Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Saccos iliyochangamka (chadema) iko hai kule Twitter tu! Act wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025.
 
Kwiyoooo.
Nyumbu wa Ufipa mnaliwazana eti?
Haaaa,,,,hongera Bavichaa kwa kupumbazana.
Kwani waliotaka kuiua Chadema wote wapo hai kisiasa na kimwili?
Umesahau au tukukumbushe baadhi yao walipo hivi Sasa na wanafanya Nini?
 
Saccos iliyochangamka (chadema) iko hai kule Twitter tu! Act wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025.
Ruhusu mikutano ya Siasa uone mziki wake.
Maana mlivyo waoga hata mikutano ya ndani tu mliyojifanya kuwaruhusu wakiitisha tu mnawakamata.na Sasa mnawazimia Hadi internet.nyie waoga kishenzi.
 
Umefanya vizuri kumpatia elimu ya bure angalau apunguze vapour kichwani mwake.
 
Saccos iliyochangamka (chadema) iko hai kule Twitter tu! Act wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025.
Hata vichaa nao pia michango yao lazima iheshimiwe kama huu wako
 
Rungwe ni mtu poa Sana Hana maneno na mtu.

Hatuwasahau Bali nyinyi hamjasakamwa Kama isakamwavyo Chadema, Kama mgesakamwa na mkavuka vikwazo na mishale mkakwepa tungewapongeza tu.
Wao hata hawajasumbuliwa na sirikali ya jiwe,labda ile kuzuiwa kugawa rushwa ya ubwabwa wakati Wa kampeni
 
Kuna watu kama Halima Mdee, Bulaya, Matiko n.k. ambao walikuwa wakisimama Bungeni watu wanawasikiliza kutokana na umahiri wao wa kuikosoa serikali na kuchambua mapendekezo ya sheria yaliyokuwa yanapendekezwa. Tukawaamini sana na kuwasifia weledi wao. Sasa wamehamia upande wa pili michango yao inaonekana kama ni kutimiza wajibu tu. Kumbe ule weledi tuliokuwa tunauona ulitokana na chama chao cha wakati ule.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…