PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
tulia hivo hivo si unadhan haujulikan
 
Na NYie muigeni huyo jamaa wa Rwanda! Au hamna guts!?
 
kwan sativa sio mtu
Wanaowakosoa nyie tangu lini mmewaona kuwa watu!? Si mnawaona kama wanyama pori wanaostahili kuondoshwa kwenye uso wa dunia kama ng'ombe wa machinjioni!
 
kwan sativa sio mtu
Wanaowakosoa nyie tangu lini mmewaona kuwa watu!? Si mnawaona kama wanyama pori wanaostahili kuondoshwa kwenye usowa dunia kama ng'ombe wa machinjioni!
 
Kama umeamua kujipa kazi ya kuitukana serikali hakikisha unakuwa Marekani huko na unasapoti LGBTQ.
 
Wanaowakosoa nyie tangu lini mmewaona kuwa watu!? Si mnawaona kama wanyama pori wanaostahili kuondoshwa kwenye usowa dunia kama ng'ombe wa machinjioni!
kosoa kwa ushahidi sio unatoka tu, rostam mwizi na huna ushahidi
 
Kama umeamua kujipa kazi ya kuitukana serikali hakikisha unakuwa Marekani huko na unasapoti LGBTQ.
Akili za kutumia makalio kufikiri hizi ,na hicho kibibi kiuaji form four failure soon kitakimbilia Oman na ndio utakuwa mwisho wake na kitaishia kuishi kwa kujificha kama panya tuu kuogopa ICC
 
hicho kiingereza au ndiyo cha kisheria? kwa maana nijuavyo ni kenya na siyo at kenya, kwa hiyo ilipaswa kuwa .. the accused is in kenya au mimi ndiyo sielewi labda? ...
Asipokuwepo Kenya?
 
Police kama hamna kazi ni bora muanzishe hata kilimo Cha mboga mboga hapo vituoni mwenu Kwa pembeni
 
kosoa kwa ushahidi sio unatoka tu, rostam mwizi na huna ushahidi
Kwani sativa hatekeki tena kama mwanzo!? Au kikosi kazi kimepewa mapumziko!? Au hii nayo ni zuga tu, huku chini kwa chini mkiendelea kumsaka !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…