Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Umeona shift ya industries towards Taiwan, Vietnam, Indonesia, India?

Uliona impact ya Trump kwa Huawei?
 
Umeona shift ya industries towards Taiwan, Vietnam, Indonesia, India?

Uliona impact ya Trump kwa Huawei?
Unafahamu ni kwa nini baadhi ya viwanda vya magharibi vilifunga uzalishaji wake ?

Uliona madhara ya trade war ?
 
Si useme tu barter trade! Mbona unazunguka sana? Ehee halafu ndiyo inakuaje?😅😅
Soma historia kabla ya hio dola mfumo ulikuaje..........watu mnakomalia kama vile hili jambo ni jipya..............pound tu hapo kipindi muingereza yupo juu ilikua inabebwa na resource nyingine, haikua pesa ya karatasi kama hii dola sasa na hakikua kipindi cha barter trade......
 
Asia(4.8 billion people),India(1.4 billion people) and China (1.4 billion people) are the largest markets in the World mkuu.America has only 349 million people,litakuwaje soko kubwa sana? Infact America needs China more than China needs America.Hata kama America isipokuwa kwenye the Chinese equation,China can still survive comfortably by selling it's products to itself,Asia,India,Africa (1.2 billion people)and Europe(746 million people),not of course forgetting Russia(147 million),Australia(26 million),South America(423 million),Japan(126 million),New Zealand(5.2 million and Canada(39 million)
 
Nyingine hizo ni disposable populations. Zisikupumbaze
 
Sababu tu historia inasema hivi isiwe sababu ya kujisemea chochote.
Wote tunajua mambo hubadilika, na si kila jaribia la kujaribu kubadilisha basi nd8yo ichukuliwe kuwa limefanikiwa. Mengine yanabaki tu kuingia kwenye historia ya kujaribu
 
Sababu tu historia inasema hivi isiwe sababu ya kujisemea chochote.
Wote tunajua mambo hubadilika, na si kila jaribia la kujaribu kubadilisha basi nd8yo ichukuliwe kuwa limefanikiwa. Mengine yanabaki tu kuingia kwenye historia ya kujaribu
Basi tulieni watu wakijaribu msitokwe povu , sababu hamna mamlaka yeyote juu yao
Tulieni dawa iwaingie,,,,,,,,,.......
 
Ingeanguka RUSSIA kwanza

Mataifa kibao yameekewa vikwazo na US nahayajaanguka

Toka DUNIA imeumbwa ZIMBABWE tu ndio imeanguka sababu ya kuekewa vikwazo tena sio na US pekee walishirikiana kibao

Swala la kuanguka UCHINA sababu ya vikwazo vya US hilo sahauuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachooamini hata during the fall of roman or british empire watu wengi walikuwa hawaamini kuwa vast empire kama hii yenye kila kitu uchumi mzuri, jeshi zuri na ushawishi mkubwa iweze kuanguka. Kama roman empire, mongolia empire, persia empire na current british empire zimeweza kuanguka bas amini usiamini american empire nayo itaanguka tu kwa sababu ukiangalia sababu zilizoifanya roman empire ianguke ndio zinaikuta marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…