AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
🙂 poa boss, nimekuelewa.Mkuu with all due respect,na wewe do your homework.Kumbuka kwamba natumia MB.
Ni ajabu kwamba people fail to grasp this,thakyou.1.Super Inflation around the corner.
2.Chaos...... Then....... ORDER.
3.2023 their year to start the big thing.
4.New financial system
5.You can't have the new world without delete the OLD ONE.
6.New police.
....ukifuatilia utaona Uchumi WA USA ni kama unaelea hivi. Trump alisema sana wakamwita Snitch wakamtimua.... Slow Joe yeye Hana Habari Hana ushawishi.....
Don't worry they will blame it on Corona and they will blame it on Russia.
Syria imekuaje,,,, kwa sasa wanaweza pindua pale tu ambapo mrusi hawezi ingia ila kama wataingia wababe wenzie mmarekani anaufyataAmerica wanaweza kupindua kingdom in just one day if they want too .. or feels it’s necessary to do so
Emu elezea sababu za kiuchumi zitakazo sababisha Saudia aumie kwa kuacha kutumia USD?Huwa nawashangaa Watanzania, mtu anajiokotea habari huko mtandaoni na kupost bila verify
Saudi hawezi dump dollar maana ataumia yeye.
China mwenyewe hafanyi dollar dumping
Huyo king kama ana akili kama zako za kutegemea USA ku rule kingdom, basi hana akili hata kidogo. Marekani hana history ya kuaminika. Ukiona yupo mahali basi jua yupo hapo kwa maslahi tu.Brother I don’t like to use the word stupid but I would say you’re stupid if yo believes that . 15 percent in SA are Shia and they are the ruler .. the king family .. 85 percent Sun who oppose the kingdom and the have witnessed so much injustices against them just not long time ago the sun sheikh sentenced to death an king led by Saudi kingdom .. if American military base wasn’t in SA or American decide to leave Saudi the kingdom will fall … the Shia gets support from Neighbor Yemen and Iran only America stoping them from overthrowing the kingdom
Mfumo walotumia kuipandisha ndo utatumika kuishusha[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.
Nilishasema warabu hawana akili
Kuna mtafiti na mtafutaji, na hapo kwenye watafutaji sasa, hata Haji Manara ni mtafutaji.Mimi ni mtafiti,sio wa kusiliza udaku kwenye vijiwe vya kahawa na kusoma Mtanzania,Uhuru,Nipashe, Habari leo etc. na kusikiliza ITV,TBC,Channel 10,Clouds TV au BBC, CNN na Aljazeera kama wewe,We look for true,authentic state of the art information.Siwezi kuleta pumba hapa, kwa kuwa nia yangu ni kuelimisha.
Si useme tu barter trade! Mbona unazunguka sana? Ehee halafu ndiyo inakuaje?😅😅Mpango wa BRICS ni kwamba kila nchi ifanye biashara tokana na sarafu yake,,,,.......na sarafu wanataka zisapotiwe na resource fulani aidha dhahabu au madini mengine, ndo maana kwa sasa kuna nchi zinakusanya sana dhahabu.....ukienda kununua bidhaa nje,tuseme ndo hayo mafuta ukaambiwa ulipe kwa pesa yako...watapima thamani ya pesa yako tokana na soko la dhahabu lilivyo (mf....gram5 ya dhahabu ni sawa na tsh2), dollar ni mfumo wa kuprint tu makaratasi ila nyuma yake hayana kitu chochote cha kubeba thamani yake na ni sarafu ya kinyonyaji sana
BRICKS watatuambia sarafu gani itatumika. Inaweza ikawa ya india, Russia, china, Saudia, south Africa nk nk. Hapo tunaondoa ule ulazima wa kutumia dolaKwahiyo mnamaanisha mku akitaka kununua pipa 1000 za wese kutoka Saudia abebe na kontena la dhahabu au Silver? Au kila taifa liende na sarafu yake pale Saudia? Japo sina nilijualo kuhusu mambo ya fedha lakini naona itakuwa ni kurudi Enzi za mawe kwa kufanya bihashara ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa. Ingeeleweka kama hao BRICKS wangesema tunaunda sarafu nyingine either ya China au ya Russia iwe mbadala wa US dollar ila ukisema manunuzi yako yalinganishwe na thamani ya Silver uliyonayo, utajikuta unahitaji kuwa na tani kadhaa za silver ili uweze kuagiza ndege moja kama zile Pangaboy.
Me naona wewe ndo huna akili , afu wanafata warabu[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.
Nilishasema warabu hawana akili
Ndo hapo hayo maswali hayana majibu.Na Saudi wakitaka kununua vitu kutoka US mfano silaha na mitambo ya kuchimba mafuta, watatumia currency gani?
Na China akiuza bidhaa zake US, atalipwa kwa hela gani na ataitumiaje hiyo hela kama si kwa kiasi kikubwa kununua mafuta?
Ndo hapo, hayo magari mazuri yatakuja TzKwanza US tayari mpaka ukifika mwaka 2030 watakuwa wamekata matumizi ya mafuta Kwa asilimia 70 … California ikifika 2030 ni marufuku kuendesha gari zinazotumia mafuta huku wanajenga power charger kila kituo cha mafuta na vituo barabarani ukinunua gari ya electric hulipi kodi sikuizi kampuni za magari huku hazitengenezi gari mpya za kutumia mafuta tena [emoji3]
Waulize Brics imesaidia nini kwenye vita huko UkraineHiyo BRICS haina tofauti na AU, ni Simba wa kuchorwa tu.
Bado US anamhitaji Saudi na ndo maana MBS kafutiwa hati ya kushtakiwaSasa hv mfalme anaondolewa madarakani na US,kesi ya mauaji ya Kashoghi and the likes itafufuliwa
US akiamua anaweza hamisha watu wake wote ndani ya wiki hapo Saudi kama Afghan afu akawaachia mlango houthis uone mziki wake lazima saudi ipoteeBrother I don’t like to use the word stupid but I would say you’re stupid if yo believes that . 15 percent in SA are Shia and they are the ruler .. the king family .. 85 percent Sun who oppose the kingdom and the have witnessed so much injustices against them just not long time ago the sun sheikh sentenced to death an king led by Saudi kingdom .. if American military base wasn’t in SA or American decide to leave Saudi the kingdom will fall … the Shia gets support from Neighbor Yemen and Iran only America stoping them from overthrowing the kingdom
They need one another, Saudi anamtaka Marekani for security and business maana ndiye mteja mkubwa wa mafuta.America wanaweza kupindua kingdom in just one day if they want too .. or feels it’s necessary to do so