Iran na n.korea wameshindwa mnawapa sifa us kuliko kawaida they can also test defeat from even the weakest countryAmerica wanaweza kupindua kingdom in just one day if they want too .. or feels it’s necessary to do so
Stop being delusional and arrogant sanction zimeshindwa kwenye weak economy like iran na korea achilia mbali russia ambako tunaona sanction za west zinavo boomerang, leo ndio aende akaiwekee vikwazo giant economy like china? You are dreamwalkingNimesema before and I will said it again hakuna nchi hata moja duniani inayoweza kujiangusha America hana China 40 to 50 percent ya decent taxable products wanauza hapa america kama america wakaamua ku sanctions China it will be the end of China . America is the biggest market in the world kwenye upande wa kuuza na kununua. America budget is bigger than all Europe combine Kwa mwaka
Umesema kweli kabisa,Ujerumani wamejitahidi na Uengereza ikashindikana..They decided to join US .Waarabu bado kabisa kama ulivyosema China na Urusi wanaweza but in very short period due to fact that bado hawana misingi imara ya system ya fedha kama ilivyo marekani.Marekani anahakikisha anawekeza kote duniani in form of share.[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.
Nilishasema warabu hawana akili
Hapo kuungana ndio kuna shida.US watafanya wafanyalo msiunganeNiambie kwa nini iwe WWIII.Kutumia Dollar kama Petro Dollar ilikuwa by design,so it can be removed by design,wala hakuna lazima kutumia Petro Dollar.Ni kweli Wamarekani watakasirika,we know, lakini kama nchi zingine zote zitaungana,there is nothing America can do,they will have to sit down and watch the Empire crumble.
Tunajua walimuua Gadafi alipofanya jambo kama hili,sasa tusubiri tuone kama watamuua MBS.
Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli 😀Stop being delusional and arrogant sanction zimeshindwa kwenye weak economy like iran na korea achilia mbali russia ambako tunaona sanction za west zinavo boomerang, leo ndio aende akaiwekee vikwazo giant economy like china? You are dreamwalking
Miaka kumi iliyopita Mozambique walipunguza masifuri matatu ktk helayao, je, uchumi wao ulipanda au waliamua kama nchi kupunvuza hayo masifuri??Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli 😀
So what...ni kipi walichoizuia iran za ya kuifanye iweze kujitegemea iran kwa sasa inaweza kutengeneza almost kila kitu nchini kwake so ukiniuliza matokeo ya sanction za marekani kwa iran nitakwambia wameifanya iran kuwa bora than beforeUnajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli [emoji3]
Idadi ya watu isikupumbaze ingekua hivyo India ingekua na Uchumi mkubwa kupita Ujerumani au Japan.Asia(4.8 billion people),India(1.4 billion people) and China (1.4 billion people) are the largest markets in the World mkuu.America has only 349 million people,litakuwaje soko kubwa sana? Infact America needs China more than China needs America.Hata kama America isipokuwa kwenye the Chinese equation,China can still survive comfortably by selling it's products to itself,Asia,India,Africa (1.2 billion people)and Europe(746 million people),not of course forgetting Russia(147 million),Australia(26 million),South America(423 million),Japan(126 million),New Zealand(5.2 million and Canada(39 million)
Kama hujui kwa nini Ujerumani na hata Japan ina uchumi mkubwa kuliko India na unasema umesoma hujasoma,go back to school.Idadi ya watu isikupumbaze ingekua hivyo India ingekua na Uchumi mkubwa kupita Ujerumani au Japan.
GDP per Capital ya Uchina ni $12,000 wakati Marekani ni $60,000,Mara tano zaidi. Raia wachache wa Marekani wana nguvu ya manunuzi kushinda Raia bilioni wa Uchina.
Safi sanaMimi ni mtafiti,sio wa kusiliza udaku kwenye vijiwe vya kahawa na kusoma Mtanzania,Uhuru,Nipashe, Habari leo etc. na kusikiliza ITV,TBC,Channel 10,Clouds TV au BBC, CNN na Aljazeera kama wewe,We look for true,authentic state of the art information.Siwezi kuleta pumba hapa, kwa kuwa nia yangu ni kuelimisha.
Daah hivi kweli unajua yanayoendelea hapa duniani kwa sasa?Hizo ni porojo tu, hamna mbadala wa dola kwa kipindi hiki ambapo Marekani na washirika wake ndio wanatawala uchumi wa dunia.
Kwa hiyo wenyewe watafanya biashara kwa sarafu gani kama ni hivyo. Hizi ni siasa zinazoenezwa na mataifa pinzani na Marekani ili kujaribu kupunguza frustrations zao.
China anawadanganya tu wenzake wakati yeye anategemea soko la Marekani kuuza bidhaa zake kwa dola ambapo amekuwa akipata zaidi ya dola bilioni 500 kwa mwaka. Huoni kwamba huyu anawachuuza wenzake.
Leo hii sarafu nyingi zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola na juzi tu nilikuwa Kenya kwenye mabenki ya huko 1 USD= 144+ Kshs na hapa Tanzania 1 USD=2,387 Tshs na bado hela zetu zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola.
Zaidi ya 80% ya madeni yetu yapo kwa dola na mikopo na misaada inayotolewa bado itakuwa kwa dola na zitalipwa kwa dola sasa mtu anaposema kwamba dola haitakuwepo nafikiri hajui anachoongea.
Umesema ulikuwa Kenya,na hii unaisemeaje kutoka Kenya yenyewe uliokuepo?Hizo ni porojo tu, hamna mbadala wa dola kwa kipindi hiki ambapo Marekani na washirika wake ndio wanatawala uchumi wa dunia.
Kwa hiyo wenyewe watafanya biashara kwa sarafu gani kama ni hivyo. Hizi ni siasa zinazoenezwa na mataifa pinzani na Marekani ili kujaribu kupunguza frustrations zao.
China anawadanganya tu wenzake wakati yeye anategemea soko la Marekani kuuza bidhaa zake kwa dola ambapo amekuwa akipata zaidi ya dola bilioni 500 kwa mwaka. Huoni kwamba huyu anawachuuza wenzake.
Leo hii sarafu nyingi zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola na juzi tu nilikuwa Kenya kwenye mabenki ya huko 1 USD= 144+ Kshs na hapa Tanzania 1 USD=2,387 Tshs na bado hela zetu zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola.
Zaidi ya 80% ya madeni yetu yapo kwa dola na mikopo na misaada inayotolewa bado itakuwa kwa dola na zitalipwa kwa dola sasa mtu anaposema kwamba dola haitakuwepo nafikiri hajui anachoongea.
Mkuu,kwa bahati mbaya ni watu wachache wanao liona hilo - wengine wanakuja ba hoja za ajabu eti dollar imeanza kutimika kwenye masuala ya biasharana uchumi eti nani mwenye ubavu wa kuidhoofisha matimizi yake Duniani - hawasomi hata strategy ambazo wenzake wamepanga to cut to size matumizi ya dollar Duniani - akisoma/angalia kwa umakini bula ya kusukumwa na ushabiki utaona wazi wazi kwamba jamaa wamekwisha anza kufanikiwa kikubwa, ni suala la muda tu kabla Dollar haijafa kifo kama cha British Sterling mapema kwenye karene ya kumi na tisa - someni vizuri kilicho andikwa humu including na reference ili ujilidhishe - sio mambo ya kubuni, mataifa mengi yamekwisha kata shauri kuachana na matumiza ya dollar.Dunia inakokwenda kunafurahisha sana. Ujanja ujanja wa marekani kuipatia umaarufu dola unakwenda kichinjwa.
Wewe ndio hujui. Eti mimi nisijue wewe ndio ujue, wewe pambana na swaumu tu.Daah hivi kweli unajua yanayoendelea hapa duniani kwa sasa?
Huo mkutano wa BRICS wa August, utakuwa pigo kubwa sana kwa west maana hawataamini macho yao kuona nchi nyingi sana kujiunga na BRICSMkuu,kwa bahati mbaya ni watu wachache wanao liona hilo - wengine wanakuja ba hoja za ajabu eti dollar imeanza kutimika kwenye masuala ya biasharana uchumi eti nani mwenye ubavu wa kuidhoofisha matimizi yake Duniani - hawasomi hata strategy ambazo wenzake wamepanga to cut to size matumizi ya dollar Duniani - akisoma/angalia kwa umakini bula ya kusukumwa na ushabiki utaona wazi wazi kwamba jamaa wamekwisha anza kufanikiwa kikubwa, ni suala la muda tu kabla Dollar haijafa kifo kama cha British Sterling mapema kwenye karene ya kumi na tisa - someni vizuri kilicho andikwa humu including na reference ili ujilidhishe - sio mambo ya kubuni, mataifa mengi yamekwisha kata shauri kuachana na matumiza ya dollar.
Endekea kuota. China ameshashitukia mchezo kitambo sana. Anajua hana usalama wa uwakika kwa kumtegemea marekani kwa kila kitu na ameshanza kuchukua hatua.Hizo ni porojo tu, hamna mbadala wa dola kwa kipindi hiki ambapo Marekani na washirika wake ndio wanatawala uchumi wa dunia.
Kwa hiyo wenyewe watafanya biashara kwa sarafu gani kama ni hivyo. Hizi ni siasa zinazoenezwa na mataifa pinzani na Marekani ili kujaribu kupunguza frustrations zao.
China anawadanganya tu wenzake wakati yeye anategemea soko la Marekani kuuza bidhaa zake kwa dola ambapo amekuwa akipata zaidi ya dola bilioni 500 kwa mwaka. Huoni kwamba huyu anawachuuza wenzake.
Leo hii sarafu nyingi zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola na juzi tu nilikuwa Kenya kwenye mabenki ya huko 1 USD= 144+ Kshs na hapa Tanzania 1 USD=2,387 Tshs na bado hela zetu zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola.
Zaidi ya 80% ya madeni yetu yapo kwa dola na mikopo na misaada inayotolewa bado itakuwa kwa dola na zitalipwa kwa dola sasa mtu anaposema kwamba dola haitakuwepo nafikiri hajui anachoongea.
Ni kweli hata Saudi Arabia ilikuwa inaunga mkono BRICS siku nyingi tu lakini ilikuwa inaifanya kama siri - miaka kama minne mitano hivi iliyo pita Sweden na Norway walitaka kutuma maombi ya kujiunga kwa kuwa BRICS si taasisi ya kijeshi bali ya kifedha na Uchumi walisema hawawezi kupuuzia taasisi kama hiyo, lakini Merikani imepania kuipiga vita taasisi ya BRICS kwa kueneza propaganda za uongo kupitia MSM zao na social media zao zenye lengo la kuiharobia sifa BRICS - ndio walivyo.Huo mkutano wa BRICS wa August, utakuwa pigo kubwa sana kwa west maana hawataamini macho yao kuona nchi nyingi sana kujiunga na BRICS