Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

Bro; si unajibu tu maswali hapo; ulisema tunapotoka halafu unatujumlisha Wakristo wote what do u mean? Usikute hata satellite inayotufanya mi na wewe tuwasiliane hapa ni hayo hayo mazayuni.
Namaanisha mmepotoka kweli kwahio kama ya mzayuni kwani tunatumia bure
 
Pole sanaa wa kufanya hivyo hayupo
Hata kwa Saddam watu kwenye Kahawa walikuwa wakisema hivyo hivyo lakini US Army Rangers walipoingia Baghdad Kahawa nyingi zilikuwa chungu kama shubiri.
 
Pole sanaa wa kufanya hivyo hayupo

Kwenu huna wazazi kama mimi huna adabu mzayuni mweusi mkubwa wewe
Tatizo lako mdini hadi umekuwa muongo.
Nitanie nchi moja iliyovamiwa na Israel kwa uchokozi tu
 
Kwa sasa sidhanii kama saudia anaweza kupeleka vita Yemen maana anajua kitakachomtokea kama yemen wanarusha drones mpaka israhell vipi hapo saudia ila acha tuone
Japo nimechelewa kuuona huu uzi na kuchangia, lakini ulichoandika ndicho na mimi nilitaka kukiandika. Saudia hawezi kuingia kwenye huu mtego. Hizi ni taarifa za kuuza magazeti tu ili waandishi na familia zao waweze kwenda msalani au mkono kufika kinywani.
 
Najua umeandika bila kujua, ila cha ajabu comment yako ipo sahihi, nimeandika huko juu naandika na hapa. Israel yupo behind migogoro karibia yote Africa, Usifikiri Kina Mandela, Nyerere na viongozi wengine wenye Busara wanawapinga for nothing.

Kuna watu wawili unatakiwa uwafahamu kama mtu kutoka Africa
1. Dan Gertler
2. Ben Steinmez

1. Dan Gertler kwa jina Jengine anaitwa Master of cobalt, ndio mtu ambaye yupo nyuma ya migodi mingi ya Cobalt na shaba, vita vingi Congo, ukisikia watoto wadogo wanatumikishwa, watu wanapata kansa na migogor mbalimbali ya sehemu kama Congo huyu jamaa ndio yupo Nyuma, Even mataifa marafiki ya Israel kama Marekani huyu jamaa amekuwa sanctioned, mpaka Un Kofi Annan alilalamika sana Jinsi anavyoiibia Congo matrilioni ya Hela.
Hawa ndio wafanyakazi wake

View attachment 3141647

2. Ben Steinmez, huyu mzee wa Blood Diamond, Sierra lion, Guinea, Congo nenda Nchi yoyote watu wanaouana kwa ajili ya Almasi jamaa yupo Nyuma yake, Kampuni yake ni katika Kampuni zinazohodhi Almasi Duniani.

Wakienda Nchi za Ulaya wanakamatwa ila wanakimbilia Israel kukwepa hukumu kama Mabilionea wengi wa Israel wanavyofanya.

Hapo Sudan usisahau mwezi wa 9 Tu Netanyahu aliinua Ramani kuhusu the so called "Blessing" na "Cursed" akaleta mgogoro mkubwa tu kuhusu Sudan na anaowasuport. View attachment 3141652

Hivyo ndio, bila kujijua umeitaja migogoro ya Africa ambayo mabwana zako wanahusika.
Kuna Jewish series ipo Netflix inaitwa rough diamond, imeelezea scenario uliyoielezea kuhusu Jews kutumia Bank zao za Israel kutakatishia pesa zao ili kukwepa mikono ya sheria kutoka nchi nyengine.
 
Hata kwa Saddam watu kwenye Kahawa walikuwa wakisema hivyo hivyo lakini US Army Rangers walipoingia Baghdad Kahawa nyingi zilikuwa chungu kama shubiri.
Endeleeni kujidanganya safari hii americant hana mtu wakumburuza kwenda nae vitani dhidi ya Iran zamani alikua anasomba somba tu ila kwa sasa ulisahau hili wanangojea nini kwani kumchapa ajemi au mme wa zayuni
 
Japo nimechelewa kuuona huu uzi na kuchangia, lakini ulichoandika ndicho na mimi nilitaka kukiandika. Saudia hawezi kuingia kwenye huu mtego. Hizi ni taarifa za kuuza magazeti tu ili waandishi na familia zao waweze kwenda msalani au mkono kufika kinywani.
Kabisa ila sioni saudia anaingiaje vitani wangeenda kwanza alipoambiwa na marekani waunde muu ngano dhidi ya Houthi na red sea ila wakakimbia ila acha tuone
 
Tatizo lako mdini hadi umekuwa muongo.
Nitanie nchi moja iliyovamiwa na Israel kwa uchokozi tu
Unaijua Damascus crisis ya 1958!?
Ilisababishwa na Israel,sasa niambie Syria iliifanya nini Israel wakati huo!?
 
Endeleeni kujidanganya safari hii americant hana mtu wakumburuza kwenda nae vitani dhidi ya Iran zamani alikua anasomba somba tu ila kwa sasa ulisahau hili wanangojea nini kwani kumchapa ajemi au mme wa zayuni
UK,US Ausralia wanatosha kuwaondoa Ayatolah Regime.
SaudI Arabia Oman na Bahrain wanatoa Bases.

B2 Bombers zinaletwa Diego Garcia
 
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel wameisha peleka askari Sourh Yemen, ili wamsaidie Israel. Hali imekuwa tete huko Israel. Hizo nchi zinataka kuondoa majeshi ya Yemen ya Al Houth pale Red Sea, sababu wamejua kumkaba Israel kwenye koo pale Red Sea.

Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una muona rafiki na adui una muona rafiki.
Sawa mkuu. Tuwaache wafe wakawazike wafu wao.
 
Hata kwa Saddam watu kwenye Kahawa walikuwa wakisema hivyo hivyo lakini US Army Rangers walipoingia Baghdad Kahawa nyingi zilikuwa chungu kama shubiri.
US alienda na mataifa 44 aliogopa kumsogelea Sadam peke yake.

Kumbe nyie wanaume ni wale wanao saidiwa na mataifa mengi kupigana vita 😄
 
US Airforce na UK Royal Airforce ndio zilizotoa Dozi hao wengine walikuwa ni Vidampa tu.
Hahaha wacha uwongo Saud Arabia Air force pia walikuwepo, Australia, Netherlands nenda katazame fact sio unaropoka tu.
 
Wahi Mirembe, hujui kama UK ndio inayomlinda Oman😂
UK aliomba akampige Yemen akambiwa haruhusiwi kupita katika Oman airspace apewe base apige Iran 😄 We hata hapo Mirembe hapakufai wakupeleke kwenye vituo vyenye uwezo wa kutibu vichaa kuliko Mirembe.
 
Ni hivi hakuna mbabe yeyote wa dunia anaweza sogea Iran, si walikua wanamtafuta sasa kajaa walipue visima alafu waende
 
Back
Top Bottom