Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vyemaUtu hauwezi kuwepo mbele ya tamaa mkuu
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujiyolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Kimara kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Hospitali zetu unaweza kumfikisha wakakataa kumtibu mpaka awe na PF3Hapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!
Unbelievable.
Mkuu Mtu alikuwa Dar jioni jumapili kapatikana Katavi 🤣🤣Wapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Hii takataka umeitoa saa ngapi kwenye utumbo wako mpana?!HAWA WANYAKYUSA HUWA NI WAKAIDI WAMESHINDWA KABISA UCHAWA WAPUUZI HAWA. MNASHINDWA KUJIPENDEKEZA MUENDELEZE MKOA WENU?????????????????KWA NINI HILI KABILA WABISHI SANA?
Una maana gani kuwaita WAJEURI?HAWA NI AKINA ULIMBOKA SI NAYE ALIKUWA MNYAKYUSA? NI WAJEURI SANA HAWA JAMAA.
Kwahiyo waliofanya hivyo wameenda mbinguni? Kama siyo wamejichumia dhambi kubwa ambayo iko siku watalazimika kuijibia?Roma kelele zote hajasema , huyo Mdude anakwepesha maneno mpaka leo
WAJEURI SANA NA WABISHI. HUWA HAWAAMINI KAMA KUNA MTU YUPO JUU YAO.Una maana gani kuwaita WAJEURI?
Vikitokea vitendo vya kishenzi kama hivi lazima tumkumbuke mwasisi wa huu ushenzi, ndiyo legasi aliyoachaKwa ukatili wake.
CCM ni ile ile na ushetani wake ni uleuleVp atakuwa amefufuka nn, Si mlisema mamaenu hana mambo hayo?