Kodi zetu zinatumika vizuri sana.ndio maana unaona serikali ikitoa elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha sita.imeongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi kutoka Billion 250,ujenzi wa Bwawa la mwalimu Nyerere ambalo lipo tayari kwa kila kitu,ujenzi wa SGR,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21,ujenzi wa miundombinu ya barabara kufikia km zaidi ya 91 elfu,vijiji zaidi ya elfu 11 kati ya vijiji elfu 12 vimeunganishwa kwa umeme. Ajira zimetolewa kwa vijana maelfu kwa maelfu. Na mengine mengi.hayo ni kwa uchache tu maana nikikupa mengi najua ukachaganyikiwa kulingana na akili yako ndogo navyoifahamu.