Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Status
Not open for further replies.
atuelezee vizuri jinsi ya kupokea pesa
hii itamuongezea wateja


Refer to this brother, niko tayari kufafanua zaidi sehemu isiyokua clear.
.
 
mkuu mimi nataka nitoe pesa M pesa nipeleke PayPal hapo unanisaidiaje mkuu
 
mkuu mimi nataka nitoe pesa M pesa nipeleke PayPal hapo unanisaidiaje mkuu
 
.


.
Kama nilivoelezea hapo mkuu, ila naahidi improvements. Ila at the moment nikishuka im risking being the one loosing my own money. Napokea ushauri wowote pia btw mkuu
Hii itawasidia watz kuuza vitu nje kwa ebay na mitandao mingine, kupata trust ya watu sio kazi kama kupambana na hiyo gharama ya 1700, naamini sana kwa hatua uliyopiga so far umejitahidi sana sasa usiishie hapo, na kama ukiweza nenda mbali zaidi kuongea na mamlaka husika(if posible unaweza ongea na makampuni ya simu) wakupe backup au hata ushauri!!

Mkuu kwa hatua uiyopiga bila kujali kesho itakuaje nakupa pongezi kiongozi, well done!!
 
je unanufaika vipi......nijibu,,,,,,,,,
 
Ndiyo Mkuu sikuiconnect
Chukua card ya UBA au EQUITY Bank mkuu, unachohitaji ukienda kwao ni ID ya mpiga kura tu pamoja na sh 11 ya gharama za kadi tu, wanakupa na card siku hiyo hiyo. Unaijaza kwa Mpesa na kuitumia kwa manunuzi yote online.
 
je unanufaika vipi......nijibu,,,,,,,,,
Mwisho wa siku my aim ni kuweka fee ya 1% - 3% ya pesa kwa kutumia hii service. Nimekuwa nikitumia mimi kutoa pesa zangu mara kwa mara mtandaoni na gharama kwa ujumla nimeona zimekuwa around 10-20% ya pesa kwa miamala ya juu ya 100$ ivi na kama around 10%-15% kwa miamala midogo midogo ya chini. Kwa sasa japo nimefanya miamala kadhaa lakini gharama zimekuwa zikitofautiana mara kwa mara kwaio nimeweka flat rate ya 20% at the moment ili kuzuia nisipate hasara. Nafuatilia exact prices na ndo maana nasema in the very near future hii kitu itakua very well put better exchange rates pia. Ila at the moment, ndo iko ivyo.
 
umesomeka mseeeee
 
Chukua card ya UBA au EQUITY Bank mkuu, unachohitaji ukienda kwao ni ID ya mpiga kura tu pamoja na sh 11 ya gharama za kadi tu, wanakupa na card siku hiyo hiyo. Unaijaza kwa Mpesa na kuitumia kwa manunuzi yote online.
shukrani Mkuu yani kesho sichelewi mapema sana hapa Morogoro nipo jirani nao
 
Wakuu mfano nataka nifanye malipo kwa mtu wa ng'ambo kutoka benki yangu kwenda kwenye PayPal yake inawezekana?
 
Kuna faida ya kufuata correct channels.

Wacha tusubiri BOT warekebishe sheria.
 
Wabongo bana!! nna uhakika wewe ni mtu wa IT, mpongeze mwenzako walau ana mawazo ya kusaidia na kujenga nchi!!!
Si nimeingia. furthermore huwezi fanya pesa za watu kwa majaribia huyo third-party sio company ni mtu akikimbia na pesa je
 
salaam
mimi nataka kutransfer from paypal to mpesa / vipi hapo mnanisadia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…