Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hapana.Tutaniane tu.No hard feelings boss!Hivi we jamaa sio shoga kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.Tutaniane tu.No hard feelings boss!Hivi we jamaa sio shoga kweli?
Lucas utaadhibiwa na Mungu siku si nyingiNinyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
Ninyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
We mjinga dawa yako inachemkaMkono wa serikali ni mrefu sana na ndio maana kiza Besigye alikamatwa akiwa huko huko Nairobi Kenya na kurejeshwa uganda kufunguliwa mashtaka
Watu wakichanganyikiwa hata ukiwaambia miguu yenu imevimba wanakushtaki umewatukana.
Watu wakichanganyikiwa hata ukiwaambia miguu yenu imevimba wanakushtaki umewatukana.
Hayo matusi ya huyo Sativa, japo hatuyajui wala hujayataja, yanafanalingana kwa namna yoyote ile na vitendo vile vilivyofanywa na shetani mafwele na hao mashetani wengine, waliaoamua kumteka na kumwua? Huyo Sativa, anamtukana nani? Kama anawatukana hao waliotaka kumwua, ni halali kwani waliyomtendea yanapita viwango vya uhayawani wote.Ndugu zangu Watanzania,
Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.
Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.
Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.
Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.
Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wewe inakuhusu nini sativa akitukana..kati ya mambo ya kipumbavu ni kutetea wanaofanya matendo ya kuumiza wengine, hakuna sabab hata moja kujustfy uharamia na ushenzi wa kuteka watu kwa sababu yoyote ile! those dark days r gone my friend..serikali kwenye jamii iliyostaarabika inaelewa tofauti ya mawazo na matarajio ndani ya jamii na hivyo you don't silence people who challenge the government by abducting and killing them..let them say what they see r not correct! God didn't create a super man..!Gentleman,
kinachomsumbua moyoni si matusi au kuna kingine?
kwamba bangi anazovuta na wengine watumie right ili wawe kama yeye kwa faida, hasara na maumivu ya nani kwa mfano?🐒
Wewe inasemekana ulikuwa unatoka na Makonda then akakuchukua Kafulila. Hayo maneno yamezagaa sana siyo riziki
Si nyie na wenzioNani amuue?
Kwani huwa mjinga anajiona?Mimi siyo mjinga.labda wewe ndiye mjinga.
Kwahiyo kutukana I aruhusiwa??Alipotekwa na kudhulumiwa UTU wake ulipiga kelele hivi?.Punguza upumbavu
Anahitaji justice, tiba ya kwanza kumponya ni justice, kitu ambacho kwa Tanzania hii hawezi kukipata. Mtu aliywkufa akafufuka hana ha kupoteza.Saliva hayupo vizuri mentally kutokana na magum aliyopitia, nadhan anahitaji tiba!
Taifa gani la "watu wastaarabu"?...siku zinavyokwenda anaudhihirishia umma kwamba yeye ni liability kiasi gani kwa hili taifa la watu wastaarabu
Aende BurundiMahakama zenyewe za mchongo
Kazi inayofanywa ikulu na Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia ni kuwatumikia watanzaniaBiashara ipi anayofanya pale Ikulu? mali za umma zinachotwa wewe shetani unashangili sababu ya kusubiri uteuzi.
Kwa hiyo anatafuta kifo au sijakuelewa? unaongea utasema unayaweza akianza kubanwa huko msianze kulia humu.Anahitaji justice, tiba ya kwanza kumponya ni justice, kitu ambacho kwa Tanzania hii hawezi kukipata. Mtu aliywkufa akafufuka hana ha kupoteza.
Mkono wa sheria utamfikia popote pale alipo .huku Ninyi Mkiendelea kujificha kwa fake ID huku jukwaani.Kwani hao waliomteka na kumtupa pori la katavi hawakujua kama mungu yupo? Acha ufala we KIMA chawa mkubwa wewe kujipendekeza tuu mtoto wa kiume na teuzi hupewi, na sativa ashasema hataki ushauri wowote wa kima kama wewe.
Nimekusamehe dogo maana najua hujitambui kabisa.Yeye mwenyewe wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi maana ni hasara kuwa na jitu lijinga kama hili
Una akili Timamu?Hivi we jamaa sio shoga kweli?