Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe bwege kweli ,Kwa hiyo umesafiri kuanzia Ifisi Hadi Uyole ukakuta hakuna shughuli zinazoendelea? Unajua maana ya ujenzi wa Barabara kwanza ?

Naishi Burundi
Hakuna kitu kinaendelea. Kama kuna ujenzi wowote weka picha. Nyie mnameza maneno ya RC Homera!! Wacheni siasa kwenye maendeleo ya mkoa
 
Kwa hiyo Mkandarasi anaweza timua vumbi Kwa kujipendea au bila malipo au ikoje?

Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu,Kwa nini usiseme kwamba licha ya kutimua vumbi amejenga na anaendelea na ujenzi wa Makalvati na miundombinu mingine?

Kujenga Barabara sio sawa na kujenga madarasa,hapo km 35*2= Zinajengwa
Ni wewe tu ndiyo unaona barabara ikijengwa. Sisi tunaona vumbi tu kulia na kushoto mwa barabara. Hata ukikubali kuwa CHAWA wa Tulia, mara nyingine tumia akili yako.

Utakuta una familia halafu kutwa kutetea UJINGA
 
Ni wewe tu ndiyo unaona barabara ikijengwa. Sisi tunaona vumbi tu kulia na kushoto mwa barabara. Hata ukikubali kuwa CHAWA wa Tulia, mara nyingine tumia akili yako.

Utakuta una familia halafu kutwa kutetea UJINGA
Kwani kama hutaki kuona na umechagua kuona vumbi Kuna ubaya gani? Kuna Barabara itajengwa bila vumbi kutimka? 😂😂😂😂

Dalili za kukata tamaa 👇👇

View: https://youtu.be/75M91tAZ9U4?si=VDvelV8gjM-sECrZ
 
Wana Mbeya hatukumchagua Tulia bali aliwekwa na hawara yake Mwendazake kwa kutumia NEC na POLISI. Tukutane mwaka kesho, patachimbika
Mlimchagua nani wewe nyumbu? Mnataka Mabadiliko au hamtaki? 😆😆
 

Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.

HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.

Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.

Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.

Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.

Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.

Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.

Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.

Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.

Inaumiza sana aisee.

SATIVA17🫡

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Mbeya inahitaji Mbunge, ila siyo Betina wala siyo Sugu
 
Back
Top Bottom