Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
M

Mbeya ndo mkoa wenye miundombinu mibovu kabisa ya Barabara. Alichofanikiwa Tulia nikuanzisha mikopo ya kausha damu akijinufaisha na umasskini na uhitaji wa wakazi wa mbeya. Tulitegemea kuwepo huko bungeni kama msikamizi wa moja ya mihimili kungesaidia lakini wapi
Spika wa Bunge hawezi kukusaidia chochote. Angalia Maspika waliotangulia walileta maendeleo gani kwenye majimbo yao. Kwa mfano Pius Msekwa na Ukerewe, Ukerewe bado maskini. Anna Makinda na Njombe, Sitta na Urambo au Ndugai na Kongwa. Hizo wilaya zote bado zina umaskini wa kutisha

Lakini MIJINGA ya Mbeya eti inatamba kuwa mbunge wao ni Spika wa Bunge?? Stupid kabisa
 
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.

HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.

Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.

Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.

Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.

Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.

Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.

Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.

Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.

Inaumiza sana aisee.

SATIVA17🫡

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Kwa hiyo SATIVA kutekwa tu amekuwa MTU mwenye kuongea sana na kutuamlia issue.Hapana, wananchi ndio waamue kwa kura not otherwise.
 
Wewe unaishi Mbeya au Kigoma? Hakuna barabara inajengwa zaidi ya miezi 10 sasa. Vumbi ndiyo order of the day
Wewe bwege kweli ,Kwa hiyo umesafiri kuanzia Ifisi Hadi Uyole ukakuta hakuna shughuli zinazoendelea? Unajua maana ya ujenzi wa Barabara kwanza ?

Naishi Burundi
 
Haijalishi ni kilometres ngapi? Ila kimsingi Mbeya mumetapeliwa tu. Maana Mkandarasi alichofanya ni kupitisha grader toka Uyole hadi Songwe na kutimua vumbi tu. Hakuna kazi inayoendelea, hiyo ndiyo hoja kuu unayopaswa kuijibu achana na urefu wa barabara
Kwa hiyo Mkandarasi anaweza timua vumbi Kwa kujipendea au bila malipo au ikoje?

Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu,Kwa nini usiseme kwamba licha ya kutimua vumbi amejenga na anaendelea na ujenzi wa Makalvati na miundombinu mingine?

Kujenga Barabara sio sawa na kujenga madarasa,hapo km 35*2= Zinajengwa
 
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.

HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.

Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.

Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.

Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.

Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.

Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.

Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.

Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.

Inaumiza sana aisee.

SATIVA17🫡

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Safi sana Sativa. Sativa ni mzalendo hasa sio kama chawa mwijaku.
 
Una uhakika au unaropoka tuu? Harafu nani kukwambia ni km 22?

Mwisho kwani hujui kwamba Kuna km zingine 15 za Tactic,stendi na soko?

Mwambie Sugu aoneshe miaka 10 alijenga kipi? Naona unakuwa mjinga
Hata kama ingekuwa ni kilometre 1 lakini mkandarasi hHAYUKO site. Hiyo ndiyo JEY WORD.

Ukiwa chawa mara nyingine tumia na akili zako. Tulia hawasaidii chochote mburukenge nyie
 
Kwa taarifa yako hizo kilometre 22 za barabara toka Uyole hadi Songwe, hakuna kinachoendelea kwa zaidi ya miezi 10 sasa
Nani kakuongopea kuwa hakuna kinachoendelea ujenzi unaendelea kama kawaida kwa macho yangu juzi mitaa ya kilimo nimewaona Wakandarasi wanajaza na kushindilia kifusi kwenye Barbara iliyopanuliwa
 
Kwa hiyo SATIVA kutekwa tu amekuwa MTU mwenye kuongea sana na kutuamlia issue.Hapana, wananchi ndio waamue kwa kura not otherwise.
Wapambe na machawa wa Tulia mumeshikwa makende na Sativa, hamfurukuti
Screenshot_20241009_072023_Google.jpg
 
Kwa hiyo Mkandarasi anaweza timua vumbi Kwa kujipendea au bila malipo au ikoje?

Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu,Kwa nini usiseme kwamba licha ya kutimua vumbi amejenga na anaendelea na ujenzi wa Makalvati na miundombinu mingine?

Kujenga Barabara sio sawa na kujenga madarasa,hapo km 35*2= Zinajengwa
Kuwa chawa wa Tulia inabidi ujitoe fahamu. Sasa kama barabara inajengwa si uweke picha tuone? Mbona unaleta matusi??
 
Nani kakuongopea kuwa hakuna kinachoendelea ujenzi unaendelea kama kawaida kwa macho yangu juzi mitaa ya kilimo nimewaona Wakandarasi wanajaza na kushindilia kifusi kwenye Barbara iliyopanuliwa
Weka picha kama alivyoweka mtoa mada, vinginevyo na wewe wa ukae utakuwa ni mfanyakazi wa TULIA TRUST tu kama alivyo ChoiceVariable au Lucas Mwashambwa

Wanyiha watatu mazumbukuku
 
Kwa hiyo SATIVA kutekwa tu amekuwa MTU mwenye kuongea sana na kutuamlia issue.Hapana, wananchi ndio waamue kwa kura not otherwise.
Wananchi gani waamue? Kwani kuna mtu alimchagua Tulia mwaka 2020?? Huyu aliwekwa na Magufuli tu,
 
Back
Top Bottom