SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Ilibaki kidogo tu mumuue.
Yaani sasa unaona matusi yake ni mazito kuliko uhai wake?

Mnajiona nyie ndio mnaostaili kuishi tu!!
Acheni hizo
Hivi wewe kama walibaki kidogo tu kummaliza sasa unadhani watu watashindwa kumaliza iliyobaki? kijana mwehu sana kuna kitu anakitafuta na atakipata soon ataliliwa wiki tu maisha yataendelea.
 
Mzee Kibao mlimteka na kumuua twambieni alimtukana nani? Mwalimu Nyerere alisema ukila nyama ya mtu kamwe huwezi kuacha.CCM ilizoea kuua, mlitaka kumuua sasa hivi yuko tayari kufa. Sativa alimtaja Mafwele mbona Mafwele hajakamatwa kwa kosa la kutaka kumuua Sativa? Pumbavu zenu hivi kosa la Mafwele na Sativa lipi nl kubwa kisheria. Acheni kujifanya muungu watu wendawazimu wakubwa nyie.
Si ana wanasheria wana harakati kwanini aiende mahakamani?
 
Kwa mahakama ipi, hizi za chama la wezi? Mkuu jaribu kuwa na akili kidogo basi.
Hizi mahakama si ndio hizo hizo ambazo mmekuwa mkishinda kesi? Au Ninyi mnataka nini au mnataka kila kitu kifanyike na kuamuliwa katika namna mnayoitaka Ninyi na akili zenu?
 
Mzee Kibao mlimteka na kumuua twambieni alimtukana nani? Mwalimu Nyerere alisema ukila nyama ya mtu kamwe huwezi kuacha.CCM ilizoea kuua, mlitaka kumuua sasa hivi yuko tayari kufa. Sativa alimtaja Mafwele mbona Mafwele hajakamatwa kwa kosa la kutaka kumuua Sativa? Pumbavu zenu hivi kosa la Mafwele na Sativa lipi nl kubwa kisheria. Acheni kujifanya muungu watu wendawazimu wakubwa nyie.
Suala siyo kutaja na kuropoka majina ya watu kama mlevi wa gongo.suala unatakiwa uweke ushahidi wako usioacha mashaka ya aina yoyote ile katika kuthibitisha tuhuma zako.
 
Kodi zetu zinatumika vizuri sana.ndio maana unaona serikali ikitoa elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha sita.imeongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi kutoka Billion 250,ujenzi wa Bwawa la mwalimu Nyerere ambalo lipo tayari kwa kila kitu,ujenzi wa SGR,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21,ujenzi wa miundombinu ya barabara kufikia km zaidi ya 91 elfu,vijiji zaidi ya elfu 11 kati ya vijiji elfu 12 vimeunganishwa kwa umeme. Ajira zimetolewa kwa vijana maelfu kwa maelfu. Na mengine mengi.hayo ni kwa uchache tu maana nikikupa mengi najua ukachaganyikiwa kulingana na akili yako ndogo navyoifahamu.
We ni shetani tuonyeshe mtoto wa Mbunge au kiongozi yoyote wa CCM ambaye mtoto wake anasoma shule ya umma na anayetibiwa kwenye zile Zahanati zenu za kijinga?
 
We ni shetani tuonyeshe mtoto wa Mbunge au kiongozi yoyote wa CCM ambaye mtoto wake anasoma shule ya umma na anayetibiwa kwenye zile Zahanati zenu za kijinga?
Kwani wewe nani kakuzuia kusomesha mwanao katika shule yoyote ile unayoitaka? Mpeleke mwanao hata Marekani kama unao uwezo huo.japo najua kwa akili yako huwezi kumnunulia hata soksi mwanao zaidi ya babu na bibi zake kubeba jukumu hilo kwa niaba yako
 
Naomba uniheshimu acha ujinga wako, tunataka huduma bora za jamii, tuambie 700M imetoka wapi ya kugawa kwa taifa star? je wanazoiba na Rostam, Abdul ni bei gani?
 
Hata wasiwepo au wawepo,huyo ni mtu mzima anayekuwa responsble kwa kila linalomuhusu.
Mtu mzima si alilelewa na kupitia katika malezi ya wazazi? Je yeye nani alimlea katika makuzi yake.maana inawezekana yupo hivyo alivyo kutokana na kukosa malezi katika makuzi yake.
 
Mtu mzima si alilelewa na kupitia katika malezi ya wazazi? Je yeye nani alimlea katika makuzi yake.maana inawezekana yupo hivyo alivyo kutokana na kukosa malezi katika makuzi yake.
Acha kung'ang'aniza kuwahusisha wazazi au ndugu kwenye kinyongo chako kwa Sativa.Kwa mfano,wewe unajulikana JF kwamba ni mjinga sana.Kwa hiyo tuwahusishe wazazi na nduguzo kwenye ukarunguyeye wako?
 
Back
Top Bottom