Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwamba hatujui lolote? Wanaotukana nchi ndio hawa wanaokulipa kuweka mauzi marefu hapa kuwapamba, unatupotezea muda kwa kujiliza kuhusu mtukanaji aliyeumizwa kwa amri za hao majizi!Hakuna bandari wala mbuga wala mali ya Tanzania iliyouzwa kama mbuzi mnadani.