tundulipssu. Akija tena, au mwingine kama yeye, kweli itakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…