SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Hakuna bandari wala mbuga wala mali ya Tanzania iliyouzwa kama mbuzi mnadani.
Kwamba hatujui lolote? Wanaotukana nchi ndio hawa wanaokulipa kuweka mauzi marefu hapa kuwapamba, unatupotezea muda kwa kujiliza kuhusu mtukanaji aliyeumizwa kwa amri za hao majizi!
 
Hana cha kupoteza, alishakufa akarudi tena. Umeshiba mapera hapo kazi kusifia chama la wezi ili upate mkate wako, hujawahi kushikwa na pliers hicho kibamia chako huwezi kuelewa mwamba anapitia nini.
Matusi anayotukana ni kwa faida ipi? Kwa ajili ya kupata nini? Ni lini na vipi na kwa namna gani matusi yanaweza kuwa silaha ya ushindi au kupata haki yako? Kwanini asiende mahakamani kutafuta na kupigania haki yake badala ya kuporomosha matusi yake?
 
Kwamba hatujui lolote? Wanaotukana nchi ndio hawa wanaokulipa kuweka mauzi marefu hapa kuwapamba, unatupotezea muda kwa kujiliza kuhusu mtukanaji aliyeumizwa kwa amri za hao majizi!
Mimi silipwi kwa ajili ya kuwepo hana jukwaani .Mimi ni mzalendo kwa Taifa langu
 
..wewe ikupendeze kwanza kumuacha sativa aseme kinachosumbua moyo wake, hata wewe ukikerwa na matusi ya sativa unaweza kuvuta bangi, au madawa kujiliwaza..!
Gentleman,
kinachomsumbua moyoni si matusi au kuna kingine?

kwamba bangi anazovuta na wengine watumie right ili wawe kama yeye kwa faida, hasara na maumivu ya nani kwa mfano?🐒
 
Endelea na dharau zako .ipo siku utajutia maneno yako pale utakapo hitaji msaada wa hali na mali kutoka kwa hao hao polisi.
Polisi hawatoi msaada bali ni wajibu wao, na hawafanyi hivyo kama hisani bali wanalipwa mshahara. Na kwa taarifa yako ni taasisi inayoongoza kwa rushwa hapa nchini.
 
Mzee Kibao mlimteka na kumuua twambieni alimtukana nani? Mwalimu Nyerere alisema ukila nyama ya mtu kamwe huwezi kuacha.CCM ilizoea kuua, mlitaka kumuua sasa hivi yuko tayari kufa. Sativa alimtaja Mafwele mbona Mafwele hajakamatwa kwa kosa la kutaka kumuua Sativa? Pumbavu zenu hivi kosa la Mafwele na Sativa lipi nl kubwa kisheria. Acheni kujifanya muungu watu wendawazimu wakubwa nyie.
 
Matusi anayotukana ni kwa faida ipi? Kwa ajili ya kupata nini? Ni lini na vipi na kwa namna gani matusi yanaweza kuwa silaha ya ushindi au kupata haki yako? Kwanini asiende mahakamani kutafuta na kupigania haki yake badala ya kuporomosha matusi yake?
Kwa mahakama ipi, hizi za chama la wezi? Mkuu jaribu kuwa na akili kidogo basi.
 
Back
Top Bottom