Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Umesema ulikuwa Kenya,na hii unaisemeaje kutoka Kenya yenyewe uliokuepo?
Sina uhakika ana maana gani? lakini kama anaongelea wenye dollar watakuwa in disadvantage kutokana na market au currency nyingine, anajidanganya tuu na yeye ndio ataumia, China bado sana na huwezi kuamini wakomunisti wanao control pesa yao kwa vikao badala ya market forces, China ana exports to US na European countries zaidi ya dollar trillion kwa mwaka, anawahitaji hao wazungu na dollar zao kuliko sisi tunavyowahitaji, story za kutumia currency nyingine zaidi ya dollar ni siasa zaidi kuliko uchumi
 
Umesema ulikuwa Kenya,na hii unaisemeaje kutoka Kenya yenyewe uliokuepo?
Umeelewa alichokisema Ruto? Aliposema "Those who hold dollars" hii sentesi umeielewaje?? Au aliposema "After a couple of weeks this market is going to be different" ndiyo ulitaka kumaanisha kwamba wanaachana na Dollar!!?
 
Sterling pound iliangukaje ?
 
Fall of USA is the fall of the world,hizo ni ndoto tena saudia ndio kibaraka mkubwa wa USA ingekua mchina au mrussi kasema hivyo sawa.
Mkuu ujue kuna vitu watu wanongea hadi unajiuliza wanaishi dunia ipi,
Saudi mafuta yake hadi leo anauza kwa currency ya dola .
Kama saudi mwenye ku export millions. of crude oil ameshindwa kuiangusha Us dollar , ndo aweze Ruto mwenye ku export hoticulture ?
 
Bongo yatakuwa dili kuendeshea generators maana chini ya mdudu ccm hakuna siku kero ya umeme itaisha nchi hii kila siku hali inazidi kuwa mbaya.
Nimeimagine hii situation halafu nikajiuliza; then what was the point ya electric car kuweka jenereta ya mafuta tena!!!!🤣🤣. Wabongo mmmh
 
Wenye akili ndogo wanaopenda kuota mchana hawawezi kukuelewa.
 
Labda mtafiti wa uganga wa kienyeji na conspiracies.
 
Hata hiyo Russia yenyewe wangependa pesa za mafuta wawe wanalipwa kwa dola, vikwazo tu ndio vimewafunga.
Nafikili tunashindwa kuelewa. Swala ni kwamba hoa waujazi wa mafuta hawatakuwa na ulazima wa mteja kutumia dola kununua mafuta. Mfano mzuri ni Russia jinsi anavyouza mafuta yake kwa sasa. Mmemfungia dola lakini mauzo yake yanazidi kupaa
 
Katika hizo Transaction za mafuta washiriki wamojawapo wakubwa kama wazalishaji na wananunuzi ni pamoja ns US, Canada na Umoja wa Ulaya.
 
Hizo ni siasa za wanasiasa tu, uhalisia ni tofauti kabisa katika biashara halisi kwa biashara na wafanyabiashara wa kimataifa.
 
Sasa hivi Marekani anashirikiana na India ambaye ni mwanachama mmojawapo wa BRICS kuipiga pini China katika teknolojia ya microchips, na wako katika mpango kabambe wa ushirikiano wa kijeshi kuijengea India uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na China
Huo mkutano wa BRICS wa August, utakuwa pigo kubwa sana kwa west maana hawataamini macho yao kuona nchi nyingi sana kujiunga na BRICS
 
Sasa hivi Marekani anashirikiana na India ambaye ni mwanachama mmojawapo wa BRICS kuipiga pini China katika teknolojia ya microchips, na wako katika mpango kabambe wa ushirikiano wa kijeshi kuijengea India uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na China
Bado haujawajua wahindi vizuri wewe🤣🤣🤣🤣. Pole sana.

Hapo marekani anaingizwa cha kike. India inapata benefit nyingi sana kutoka Russia na China kuliko benefits atakazopata kutoka marekani
 
Shida hapo Sina Imani na India na SA kwa kuwa hawana utawala stable kama Hao watatu so anytime wanaweza kuwa vibaraka ndani ya bricks na mmarekani aka take advantage ya kuwamaliza
 
Shida hapo Sina Imani na India na SA kwa kuwa hawana utawala stable kama Hao watatu so anytime wanaweza kuwa vibaraka ndani ya bricks na mmarekani aka take advantage ya kuwamaliza
Mtaongea sanaaa marekani imeshaelekezwa kibra. Subirini hiyo August kwenye mkutano wa BRICS mpigwe na kitu kizito
 
Sasa hivi Marekani anashirikiana na India ambaye ni mwanachama mmojawapo wa BRICS kuipiga pini China katika teknolojia ya microchips, na wako katika mpango kabambe wa ushirikiano wa kijeshi kuijengea India uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na China
Unafikili India haifahamu kuwa marekani ni joka lenye sumu kalli? Marekani kama anataka kumtengeneza India kuwa adui wa China, basi imechelewa sanaaa na hizo mbinu za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…