imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
😆😆😆😆Anajifanya hajui mwenzie wa Kizimkazi kumepamba moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Anajifanya hajui mwenzie wa Kizimkazi kumepamba moto
hakuna spana hapo ujinga mtupuEti Spika wa mabunge, kumbe ni hovyo kabisa
Umewahi kusikia hata siku moja anatetea wananchi?hakuna spana hapo ujinga mtupu
kwamba kwa kuwa mbeya wamebahatika kupata spika basi maendeleo yote yaelekezwe huko tu
sisi ambao hatuna viongozi wa ngazi za juu kwamba ndo hatustahili maendeleo
wote tupewe maendeleo bila kuangalia huyu katoa kiongozi huyu hapana
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.
Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.
Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.
Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.
Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.
Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.
Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.
Inaumiza sana aisee.
SATIVA17🫡
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya
- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCMt
Mbona yalipelekwa Chato na sasa Kizimkazi na hamkutia neno ni sisi ndio tulihoji.kwamba kwa kuwa mbeya wamebahatika kupata spika basi maendeleo yote yaelekezwe huko tu
Mbona kwa Pinda kuna uwanja wa ndege wa kimataifa,kwa Philip Mpango mambo yamepamba moto,kwa Mwigulu Nchemba ndio usiseme kabisa Tanzania imehamia pale,Chato kwa marehemu kuna ikulu na uwanja wa ndege wa kimataifa.Wewe acha kujifariji kwa siasa mfu zisizo na tija.hakuna spana hapo ujinga mtupu
kwamba kwa kuwa mbeya wamebahatika kupata spika basi maendeleo yote yaelekezwe huko tu
sisi ambao hatuna viongozi wa ngazi za juu kwamba ndo hatustahili maendeleo
wote tupewe maendeleo bila kuangalia huyu katoa kiongozi huyu hapana
M
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.
Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.
Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.
Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.
Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.
Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.
Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.
Inaumiza sana aisee.
SATIVA17🫡
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya
- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Mbeya ndo mkoa wenye miundombinu mibovu kabisa ya Barabara. Alichofanikiwa Tulia nikuanzisha mikopo ya kausha damu akijinufaisha na umasskini na uhitaji wa wakazi wa mbeya. Tulitegemea kuwepo huko bungeni kama msikamizi wa moja ya mihimili kungesaidia lakini wapi
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.
Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.
Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.
Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.
Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.
Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.
Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.
Inaumiza sana aisee.
SATIVA17🫡
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya
- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Huyo bwana aliyetekwa amekwishaeleza Barabara alizojenga Sugu wa Chadema Kwa miaka 10 ya Uongozi wao Hadi amlaumu Spika mwenye miaka 7?
Huyo mtekwa Sina hakika kama akili imekaa sawa ila ilitakiwa kabla ya Kulaumu Tulia mwenye miaka 5 Kama. Mbunge wa Mbeya Mjini angeonesha walichofanya Sugu na Chadema Kwa miaka 10..

uwanja wa ndege katavi haikuwa sababu ya pinda mkuu, ingekuwa hivyo angetandaza barabara za lami mji mzima cha ajabu hadi anaondoka madarakani hakuna barabara za maana zilizo jengwa ni vumbi tupuMbona kwa Pinda kuna uwanja wa ndege wa kimataifa,kwa Philip Mpango mambo yamepamba moto,kwa Mwigulu Nchemba ndio usiseme kabisa Tanzania imehamia pale,Chato kwa marehemu kuna ikulu na uwanja wa ndege wa kimataifa.Wewe acha kujifariji kwa siasa mfu zisizo na tija.
Sativa ana hoja. Wapambe wa Tulia wamekuwa wakitumia nafasi yake ya USPIKA wa Bunge na Urais wa Bunge la Dunia kama sababu ya kuwashawishi watu kuwa ni mtu wa maana kuwa mbunge wa Mbeya Mjini.Huyo dogo kweli hana akili.
Sasa anafikiri kuwa spika ndio kupeleka miradi yote kwenu??
Haoni hayo niatumizi mabaya ya nafasi yake??
Sasa anachokitaka kinatofauti gani na hao anaowapinga kila wakati.
Au kwakuwa kasema yeye basi ni sawa?
Pathetic.
Sativa amepiga palepale. Huyu kigagula hatoboi 2025. Uspika wake hausaidii chochote kwa maendeleo ya Mbeya.Mbona kama Sativa anajipa Sana umuhimu wenye Hana
Huyo mtekwa Sina hakika kama akili imekaa sawa ila ilitakiwa kabla ya Kulaumu Tulia mwenye miaka 5 Kama. Mbunge wa Mbeya Mjini angeonesha walichofanya Sugu na Chadema Kwa miaka 10..
Barabara za Tulia hizi hapa zinaendelea na ujenzi 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DA2bxrMNBRK/?igsh=MThiZ2psOTBweGJ5MA==
Vumbiiii tuuuuuKwa taarifa yako hizo kilometre 22 za barabara toka Uyole hadi Songwe, hakuna kinachoendelea kwa zaidi ya miezi 10 sasa
Kila kitu hakipo chato mkuu.Si ni wewe ulikuwa ukipambia humu wakati tulikuwa tunahoji Why kila kitu CHATO?! au sio wewe😆
Una uhakika au unaropoka tuu? Harafu nani kukwambia ni km 22?Kwa taarifa yako hizo kilometre 22 za barabara toka Uyole hadi Songwe, hakuna kinachoendelea kwa zaidi ya miezi 10 sasa
TULIA hakubaliki kabisa na wapiga kura wa kawaida ukiacha wapambe wake wachache huko Iduda, Itezi, Igawilo Uyole ambako ndiko wajinga wamejaa. Kama utashindanisha hawa wachovu 2 kati ya Sugu na Tulia nakuhakikishia Sugu ataibuka kidedeaMbona kama Sativa anajipa Sana umuhimu wenye Hana
Haijalishi ni kilometres ngapi? Ila kimsingi Mbeya mumetapeliwa tu. Maana Mkandarasi alichofanya ni kupitisha grader toka Uyole hadi Songwe na kutimua vumbi tu. Hakuna kazi inayoendelea, hiyo ndiyo hoja kuu unayopaswa kuijibu achana na urefu wa barabaraUna uhakika au unaropoka tuu? Harafu nani kukwambia ni km 22?
Mwisho kwani hujui kwamba Kuna km zingine 15 za Tactic,stendi na soko?
Mwambie Sugu aoneshe miaka 10 alijenga kipi? Naona unakuwa mjinga