kenya hiiii?Sativa ni kichwa kingine kileee huwezi kumtishia Kwa kesi ya mchongo kama hiyo
Kenya ndiyo nchi salama Kwa watanzania, sio rahisi Kwa nchi ya Kenya kumtoa hadharani Sativa ili aje bongo
kenya hiiii?Sativa ni kichwa kingine kileee huwezi kumtishia Kwa kesi ya mchongo kama hiyo
Kenya ndiyo nchi salama Kwa watanzania, sio rahisi Kwa nchi ya Kenya kumtoa hadharani Sativa ili aje bongo
Mbona Kiza Besije alirudishwa uganda?Hakuna Mpinzani au mwanaharakati wa kisiasa aliyepata hifadhi za kisiasa Kenya, Ulaya au Marekani ambae nchi yake itakubali kumrudisha Tanzania kwa namna Tanzania inavyosemwa kuua, kuteka, kubaka, kulawiti na kuwapoteza wapinzani na wanaharakati wanaoikosoa Serikali.
Haya ndo matokeo ya kuwa na AG kilaza mwenye elimu ya kuunga unga asiyejua hata masuala ya msingi tu ya kijinai.
Alirudishwa kwa uraratibu wa Kimahakama?Mbona Kiza Besije alirudishwa uganda?
Nakuapia Samia na genge lake walivyo na uchu wa kuua, wangekuwa na uwezo wangeshafanya hivyo siku nyingi mno. Uliona jaribio la kumteka Maria Sarungi lilivyoshindwa kwa aibu? NB. hata ukiwa Ulaya wanaweza kukuvizia lakini siyo rahisi kama wewe unavyodhani au Samia na genge lake wanavyodhani.Mbona walishirikiana na mseveni kumteka Kiza Besije na kumrudisha uganda mpaka sasa yupo jera?
Kiufupi Afrika nzima hakuna sehemu salama kwa hao wanaharakati iwapo serikali zao zitaamuwa kuwasaka kwa udi na uvumba.
Hivi unadhani hao wanaharakati wa tz walio jificha hapo kenya kama wangekuwa wanatoka Rwanda kuna hata mmoja ngekuwa hai mpaka sasa?
Sasa kama waliweza kushirikiana na mseveni kumteka mwanasiasa mkubwa kabisa kama besije itakuwa huyo savita.Alirudishwa kwa uraratibu wa Kimahakama?
Hivi yuko wapi? Kenya? High risk!Sativa ni kichwa kingine kileee huwezi kumtishia Kwa kesi ya mchongo kama hiyo
Kenya ndiyo nchi salama Kwa watanzania, sio rahisi Kwa nchi ya Kenya kumtoa hadharani Sativa ili aje bongo
Yaani watu waweze kukuteka na kukaa na ww zaidi ya masaa 2 alafu washinde kukuuwa ?Nakuapia Samia na genge lake walivyo na uchu wa kuua, wangekuwa na uwezo wangeshafanya hivyo siku nyingi mno. Uliona jaribio la kumteka Maria Sarungi lilivyoshindwa kwa aibu? NB. hata ukiwa Ulaya wanaweza kukuvizia lakini siyo rahisi kama wewe unavyodhani au Samia na genge lake wanavyodhani.
DPP"Legal English" 😊
Huyu ukute ni DDP mwenyewe aisee!
"Ungenge" wa darasa la nne B huu.
Wakumbusshe hao mbumbumbuBesigye na wenzie 200 walikua kenya
Besije na wafuasi wake 200 walirudishwa uganda na mpaka sasa wako jera.Uzuri wa nchi zenye separation of power,
Unaweza negotiate na viongozi wanasiasa wakakubali kumrudisha, lakini mahakama ikakataa na ikawa ndio mwisho.
Hujui yaliyo nyuma ya pazia. Wasingethubutu kumuua kwa sababu wanajua kitu ambacho kingewapata.Yaani watu waweze kukuteka na kukaa na ww zaidi ya masaa 2 alafu washinde kukuuwa ?
Wao nadhani hiyo operation ilikuwa imelenga kumtisha sarungi na sio kumuua sema na yy hajatishika tu.
Sasa ww ungesema kuwa hawawauwi kwa sababu ya kuhofia kitu fulani na sio hawawezi kumuuwa.Hujui yaliyo nyuma ya pazia. Wasingethubutu kumuua kwa sababu wanajua kitu ambacho kingewapata.
Unatakusema wamekibananga kiinglish?hicho kiingereza au ndiyo cha kisheria? kwa maana nijuavyo ni kenya na siyo at kenya, kwa hiyo ilipaswa kuwa .. the accused is in kenya au mimi ndiyo sielewi labda? ...
Yupo Kenya Toka mwezi wa 3 mwaka huuHivi yuko wapi? Kenya? High risk!