SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Zilaaniwe Shahawa zilizokuzaa CHOKO wewe
 
Omba yasikukute
 
Wewe Lucas ni haujielewi kabisa ,unapambana na matokeo badala ya kudeal na chanzo.

Sativa analalamika waliotaka kumuua ni "TANIPORI" wakiongozwa na "Afisa X kutoka kituo Y" kwanini huyo mtuhumiwa hajawahi kuhojiwa? Inakuwaje unaona matusi yanauma sana kuliko risasi ya kisogoni kwenda kuvunja taya? Je wewe ukiambia uchague moja kati ya kutukanwa na kupigwa risasi ije kufumua taya utachagua nini?
 
Alipigwa na nani
Unaweza ukawa na hoja lakini majibu yako inaonyesha kwamba huna UTU hata kidogo ndiyo maana watu nao wanakujibu kama unavyokuja ,sasa jibu gani hilo? SATIVA si alimtaja aliyempiga risasi au unajitoa ufahamu?
 
Unaweza ukawa na hoja lakini majibu yako inaonyesha kwamba huna UTU hata kidogo ndiyo maana watu nao wanakujibu kama unavyokuja ,sasa jibu gani hilo? SATIVA si alimtaja aliyempiga risasi au unajitoa ufahamu?
Kutaja tu hakutoshi pasipo ushahidi.kwani utajisikiaje mtu leo hii akikuta wewe kuwa ni jambazi sugu pasipo kuweka ushahidi wa aina yoyote ile? Suala siyo kutaja tu.Dunia ya leo inataka uipatie ushahidi wa kutosha usioacha mashaka
 
Mambo anayoyaongea amewahi lini kuweka ushahidi? Utathibitisha vipi na kukubali maneno matupu pasipo ushahidi? Je ndio sheria inavyotaka hivyo?
 
Nyie watu mbona mnajitoa ufahamu hivo?huyo unaetaka aheshimiwa ana mchango gani kuhakikisha sativa anapata haki yake?mtu kataja Hadi aliemteka mbona hampigi kelele kuhakikisha wahusika wanachunguzwa na kufikishwa mahakamani? Mnapiga watu halafu hamtaki walie?mnajisikia vby mkisemwa?vumilieni tu, mkiweza mtekeni Tena mmalize kazi kns anyamaze milele
 
ungekuwa na akil timamu ungehoji Yule mtekaj anaemtaja jeshi limechukua hatua gan ? nje na hapo muache kama mlivyomuacha yule mtekaj anasemwa na wengi kila siku # Mafuele
 
Kutaja tu hakutoshi pasipo ushahidi.kwani utajisikiaje mtu leo hii akikuta wewe kuwa ni jambazi sugu pasipo kuweka ushahidi wa aina yoyote ile? Suala siyo kutaja tu.Dunia ya leo inataka uipatie ushahidi wa kutosha usioacha mashaka

Ushahidi si ameshautoa ,si alipelekwa O6BAY? Simu si ilionekana imezimwa O*Bay pia ,aliyekuja kutoa order akauawe si alimtaja kwa kimuonekano alivaa jezi ya simba?(Sitaki kwenda mbali alishaeleza usije ukadakia kila aliyevaa jezi ya simba ndiye aliyemteka).

Kwanini wasianzie hapo hao waliompeleka hapo karakakana wamechukuliwa hatua gani? Na waliompeleka kituo cha polisi arusha walimpeleka kama nani?

Kama hamchukui hatua mwache awatukane tu mpaka mtakapomsikiliza na kuwachukulia hatua wauaji.
 
Ninyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
ushauri ni kusikiliza hoja zake na kuzifanyia kaz , sidhan kama watoto wenu wakiyapitia aliyoyapitia mngekaa kimya wanges nyiny
 
Inatakiwa akamatwe haraka sana.maana amevuka mpaka na mstari wa kibinadamu unaokubalika katika jamii yoyote ile.
amemtaja Mafwele mara ngap ? mechukua hatua gan ? mm naamin ww ni sehem ya watekaj na umetumwa hapa kimkakati ila amin yaliyotokea Liberia 1980 yanaeza tokea hapa Tz na mtawindwa kila kona kulipa mauaji mmekuwa mnayafanya kwa wanaowakosa kisiasa ( ambao katiba inawaruhusu )
 
Wakudhibitiwa ni serikali iache kuwateka na kuwauwa watu.mfano wewe utekwe na hii serikali ovu ya awamu hii halafu ikukosekose kukuua na kukutupa porini ili uliwe na Simba na kupigiwa risasi kichwani na ikaamini hii serikali imekuua kumbe hamna je hapo kama ungelikuwa wewe utaendelea kuisifu hii serikali serikali ya huyu mwana mama Kwa huo uovu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…