SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Wewe ungekuwa mwema hata kwa serikali, ungeshauri polisi waharakishe uchunguzi wa waliomteka huyo Sativa.


Hakuna polisi na kiongozi yeyote WA maana atakayefuatilia ushauri wako ikiwa utakuwa na Tabia hizi za kishetani.

Utakuwa Liability sikuzote za Maisha yako kama utaendelea hivi.
Wewe ndiye mwenye ushetani ndani yako kwa kuunga mkono ushetani wa mtu kutukana matusi utafikiri mgonjwa wa akili.
 
Sativa anayohaki kufanya hayo kutokana na mateso waliyompa kisha wananyamazà kama vile siyo wao! Hata mimi ningegadhabika. Nyie machawa wapumbavu mbona hamhoji kwa nini waliotenda na yeye kuwatambua hawachukuliwi hatua yoyote, ni wazi mnaunga mkono alichotendewa.
Akitukana ndio atasaidiwa?
 
Kutukana ni sehemu ya kuonyesha kuwa bado anajipambania HAKI zake na kile alichofanyiwa.

Serikali ingemsaidia au watu wangemsaidia tungekuwa na uhalali wa kumwona anachofanya sio sahihi.

Au ulitaka akae kimya kama Kondoo?
Kwa hiyo haki inapatikana kwa kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu? Ndio akili yako inavyokuelekeza?
 
Juzi kati tu hapa tuliona vijana wa dogo wa hicho chama chenu wakiwaita baadhi ya viongozi wa upinzani mashoga na walevi je huo unavumilika? Au ni maswala ya mkuki kwa nguruwe 🤔 gentleman 🐒
nadhani kuhusu ushoga zipo dalili za wazi kabisa, hasa kwa wale wanaogemea na kutegemezwa na wafadhili wa nchi za magharibi kwa kila kitu hadi familia zao..

bado kidogo sana ukweli utabainishwa na kuwekwa wazi 🐒
 
Kutukana ni sehemu ya kuonyesha kuwa bado anajipambania HAKI zake na kile alichofanyiwa.

Serikali ingemsaidia au watu wangemsaidia tungekuwa na uhalali wa kumwona anachofanya sio sahihi.

Au ulitaka akae kimya kama Kondoo?
Hatakiwi kukaa kimya kwa alichofanyiwa ila kutukana watu sio sawa.
Okay, tufanye leo hii akiuliwa, ww kama raia/wanaJF ambaye ulikuwa unamsapoti kwa kutoa yale matusi utamsaidia kwa lipi?
 
Kwa hiyo na wewe na akili yako timamu unaunga mkono Mimatusi anayotoa na kutukana? Kwa hiyo hiyo ndio njia unayounga mkono na kuwashauri vijana wafanye hivyo kuporomosha matusi ya nguoni kutukana watu? Ndio akili yako imegota hapo? Ndio suluhisho hilo?

Kama hakuna msaada wowote unategemea Mimi ningemshauri afanyeje?

Tayari anaona ameonewa, kadhulumiwa.
Nguvu Hana unataka akae kimya wakati mdomo anao angalau anaweza kuutumia kushambulia adui zake?

Kama angekuwa na bastola au bunduki ningemshauri vinginevyo
 
Back
Top Bottom