Spika wa Bunge hawezi kukusaidia chochote. Angalia Maspika waliotangulia walileta maendeleo gani kwenye majimbo yao. Kwa mfano Pius Msekwa na Ukerewe, Ukerewe bado maskini. Anna Makinda na Njombe, Sitta na Urambo au Ndugai na Kongwa. Hizo wilaya zote bado zina umaskini wa kutishaM
Mbeya ndo mkoa wenye miundombinu mibovu kabisa ya Barabara. Alichofanikiwa Tulia nikuanzisha mikopo ya kausha damu akijinufaisha na umasskini na uhitaji wa wakazi wa mbeya. Tulitegemea kuwepo huko bungeni kama msikamizi wa moja ya mihimili kungesaidia lakini wapi
Wewe unaishi Mbeya au Kigoma? Hakuna barabara inajengwa zaidi ya miezi 10 sasa. Vumbi ndiyo order of the dayHuyo mtekwa Sina hakika kama akili imekaa sawa ila ilitakiwa kabla ya Kulaumu Tulia mwenye miaka 5 Kama. Mbunge wa Mbeya Mjini angeonesha walichofanya Sugu na Chadema Kwa miaka 10..
Barabara za Tulia hizi hapa zinaendelea na ujenzi 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DA2bxrMNBRK/?igsh=MThiZ2psOTBweGJ5MA==
Dah! Ilikuwa ni juzi juzi tu umeshasahau.Kila kitu hakipo chato mkuu.
Kwa hiyo SATIVA kutekwa tu amekuwa MTU mwenye kuongea sana na kutuamlia issue.Hapana, wananchi ndio waamue kwa kura not otherwise.
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.
Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.
Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.
Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.
Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.
Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.
Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.
Inaumiza sana aisee.
SATIVA17🫡
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya
- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Wewe bwege kweli ,Kwa hiyo umesafiri kuanzia Ifisi Hadi Uyole ukakuta hakuna shughuli zinazoendelea? Unajua maana ya ujenzi wa Barabara kwanza ?Wewe unaishi Mbeya au Kigoma? Hakuna barabara inajengwa zaidi ya miezi 10 sasa. Vumbi ndiyo order of the day
Kwa hiyo Mkandarasi anaweza timua vumbi Kwa kujipendea au bila malipo au ikoje?Haijalishi ni kilometres ngapi? Ila kimsingi Mbeya mumetapeliwa tu. Maana Mkandarasi alichofanya ni kupitisha grader toka Uyole hadi Songwe na kutimua vumbi tu. Hakuna kazi inayoendelea, hiyo ndiyo hoja kuu unayopaswa kuijibu achana na urefu wa barabara
Safari ipi, we ujaiona Clip kulivochimbika mkuu?Safsri hii patachimbika
Safi sana Sativa. Sativa ni mzalendo hasa sio kama chawa mwijaku.
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya ujenzi wa barabara kwenda mikoa mingine na maendeleo mengine kwenye mikoa yote Tanzania.
Kuna muda kama wananchi wa mkoa wa Mbeya tunapata aibu sana kuunadi mkoa wetu. watu wengi sana hawajawahi kufika Mbeya na ni mkoa unaojiuza sana mitandaoni.
Mtu anakuja Mbeya na hamu zake za kuuona mkoa afu anakutana na MABWAWA kama haya. Ni mkoa ambao kipindi cha VUMBI inakuwa kasheshe.
Msimu wa matope inakuwa ni kasheshe. Wananchi wa Mbeya hatujawahi kupumzika miaka yote tangu tuzaliwe. Na ukimsikiliza MBUNGE yeye hoja zake ni kwamba yupo karibu na wananchi anahudhuria sana kwenye misiba.
Anamiliki kitega uchumi cha kukopesha wakina mama , analeta mashindano watu wakimbie kimbie kama wamewehuka vichwani. Hizo ndio hoja zake.
Nawaza tuanzishe mfuko kama wananchi tuchange hela tujenge barabara zetu wenyewe maana tunaoteseka ni sisi. Wao wanashinda DAR.
Mvua zikianza mbeya USIJE utajuta, jua likianza mbeya usije utajuta kwa vumbi. Hiyo ndio Mbeya hatutaki wageni tutaona aibu.
Inaumiza sana aisee.
SATIVA17🫡
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya
- Kuelekea 2025 - Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM
Hata kama ingekuwa ni kilometre 1 lakini mkandarasi hHAYUKO site. Hiyo ndiyo JEY WORD.Una uhakika au unaropoka tuu? Harafu nani kukwambia ni km 22?
Mwisho kwani hujui kwamba Kuna km zingine 15 za Tactic,stendi na soko?
Mwambie Sugu aoneshe miaka 10 alijenga kipi? Naona unakuwa mjinga
Nani kakuongopea kuwa hakuna kinachoendelea ujenzi unaendelea kama kawaida kwa macho yangu juzi mitaa ya kilimo nimewaona Wakandarasi wanajaza na kushindilia kifusi kwenye Barbara iliyopanuliwaKwa taarifa yako hizo kilometre 22 za barabara toka Uyole hadi Songwe, hakuna kinachoendelea kwa zaidi ya miezi 10 sasa
Wapambe na machawa wa Tulia mumeshikwa makende na Sativa, hamfurukutiKwa hiyo SATIVA kutekwa tu amekuwa MTU mwenye kuongea sana na kutuamlia issue.Hapana, wananchi ndio waamue kwa kura not otherwise.
Kuwa chawa wa Tulia inabidi ujitoe fahamu. Sasa kama barabara inajengwa si uweke picha tuone? Mbona unaleta matusi??Kwa hiyo Mkandarasi anaweza timua vumbi Kwa kujipendea au bila malipo au ikoje?
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu,Kwa nini usiseme kwamba licha ya kutimua vumbi amejenga na anaendelea na ujenzi wa Makalvati na miundombinu mingine?
Kujenga Barabara sio sawa na kujenga madarasa,hapo km 35*2= Zinajengwa
Weka picha kama alivyoweka mtoa mada, vinginevyo na wewe wa ukae utakuwa ni mfanyakazi wa TULIA TRUST tu kama alivyo ChoiceVariable au Lucas MwashambwaNani kakuongopea kuwa hakuna kinachoendelea ujenzi unaendelea kama kawaida kwa macho yangu juzi mitaa ya kilimo nimewaona Wakandarasi wanajaza na kushindilia kifusi kwenye Barbara iliyopanuliwa
Mbishie na RC hapa alikuwa kwenye mikutano wa Hadhara Kabwe juzi hapo na Prof.Kabudi 👇👇Kuwa chawa wa Tulia inabidi ujitoe fahamu. Sasa kama barabara inajengwa si uweke picha tuone? Mbona unaleta matusi??
Nina picha nyingi sana zingine hizi hapa 👇👇Weka picha kama alivyoweka mtoa mada, vinginevyo na wewe wa ukae utakuwa ni mfanyakazi wa TULIA TRUST tu kama alivyo ChoiceVariable au Lucas Mwashambwa
Wanyiha watatu mazumbukuku
Umuhimu hana Kivipi?,We mnyama Nini!Mbona kama Sativa anajipa Sana umuhimu wenye Hana
Mabwege sana hawa machawa wa Tulia hasa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na ChoiceVariableNarudisha Mike kwa mheshimiwa Lucas Mwashambwa bingwa wa kugalagala kwa furaha akisikia jina la mama samia suluhu Hassan🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani wanaishia kumpa kofia, t-shirt,shati na ubwabwa,teuzi hapati!Narudisha Mike kwa mheshimiwa Lucas Mwashambwa bingwa wa kugalagala kwa furaha akisikia jina la mama samia suluhu Hassan🤣🤣🤣🤣🤣