Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe bwege kweli ,Kwa hiyo umesafiri kuanzia Ifisi Hadi Uyole ukakuta hakuna shughuli zinazoendelea? Unajua maana ya ujenzi wa Barabara kwanza ?

Naishi Burundi
Hakuna kitu kinaendelea. Kama kuna ujenzi wowote weka picha. Nyie mnameza maneno ya RC Homera!! Wacheni siasa kwenye maendeleo ya mkoa
 
Ni wewe tu ndiyo unaona barabara ikijengwa. Sisi tunaona vumbi tu kulia na kushoto mwa barabara. Hata ukikubali kuwa CHAWA wa Tulia, mara nyingine tumia akili yako.

Utakuta una familia halafu kutwa kutetea UJINGA
 
Ni wewe tu ndiyo unaona barabara ikijengwa. Sisi tunaona vumbi tu kulia na kushoto mwa barabara. Hata ukikubali kuwa CHAWA wa Tulia, mara nyingine tumia akili yako.

Utakuta una familia halafu kutwa kutetea UJINGA
Kwani kama hutaki kuona na umechagua kuona vumbi Kuna ubaya gani? Kuna Barabara itajengwa bila vumbi kutimka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dalili za kukata tamaa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/75M91tAZ9U4?si=VDvelV8gjM-sECrZ
 
Wana Mbeya hatukumchagua Tulia bali aliwekwa na hawara yake Mwendazake kwa kutumia NEC na POLISI. Tukutane mwaka kesho, patachimbika
Mlimchagua nani wewe nyumbu? Mnataka Mabadiliko au hamtaki? πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbeya inahitaji Mbunge, ila siyo Betina wala siyo Sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…