Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Status
Not open for further replies.
Binafsi wewe nakufahamu kama Tapeli hata Waunganisha bando huwa unawa support kwa Kuleta shuhuda za uongo hadi wanatapeliwa
Una laana si bure lini nimewahi kutapeli pesa ya mtu ? Sijawahi kutapeli mtu na kama nimemtapeli ajitokeze .kwanza toka lini nikashauri mtu anunue vifurushi kwa mtu km hana imani nae? Acha ujinga ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una laana si bure lini nimewahi kutapeli pesa ya mtu ? Sijawahi kutapeli mtu na kama nimemtapeli ajitokeze .kwanza toka lini nikashauri mtu anunue vifurushi kwa mtu km hana imani nae? Acha ujinga ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni tapeli mkubwa Yaani kulia lia kwako hakuwezi kubadilisha ukweli wewe umekua ukitumika kuita watu kwenye project nyingi za Kitapeli Mimi mwenyewe nikiamua naweza kukukamata sema tu nakuacha watu wanafanya manunuzi ya Pesa ndefu Online lakini wewe unakuja na vi transactions vyako vya buku na Buku mbili.

Utapeli hautakusaidia kijana Fanya Kazi nataka utamke mbele ya wanajamii Forums kua umeacha utapeli Otherwise nikiamua Ndugu zako watakuokota kwenye kiroba.
 

Nashukuru kwa comment yako mkuu, nashughulikia bado. Kuna vikwazo nakutana navyo lakini nashughulika kuvivuka. Natumai mambo yatakuwa mazuri zaidi mbeleni.
 
Yaani ww wacha nikuache hunifahamu sikufahamu na sijawahi kufanya biashara na mbwa kama ww wala sijakwambia ufanye biashara na huyo mtu mimi nimeleta feedback tu kwa anaeyeamini basi aamini na sijawaambia mfanye biashara nae kama hauna imani nae we kenge kabisa .. unaniita tapeli toka lini nimekushawishi ukatapeliwa ?nimeshauri wangapi wafanye biashara na watu humu ndani ? Usiongee kama malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa comment yako mkuu, nashughulikia bado. Kuna vikwazo nakutana navyo lakini nashughulika kuvivuka. Natumai mambo yatakuwa mazuri zaidi mbeleni.
Kaza boss watanzania akili zao nusu vijiko ila kwa waelewa watafanya kazi nawe msingi usikate tamaa maana wengi imani zao chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oooooohhh mhhgggg
 
Mwanangu we ni Kibaka wa Mitandaoni unawaibia kinyama US$50 ni kama TSh.113,000 hivi lakini unawapuna na kuwapa Sh.87,320 hili si sawa. C.c Rasokauzu

--

-----------------
Huu ni muamala wa 50$ ambao nimeshawahi kupokea. Kabla sijafanya chochote tazama 2.25$ imeshakatwa na paypal, na hii percent charge ni kwa miamala yote. Meaning ikitumwa 50$ on actual sense napokea $47.75. I won't even go in further to the bank and na kwamba inachukua siku kadhaa kuingia bank na makato ya kutoa na kutuma tanzania yalivyo.
Ulichotakiwa kufanya ni kiungwana kuuliza kwanini rates ziko chini namna hiyo, na makato yakoje sio kunishutumu kuwa kibaka.
Ikiwa 50$ on paypal ni kama TSh.113,000 kama ulivyosema naomba nikuchallenge nikupe 50$ kwenye paypal yako na unitumie laki tu nyingine baki nayo kwa hiyo 50$ na ninaahidi nitaacha ninachokifanya na kuanza kutumia mfumo wako. Nasubiri your response brother.
 

Attachments

  • paypal.png
    40.4 KB · Views: 183
Mkuu una makato makubwa sana...... Ungeweka range.... 0~49 wawe na bei yao, 50~99 wawe na bei yao 100+ wawe na bei yao pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana hili, ninalifanyia kazi mkuu. Kuna makato makubwa sana kwenye process nzima hii, pamoja na risks nyingi sana. Maana jinsi nilivyoweka hii calculator trust me nimeiweka in such a way nisipate tu hasara na sio kupata profit, maana mwanzoni nilipoanza ilikuwa juu kidogo nikawa najikuta pesa yangu ndio inakatwa nikawa na adjust to now kwenye transactions inabaki like elfu 1 au chini ya hapo, ambayo sidhani kama unaweza kuiita napata faida. Maana kwa mimi kuitoa inachukua days. Ila i do believe its helpful to people na ninajitahidi kuboresha, makato hayako very clear at the moment, since sipo upande wa pili kwenye utoaji personally na yanakuwa yanabadilika mara kwa mara hivyo ninachofanya sasa ni kwanza kunarrow down cuts and improve efficiency by directly going to the people i work with on the other side and see how to cut down transfering costs, and hopefully have better rates.
Appreciate the comment aloot kaka, ni mwanzo bado, i'm still working to improve the service.
 
Leo baada ya kuuona huu uzi nimefungua acc yangu ya paypal. Kuna App moja ya michezo inaitwa AllFootball huwa wanatoa nafasi kwa washabiki kupridict baadhi ya game ambazo wametuwekea. Ukipatia au ukishinda basi wana kulipa kupitia paypal. Niliwahi kushinda na sikuwa na paypal acc basi nikaiachia pesa ikapotea hivi hivi. Ilikuwa kama $37 hivi.

Sasa baada ya kuweka huu uzi hapa nimeamua rasmi kumiliki paypal acc. Nitakuja inbox kwa maelezo zaidi au kama vp nitakupigia kabisa.

Ahsante Good Guy

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Anytime mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…