SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Ni mchezo wa masikin wasio na elimu watoto wa tandale kigogo mbagala na nk huwez kuona wakristo wa masaki mikocheni wanalazwa makaburini ili washinde mech
 
Na wewe kwanini hujiungi kutukana kama sababu za kufanya hivyo unazo?
 
Mnashindwa kukamata majizi na watu wanaoua watu mchana kweupe, mnajifanya kuumia na matusi..Una akili kweli wewe???
Wewe ukiambiwa uchague kutukanwa au kuuliwa, utachagua nini??Watu kama nyie ndo mnachangia tuonekane waafrika ni matahira kabisa.
Yaani mtu kapigwa risasi, katoa ushahidi walau nani anawashuku..lkn hamna kinachofanyika. Yule mzee aliyetekwa Tegeta - akauwawa kikatili kabisa..wakaharibu na sura yake - hakuna chochote kinaendelea.
Yule bonge wa Kiluvya pale...ndo imeisha hiyo.
Kuna vijana wanapoteapotea hasa wa upinzani hakuna kinachosemwa.
Then unajifanya unaumia na matusi?? ULITAKA afanyeje???
Ulitaka afanye kama Hamza..alivyotwanga watu risasi. Bora Hamza au bora huyu anayetukana?? INJUSTICE ndo sababu ya kila kitu....
 
Unajuaje kama sitoki kuongea ewe mpumbavu usiejitambua. Hivi mtu ukipewa 10k, kofia na t-shirt huwa nini kinaifubaza akili. Chama la wezi limeweza kuteka akili za watu kama wewe, nitolee undezi hapa...
Ume panic 😉
 
Waanze kudhibitiwa waliotaka kumuua nadhani wao ndio wamefanya makubwa zaidi kuliko hayo matusi, hv unaelewa maana ya kuchungulia kaburi? Sativa muacheni kama alivyo maumivu ya risasi sio lelemama, aendelee kuwatukana hao waliomteka
 
Ninyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
Kwahiyo we unajiona mzima kabisaaa na hujapotea? Sijaona mwanaume wa ajabu na kipuuzi kama wewe. Dogo fanya kazi uwe busy, hii sio kazi.
 
Huyu dogo kwa sasa ni kama amewehuka. Ana andika utumbo tu.... Adhibitiwe.... Hatuwezi kuwa na taifa la vijana mabingwa wa kuandika matusi mitandaoni.
Una aakili timamu wewe? Mbona hujasema hao waliotakaa kumuua wakamatwe kama unauchungu wa vijana wa Taifa lako, muacheni Sativa wangu amepitia mengi amechungulia kaburi na anaona watesi wake wanapetaa tuu
 
Hivi nani anawadanganya nchi hii Haina hicho kiitwacho demokrasia? Nchi hii Kwa muktadha wa demokrasia tupo mbali sana. Yule dogo anatukana nyie ! Matusi ambavyo binafsi nilivyoona na anaowatukana, na hakuna anayemgusa. Unajua Nini Kuna demokrasia kuu hapa. nimeamua kutoa machozi moyoni Unamtukana mkuu wa nchi na mkuu wa polisi na pengine viongozi wa taasisi zote za ulinzi bila hofu? Is he kidding with them? Tuendelee kusubiri!
 
Ni kweli sio utamaduni wetu,sijui ni wewe na nani.
Maana utamaduni wenu unajulikana mlichomfanyia kilitosha kuwatambulisha utamaduni wa KUTEKA WATU,INZI WA KIJANI WA CHOONI WALE.


Vp amekugusa na wewe kunguni mjinga.

Ole wenu Hilo genge lenu limteke Tena.

Walengwa wameufyata,wewe kama nani.

Piga kelele kifo Cha mzee Kibao mbwa Koko wewe.

Usiguse coment yangu hii,NTAKUPIDIDI SENGE WEWE.

Comment hii Ione kama nyuchi ya dada ako. Kubwa Zima ovyoo😡
 
Inatakiwa akamatwe haraka sana.maana amevuka mpaka na mstari wa kibinadamu unaokubalika katika jamii yoyote ile.
Wamfanyie kama Sanga si ndio,akamatwe asirudi tena.kuingilia kazi ya Mungu majuto yake makubwa sana,we ongea kama umekatwa kichwa🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…