Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Status
Not open for further replies.
salaam
mimi nataka kutransfer from paypal to mpesa / vipi hapo mnanisadia?
Ndio mkuu, nnaweza kukusaidia. Ndio lengo la hiyo huduma ambayo nimefungua kwenye ukurasa huo wa facebook, taratibu ziko kama zinavoonekana. Na hizo nimeweka ni namba zangu personal kama unahitaji msaada zaidi.
 
Mr Good guy mimi nina neno hapa, utanirekebisha kama sitakuwa sawa, Iko hivi mimi nilishawahi kupurchase item eBay kupitia PayPal yangu ambayo ipo connected na CRDB Acc baada ya muda yule seller akanicontact kunieleza kwamba hawezi kutuma mizigo TZ hivyo akasema atanirefund, baada ya Muda pesa ikawa imerudi kwenye account yangu ya CRDB directly, nilipata tu notification kupitia eBay na PayPal kwamba kuna kiasi fulani kimeingizwa kwenye Acc yangu na niliweza kuziaccess zile pesa through my bank account, Je hili lipoje mnaposema mtu hawezi kuwithdraw pesa iliyotumwa toka nje kwa PayPal ukiwa TZ?
 
Wazo zuri sema kuna ukakasi kiasi flani kwenye uaminifu, na tena watu hatujuani physical ndo inaongeza uguma kabisa.
Tusubiri tu BoT wataruhusu kwani ukuaji wa kasi wa teknolojia kwa Tz uko juu.
Na tutaendelea kutumia watu tunao wajua kuweza kutuchukulia pesa kama una umuhimu sana na sio hii .
Pia kwa upande wangu uwa nazitumia pesa hizo hizo kufanyia malipo kwa njia ya mitandao ni bora hivyo kuliko kuzi withdraw kwa hii njia.
TRUST 0
 
hizo ni pesa zako wamefanya kukurudishia tu
tunaposema huwezi kupokea au kuwithdraw pesa za paypal ukiwa Tz tunamaanisha hivi let's say umefanya kazi mtandaoni na mtu amekulipa kwa paypal labda kutoka kenya au USA sasa ukitaka kuwithdraw kwenda kwenye bank account yako haitawezekana na ukiwauliza watakuambia Shida ni benki kuu ya nchi yako(BOT) haijaruhusu hii kitu
Tanzania kwa sasa tunaweza kufanya manunuzi na kupokea refunds tu
wenzetu kenya wanaweza kuwithdraw mpaka kwenye mpesa sisi Tanzania bado tupo nyuma sana
 
Okay brother.
 
Direct wire transfer inawezekana. Meaning kama kuna site wanalipa na ukawapa debit card information zako wanakulipa na inaingia in your account. Lakini watu wengi hawatumii direct card transactions maana ni rahisi taarifa zako kuzitoa kwa watu wasio salama wakakuibia. Hivyo hutumia paypal kufanya malipo, kwaio unawapa paypal taarifa zako wao wanakua wanatoa hela, shida sasa ya withdraw ni kwamba ili utoe pesa kwenye wallet yako paypal inabidi ulink bank account yako kama ulivolink kadi yako mwanzo. Huwezi kulink iwapo paypal haijafungua gateway kwa nchi yako kuweza kupokea pesa. Hence huwezi kuzitoa. So shida kwa sasa ni paypay haijaruhusu kupokea pesa in Tz hence huwezi hata kulink na bank acc na hivyo huwezi kutoa kitu
 
Poa ila sio kama na ku discourage sana. Wengi najua jinsi pesa hilivyo hadimu time hii. Thus why the take caution.
I understand, probably ningekua na same conclusion if i were in your shoes so it's no problem.
 
Sawa sawa hapo kweli tunafelishwa mambo mengi na BOT yetu
 
 
Vipi kuhusu hawa watu wanaitwa pesapal Opération zao zikoje kwa hapa kwetu Tanzania,
 
Kuna wale IPay Africa naona iko vizuri inatumika kwa templerfx


Kwa wale wa foreign exchange
 
Mkuu unaweza kuniwekea pesa yangu paypal nikikutumia pesa ?
 
Mkuu unaweza kuniwekea pesa yangu paypal nikikutumia pesa ?

Swali zuri nami ningependa kufahamu tafadhali

Mambo vipi, kuna mambo kadhaa hapo. Kwanza kabisa kuweka hela / kutumia paypal kufanya malipo sio lazima mtu mwingine akuwekee. Bank karibu zote sasa hivi zinatoa card za mastercard na visa ambazo zinakuwezesha kulink kwenye paypal na kutoa pesa. Yeyote anaweza kufanya hivyo. Na kama hauna kadi, unahitaji kuwa na kitambulisho tu na bank kama equity au UBA wanakupa card hiyo ndani ya dakika 10 unaiwekea pesa kwa mobile money izi na baada ya hapo unaweza kuiunga na paypal na kufanya manunuzi. Kutumia details za kadi yangu (au mtu mwingine really) ni kazi kidogo hiyo. Kama ulitaka utumiwe kwenye balance ya paypal hiyo inawezekana tukaongea, lakini nayo inabidi kujua ya kwamba account kama umeifungua hapa TZ kawaida haiwezi kupokea, meaning nikikutumia pesa itabounce back.
 
Jamaa ni mwaminifu nimefanya kutoa kiasi changu cha pesa kwenye paypal kwenda kwa email yake tanzaniapaypal@gmail.com naona imekubali na imemfikia na kanitumia pesa yangu kwa njia ya mpesa sema makato ndo makubwa ila inasaidia sana nachoomba apunguze gharama za liba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni huu hapa.ya kuwa kanitumia nami pesa nikaitumia kwa shida zangu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…