Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.

HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.

Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.

Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.

Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.

Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.

Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.

Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.

Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.

Inaumiza sana aisee.

SATIVA17🫡

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Naunga mkono hoja
 
Kwani hilo jimbo lilianza wakati wa Sugu?
Kipindi cha Tulia unabaki ku share maendeleo ya kwenye michoro kwenye makaratasi wakati ukienda ground kila kitu zero
Hawa ndio chawa wa CCM mjomba wake Mwashambwa na shangazi Yao tlatlaah! wao mapambio ya kusifu hata watu walitekwa!
 
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.

HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.

Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.

Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.

Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.

Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.

Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.

Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.

Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.

Inaumiza sana aisee.

SATIVA17🫡

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM

Spika kaegesha tu siyo? Wewe Savita wenzio watakusavita. Unaiga simba tundu lissu? Na wewe umeondolewa uoga?
 
Weka picha kama alivyoweka mtoa mada, vinginevyo na wewe wa ukae utakuwa ni mfanyakazi wa TULIA TRUST tu kama alivyo ChoiceVariable au Lucas Mwashambwa

Wanyiha watatu mazumbukuku
Sina sababu ya kuwa chawa kwani hiyo Tulia hanisaidii chochote kwenye maisha yangu ila ninachoongea nimekishuhudia kwa macho yangu kwa sasa nipo Dar keshokutwa nitakapoludi nitapiga picha na kuziweka humu Mkuu
 
Mlimchagua nani wewe nyumbu? Mnataka Mabadiliko au hamtaki? 😆😆
Nafuu kuwa nyumbu kuliko kumuunga mkono mtu anawaletea marathon, mashindano ya ngoma na juzi Hamlets Zuchu.

Tulia AMEWADHARAU sana Wanyakyusa, Wasafwa, Wakinga na Wanyiha
 
Sina sababu ya kuwa chawa kwani hiyo Tulia hanisaidii chochote kwenye maisha yangu ila ninachoongea nimekishuhudia kwa macho yangu kwa sasa nipo Dar keshokutwa nitakapoludi nitapiga picha na kuziweka humu Mkuu
Sawa,usiwe chawa ni mdudu mchafu na sio sifa NJEMA kuwa dudu chawa.
 
SATIVA ni nani ndani hii nchi hadi asikilizwe
 
Wewe wa roho nzuri weka picha Yako tuone ulivyonenepa 😁😁
Kuna wanaume wanapitia kipindi kigumu sana:
Screenshot_20241009_090548_Google.jpg
 
Sina sababu ya kuwa chawa kwani hiyo Tulia hanisaidii chochote kwenye maisha yangu ila ninachoongea nimekishuhudia kwa macho yangu kwa sasa nipo Dar keshokutwa nitakapoludi nitapiga picha na kuziweka humu Mkuu
Usisahau kupiga picha na kuweka humu. Nitakukumbusha
 
Back
Top Bottom