Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

Mtume wetu sisi alioa

Pale vatican kuna kesi ngapi za hao mnowaita makasisi wenu kunajisi watoto wadogo?

Njoo na facts siropoki tuendelee kama uko na facts
Mtume alioa kitoto cha miaka tisa 0pppalikua mbakaji, alikua punga alimnyonya mate hassan. Alikua mariooo alikuq analelewa na kibibi
 
Mm mkatoliki ila hapa mmekosea heshima uislamu .hija na uislamu ulikuwepo kabla ya saudi arabia.hakuna tozo inatozwa kuhiji ila ili uhiji ukilala hotelini ndo mapato wanayohesabu .

Wakatoliki si ndio nyinyi papa amewabariki wanaume kushikana makalio.
Pole sana
 
Israeli anaingiza trillion ngapi tunapokwenda kutembelea inayoitwa miji mitakatifu?
Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.

Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.

View attachment 2851322
Kwa hiyo wale wanaoenda Israel na Saudia hawana tofauti na wale wanaoenda kwa Mwamposa🤣.
Tofauti iliyopo ni kwamba wa Mwamposa wanaenda Kawe halafu wale wengine wanatumia Passport, Visa na gharama nyingine nyingi😁
 
Acha uongo. Uwe unafuatilia. Ndiyo myie mkiambiwa hata matumizi ya nyota na nusu mwezi katika uislam ilibuniwa na Waturuki kuenzi tamaduni zao za kituruki bado mtabisha
Vp na wewe utakwenda kubarikiwa kwenye mambo yenu yakushikana makalio?
 
Vp na wewe utakwenda kubarikiwa kwenye mambo yenu yakushikana makalio?
Ndiyo nini hicho ulichokiongea? Au ndiyo nyie vielekezo kwamba binaadam wa sasa hawana uwezo wa kutumia akili zao kusoma, kufuatilia na kuyaelewa mambo hadi wasimuliwe? Matokeo yake vyombo vya habari vinasimulia vitakacho na matokeo yake mnabaki kupigana vikumbo kama ng'ombe waliokatwa vichwa?
 
Wewe ni mjinga sana
Huu utaratibu wa kwenda huko upo hata kabla ya hio saudi Arabia kuanzishwa
Sasa hao wazee waliokuwa wakikaa hapo si ndo walianzisha ili kupiga maokoto? Yaani hizi dini ziliharibu kila kitu unakuta mtu akila tende ya Saudi Arabia moyo wake kwatu yaani anajihisi kuelea peponi lakini mwambie ale tende kutoka somalia anaweza kukusonya msonyo wa hatari, utakuta jitu jingine pumbav linafurahia kusikia ziraili imeua wapalestina kadhaa sasa si bora budha na masingasinga wanaobatizana huko mto GANGES NA INDUS kwenye bonde la INDOGANGETIC PLAINE
 
Israeli anaingiza trillion ngapi tunapokwenda kutembelea inayoitwa miji mitakatifu?
Biblia haijaweka kifungu cha kuhiji israel lakin watu wanaenda kwa mapenz yao binafs mashallah. Ila Saudia wameeka kifungu kinachotulazimisha waislam tusio na hela tupambane twende kabla hatujafa. Laana-tu-llah
 
Biblia haijaweka kifungu cha kuhiji israel lakin watu wanaenda kwa mapenz yao binafs mashallah. Ila Saudia wameeka kifungu kinachotulazimisha waislam tusio na hela tupambane twende kabla hatujafa. Laana-tu-llah
Hicho kifungu saudia wamekiweka wapi?
 
Wakati wa Quran kulikua na Saudi Arabia!?..

Ilikuwepo jina tu ilikuwa tofauti. Ila ardhi ni ile ile.

Ni kama ardhi ya tanganyika na Tanzania.

Wakati nyerere anapigania uhuru Tanzania haikuwepo ila kariakoo ilikuwepo pale pale ilipo leo
 
Back
Top Bottom