Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Asipokuwepo Kenya?
hilo sijui, ila ninachofahamu shuleni tulifundishwa matumizi ya at na in unapoongela mahali ...
Asipokuwepo Kenya?
Hawa ICC wanaowekewa vikwazo na USA sio wa kuwaogopa. CHADEMA msipoteze muda kudhani ICC itawasidia.Akili za kutumia makalio kufikiri hizi ,na hicho kibibi kiuaji form four failure soon kitakimbilia Oman na ndio utakuwa mwisho wake na kitaishia kuishi kwa kujificha kama panya tuu kuogopa ICC
😄😄😄 nimekusoma mzee wa VW"Legal English" 😊
Huyu ukute ni DDP mwenyewe aisee!
"Ungenge" wa darasa la nne B huu.
😄😄😄 nimekusoma mzee wa VW
Kama yupo Kenya aondoke tu, nchi za Africa sioSativa ni kichwa kingine kileee huwezi kumtishia Kwa kesi ya mchongo kama hiyo
Kenya ndiyo nchi salama Kwa watanzania, sio rahisi Kwa nchi ya Kenya kumtoa hadharani Sativa ili aje bongo
Acha usenge sio kuunga unga ni elimu na mafunzo mbali mbaliHakuna Mpinzani au mwanaharakati wa kisiasa aliyepata hifadhi za kisiasa Kenya, Ulaya au Marekani ambae nchi yake itakubali kumrudisha Tanzania kwa namna Tanzania inavyosemwa kuua, kuteka, kubaka, kulawiti na kuwapoteza wapinzani na wanaharakati wanaoikosoa Serikali.
Haya ndo matokeo ya kuwa na AG kilaza mwenye elimu ya kuunga unga asiyejua hata masuala ya msingi tu ya kijinai.
cry moreAnother waste of time. Faki these mazafakas!
Hata court proceeding transcript yenyewe ina makosa ya kitoto utadhani imeandikwa na mhitimu wa la Saba B!
Hawa jamaa washaomwona bimkubwa mjinga kwaiyo wanampiga pesa tu za kujifanya wanawohonga wenye mmlaka wa mbele
Jina LA chadema limekukaa Sana ,uliwahi gongwa na kupewa Mimba na mwanachadema na akakutosa wewe MalayaHawa ICC wanaowekewa vikwazo na USA sio wa kuwaogopa. CHADEMA msipoteze muda kudhani ICC itawasidia.
Ile ya kinyambe pale kisutu imeishia wapi
hilo sijui, ila ninachofahamu shuleni tulifundishwa matumizi ya at na in unapoongela mahali ...
CCM is not political party,CCM is just a terrorist organization like alqaeeda, ISS,AL shabab, janjaweed or bokoharam
Ni dhihaka na dharau tuna ndugu na watu wa karibu walihusika KUTIKI KURA NA KUTUMBUKIZA KWENYE MA BALLOTS 🗳️Majeraha na yapone,ila waliochochea kibano sharti kiwakute
Jifariji kwa matusi hapa JF kwa sababu tukionana LIVE utajinyea hadharani na hutaweza kunitukana uso kwa uso.Jina LA chadema limekukaa Sana ,uliwahi gongwa na kupewa Mimba na mwanachadema na akakutosa wewe Malaya
Kwani yupo wapi?Hakuna nchi itamtoa mkimbizi wa kisiasa tena baada ya kunusurika jaribio la Mauaji. Hii wanajitekenya kucheka wenyewe.