PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Yupo Kenya KwasasaHivi jamaa yupo kenya?
Allafu hapo Kenya anaishi mazuri tofauti na alivyokuwa bongo
Yupo Kenya KwasasaHivi jamaa yupo kenya?
tulia hivo hivo si unadhan haujulikanHakuna Mpinzani au mwanaharakati wa kisiasa aliyepata hifadhi za kisiasa Kenya, Ulaya au Marekani ambae nchi yake itakubali kumrudisha Tanzania kwa namna Tanzania inavyosemwa kuua, kuteka, kubaka, kulawiti na kuwapoteza wapinzani na wanaharakati wanaoikosoa Serikali.
Haya ndo matokeo ya kuwa na AG kilaza mwenye elimu ya kuunga unga asiyejua hata masuala ya msingi tu ya kijinai.
Eti wanahangaika na Sativa! Kweli wahenga waliposema mjinga mpe cheo, pale walitupiga.
Na NYie muigeni huyo jamaa wa Rwanda! Au hamna guts!?Mbona walishirikiana na mseveni kumteka Kiza Besije na kumrudisha uganda mpaka sasa yupo jera?
Kiufupi Afrika nzima hakuna sehemu salama kwa hao wanaharakati iwapo serikali zao zitaamuwa kuwasaka kwa udi na uvumba.
Hivi unadhani hao wanaharakati wa tz walio jificha hapo kenya kama wangekuwa wanatoka Rwanda kuna hata mmoja ngekuwa hai mpaka sasa?
Wanaowakosoa nyie tangu lini mmewaona kuwa watu!? Si mnawaona kama wanyama pori wanaostahili kuondoshwa kwenye uso wa dunia kama ng'ombe wa machinjioni!kwan sativa sio mtu
Kwani kujulikana ni shida?tulia hivo hivo si unadhan haujulikan
Labda uwanyime hela....wakenya!!
Wanaowakosoa nyie tangu lini mmewaona kuwa watu!? Si mnawaona kama wanyama pori wanaostahili kuondoshwa kwenye usowa dunia kama ng'ombe wa machinjioni!kwan sativa sio mtu
Akili za kutumia makalio kufikiri hizi ,na hicho kibibi kiuaji form four failure soon kitakimbilia Oman na ndio utakuwa mwisho wake na kitaishia kuishi kwa kujificha kama panya tuu kuogopa ICCKama umeamua kujipa kazi ya kuitukana serikali hakikisha unakuwa Marekani huko na unasapoti LGBTQ.
Fearing potential consequences can indeed be interpreted as a sign of beingSasa ww ungesema kuwa hawawauwi kwa sababu ya kuhofia kitu fulani na sio hawawezi kumuuwa.
Asipokuwepo Kenya?hicho kiingereza au ndiyo cha kisheria? kwa maana nijuavyo ni kenya na siyo at kenya, kwa hiyo ilipaswa kuwa .. the accused is in kenya au mimi ndiyo sielewi labda? ...
Serikali hii ya hovyo imejitukanisha yenyewe kwa ule ugaidi wa Oct 29 dhidi ya wananchiKama umeamua kujipa kazi ya kuitukana serikali hakikisha unakuwa Marekani huko na unasapoti LGBTQ.
Another waste of time. Faki these mazafakas!
Kwani sativa hatekeki tena kama mwanzo!? Au kikosi kazi kimepewa mapumziko!? Au hii nayo ni zuga tu, huku chini kwa chini mkiendelea kumsaka !?kosoa kwa ushahidi sio unatoka tu, rostam mwizi na huna ushahidi