SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Tangia lini wafanyabiashara wanatetewa na watu wasiojitambua ilihali wana viongozi wao na jumuiya zao.
Yani haka ka mwenyekiti kachawa ka CCM ndio ulifikiri kangetetea wafanyabiashara walioamua kufunga maduka kutokana na kodi kandamizi?
 
Mngekuwa wema na mnampenda huyo kijana juu ya hatima ya Maisha yake .basi mngejitajidi kumshauri na kumsihi aache mara moja tabia hiyo ya kutukana matusi
Wewe ndiyo mwema? Wewe si unatakasika roho unaposikia wakosoaji wa serikali wakitkwa na kuuwawa. Kuna kitu kingine dunia hii kinakufikisha kwenye kilele cha furaha yako kama habari za kutekwa na kuuliwa wakosoaji ?
 
Ungekuwa na umakini na unayejitambua vizuri ungeuliza na kufanya uchunguzi wa hayo matusi nayoyazungumzia . Na uone kama matusi na maneno hayo yanaweza kutolewa hadharani na mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema na aliyelelewa vizuri na mwenye hofu ya Mungu. Lakini kitendo cha kutoa maneno mengi bila kuelewa msingi wa hoja inakuwa ni kukurupuka sana na kukosa umakini.
 
Moderator hawa wajinga mnawaacha hapa jukwaani na mada zao hizi za kijinga ni kukosa weledi.
Angalia huyu mpumbavu anahamasisha mauaji Kwa SATIVA Kwa kosa lipi?
SATIVA aachwe jamanii Kwa KIFO alichopitia mwacheni atukane Tu hakuna namna
 
Kweli wewe una matatizo makubwa sana.kwa hiyo unataka aendelee kutukana matusi? Hivi unajitambua kweli wewe?
 
Kweli wewe una matatizo makubwa sana.kwa hiyo unataka aendelee kutukana matusi? Hivi unajitambua kweli wewe?
Mpaka Leo jeshi lenu la police wamefikia wapi katika kumsaidia SATIVA? Kama muuzaji anamtaja Kwa jina lake na anaweka Hadi picha zake kwenye mtandao polisi inafanya jitihada gani kumsaidia SATIVA?
 
Mpaka Leo jeshi lenu la police wamefikia wapi katika kumsaidia SATIVA? Kama muuzaji anamtaja Kwa jina lake na anaweka Hadi picha zake kwenye mtandao polisi inafanya jitihada gani kumsaidia SATIVA?
Kwa hiyo siku mtu akiweka sura na picha yako kwamba wewe ni jambazi sugu pasipo kuweka ushahidi.utataka watu waanze kukushanbulia kwa kujichukulia sheria mkononi?
 
Hizi chuki mmezilea wenyewe na huyo kifo ni kifo wenu.

Hizi chuki za maneno zipo mioyoni mwa watu wengi sana . Ipo siku zitahamia kwenye viteñdo badala ya maneno.

Inawaumiza watu kwa siri siri halafu kwenye macho ya watu mnajifanya ni watu wema. Nyimbo nyingi kwenye majukwaa mkitoka hapo mateka na kuua watu.

Katoni maiti za wapiga kura kule kariakoo.
Halithamini chochote zaidi ya madaraka na fedha . Wiki mwezi utaisha kifusi cha jengo moja kipo Kariakoo.
Wafikieni na hao waliofukiwa kwenye kifusi.

Fuatilia kwenye mitandao muone jinsi chawa wenu wanavyowatukana wachungaji na maaskofu wanapohubiri habari ya haki na usawa na utu. Chuki kubwa ipo na mnahamasisha uovu badala ya wema . Mtu analipwa zaidi ya mil. lia kwa mwezi halafu anafanya fyongo kwanini asitukanwe?

Mkitaka kusifiwa twendeni haki
 
Soon atapotea,safari hii watahakikisha kafa kabisa.
 
Unampa mbwa jina baya ili umuuwe, kama katukana si unaenda kumshitaki tu, Maneno meeengi. Kwanza huyo mtu hata mkimpeleka mahakamani afungwi kwasabu akionyesha kovu la risasi lililo vunja taya hata akimu mwenyewe lazima akae. Hata bila kwenda kumpima atajua tu ubongo umesheki anamwachia.
 
Kwa hiyo siku mtu akiweka sura na picha yako kwamba wewe ni jambazi sugu pasipo kuweka ushahidi.utataka watu waanze kukushanbulia kwa kujichukulia sheria mkononi?
Hizi nguvu unazotumia kuhamasisha mauaji Kwa SATIVA ungehamisha Kwa mmiliki wa jengo lililoanguka pale kariakoo tungekuona wa maana Sana..
Waambie hao police watutajie jina la mmiliki mbona mnashindwa kudili na matajiri? SATIVA anakupunguzia nini?
 
we
Wewe huna tofauti na mbwa jike aliyepandwa na joto na hakuna dume,those days Sativa kafanyiwa abduction did you wrote any thing to express your heartfelt sorrows towards?,filho da puta
 
Hizi nguvu unazotumia kuhamasisha mauaji Kwa SATIVA ungehamisha Kwa mmiliki wa jengo lililoanguka pale kariakoo tungekuona wa maana Sana..
Waambie hao police watutajie jina la mmiliki mbona mnashindwa kudili na matajiri? SATIVA anakupunguzia nini?
Sipendi kuona mtu akitoa matusi ya nguoni kama afanyavyo huyo mtu wako. Mwambie kuwa jambo hilo halikubaliki hata kidogo.na ni lazima atawajibishwa kwa mujibu wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…