Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.

Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.

View attachment 2851322
Kuna shida gani kwani?? Walikuja kukuomba pesa za kwenda hija??

Uzuri ibada ya hija ni kwa watu wenye uwezo tu

Haitakiwi asiye na uwezo kujikandamiza na kujibana kisa kwenda hija.
 
Ibada ya Hajj

Kilugha Hajj ni kukusudia na kulielekea jambo. Katika istilahi ya kidini, inamaanisha kutembelea sehemu maalumu katika wakati maalumu pamoja na matendo maalumu.

Pahala Maalumu ni Kaaba na Arafat.

Muda maalumu ni miezi ya Shawwal na Dhul-Qada na siku 10 za mwanzo za mwezi wa Dhul-hijja.

Vitendo maalumi ni vinavyohusiana na hajj kama kuzunguka Kaaba, waqfa kwenye Arafat na sa’y.

Amri inayohusu Hajj

Ibada ya hajj ni moja ya nguzo 5 za Uislamu. Ni ibada inayotekelezwa kimwili na kifedha.

Imefaradhishwa mwaka wa 9 wa Hijra. Kwa hakika Hajj ni fardh kwa mujibu wa Kitabu (Quran), sunnah na makubaliano ya wanachuoni.

Aya ya Quran inayoelezea kuwa hajj ni fardh ni inayofuata:

Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. (Aal-i Imran, 97).

Hajj ni fardh kwa kila Mwislamu muumini mwanamume na mwanamke mwenye kutimiza masharti muhimu ya kuhiji. Suala hili linaelezwa katika hadith kama ifuatavyo:

“Enyi watu! Mmefaradhishiwa ibada ya hija. Kisha, timizeni ibada ya hajj.”

Swahaba mmoja akauliza,

- Ewe Mjumbe wa Allah! Ni fard kila mwaka?

Mtume (s.a.w.) alinyamaza mpaka yule mtu akauliza swali hilo hilo kwa mara ya tatu. Kisha akasema,

“- Kama ningelisema ‘ndio’ ingeliwajibika kuwa ni fardh kwenu kila mwaka na msingeliweza
Nyie ni mifugo tu ya wasaudia inakusanya pesa sawa na bajeti ya tz . Kweli wajinga ndio waliwao uchafu kidogo tu kwenye vikaratasi walivyohifadhi waroma ndio unawapeleka saudia kuzurula
 
Baada ya papa kubariki kulana malinda tutasikia mengi kwa wafuasi ili kujipa relief

😂😂😂😂😂😂
Bora papa sasa nyie mtume wenu alibaka vitoto vya miaka 9 na kukigeuza mke na kuoa kizee akawa mariooo anatunzwa mtume alikua anapenda sana ngono nasikia ashawahi mnyonya mate mpaka mwanaume
 
Nyie ni mifugo tu ya wasaudia inakusanya pesa sawa na bajeti ya tz . Kweli wajinga ndio waliwao uchafu kidogo tu kwenye vikaratasi walivyohifadhi waroma ndio unawapeleka saudia kuzurula
Wewe punguani kweli unalazimisha uharo wako Saudia na Hijja kipi kimewahi unajua Hija ya kwanza ilikiwa Palestina? Ufahamu Uislam wewe nenda kafunge ndoa za mashoga Kanisani.
 
Royal tour yetu nayo ije na ubunifu utakaofanya mamilioni ya watu kutoka pande na kona za ulimwengu huu waje Tanzania kwa karne na karne zijazo kutuletea mabilioni ya fedha za kigeni
 
Bora papa sasa nyie mtume wenu alibaka vitoto vya miaka 9 na kukigeuza mke na kuoa kizee akawa mariooo anatunzwa mtume alikua anapenda sana ngono nasikia ashawahi mnyonya mate mpaka mwanaume
Mtume wetu sisi alioa

Pale vatican kuna kesi ngapi za hao mnowaita makasisi wenu kunajisi watoto wadogo?

Njoo na facts siropoki tuendelee kama uko na facts
 
Wagalatia Mnatafuta njia ya kujipoza kweli kutokana na kauli ya Papa wenu

Embu kwanza kazime moto nyumbani kwako halafu ndo uende kwa jirani

Taifa teule limekuwa taifa la magasho pumbafu kabisaa

Leo mumeenda kuwabariki wale mkuu wenu alowaambia?

Hhhhhhhhhh dah nacheka mazuri kumbeee ...
Wakatoliki wa kule Roma na matawi yao dunia nzima hawana uhusiano na kanisa la Yesu Kristo.

Wasaudi angalau wawafanyie muende bure maana wanawanyonya.
 
Halafu utumbie israel anatengeneza ngapi mkienda kuhiji mpk mnarudi na viudongo
Mtu anayekwenda kuchukua udongo Israel anafanya hivyo kwa utashi wake, hakuna agizo hilo kwenye biblia.
 
Kuna shida gani kwani?? Walikuja kukuomba pesa za kwenda hija??

Uzuri ibada ya hija ni kwa watu wenye uwezo tu

Haitakiwi asiye na uwezo kujikandamiza na kujibana kisa kwenda hija.
Jamaa waliunda dini kupiga hela za maskini.
 
Back
Top Bottom