SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Je una neno lolote kuhusuMafwere na uhusika wake kwenye issues za mauaji ya raia?
 
Wewe kaache kajifanye kuleta ujinga wake hapa.
Wanaokajaza upepo soon wataanza kuimba pambio ifuatayo 😆😆😆👇👇
20241123_133147.jpg
 
Sema leo umeandika kidogo kuhusu mama Abdu kiongozi sio kawaida yako(kweli anatosha)

Hivi ulishawahi kujaribiwa kifo na ukanusurika?(usiombe)

Anaweza kuwa anafanya makosa(labda kachukua the worst approach to express his feelings but trust me,acha afanye anachoweza kwa sasa,the man went through hell.Just kubaliana na anachofanya kwa sasa maana yeye ndio anajua chungu na tamu ya kuwa Katavi)
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yako wapi hayo matusi?
 
Gentleman,
hakuna cha ubora wala kukaa kimya hasa pale ambapo ukweli unahitajika sana dhidi ya mihemko.

Namuhurumia sana mtukanaji na mporomosha matusi kwa maneno dhidi ya mujibu matusi kwa vitendo, aise ni hatari sana na ni kujiangamiza kizembe sana 🤭

hayo mengineyo ni porojo na story za pata potea za kupoteza muda tu gentleman 🐒
Ni vigumu kuelewa kama akili inayokuambia usikae kimya sabb sativa ametukana watu..inashindwa kukumbusha vile sativa alitendewa na sabb za yeye kutukana..km unaona ni porojo kukumbusha yaliyowapata wenye tabia ya unaowatetea..hata sisi tuona ni upumbavu kumhurumia na kumlalamikia sativa anakosea na kwamba watamtafuta wammalize..hawahitaji kuwatuma nyinyi kusema hapa, waambie watekeleze..hatutaki kusikia mnaleta taatifa hizo.
 
kama alichokutana nacho ndicho kinampa ujasiri wa kuporomsha matusi kwa waandamizi nchini, hiyo ni sawa asonge mbele..

lakini ikikupendeza wewe, yeye na wadau wengine kujiepusha na kutukana wengine bila sababu nieafadhali hekima na busara ikakuelekeza hata kujifariji kwa nyimbo na mapambio,

kuliko kusubiri majibu ya vitendo kwa unaowatukana. Inaumiza sana kuumizwa kwaajili ya matusi ya makusudi 🐒
 
..wewe ikupendeze kwanza kumuacha sativa aseme kinachosumbua moyo wake, hata wewe ukikerwa na matusi ya sativa unaweza kuvuta bangi, au madawa kujiliwaza..!
 
Jee umewahi kuwapa ushauri jeshi la policcm kuhusu kuteka watu kwamba waache tabia hiyo?
Kazi ya jeshi la polisi ni kulinda Raia na mali zao.hiyo ndio kazi kubwa ambayo imekuwa ikifanywa na jeshi letu siku na wakati wote usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom