Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
View attachment 2851322
Haya mapato ni dunia nzima,kuanzia pale anayekwenda kuhiji anakotoka,tena bila kuchagua kabila,dini,asiye na dini,utaifa,rangi ya mtu anayeyekwenda hija anawalipa kupata huduma kwao,nk.Mtu anaptoka nyumbani,mji anaoishi kuelekea kufanya Hija(ambayo hufanyika msimu maalumu)au UMRA(ambayo haina msimu,ni wakati wowote ndani ya Mwaka).anatumia pesa ya
1.Taxi,Bajaji,Daladala bus au chombo chochote cha usafiri,analipia nauli au mafuta,kunakuwa na mzunguko wa biashara,na mapato kwa serekali ya nchi anayotoka kutumika kwa mafuta,vipuli,oil
2.Akifika mji wa nchi anayoishi,wenye uwanja wa ndege,wa kimataifa,atalala hotel,atakula,atapanda usafiri tofauti,atalipia vyote hivyo,kunakuwa na mzunguko wa pesa na serekali kupata mapato.
3Atakata tiketi kwa agent wa wa mashirika ya ndege,atalipia,mashirika ya ndege yanapata pesa,serekali inapata kipato.Na kuongeza ajira kwenye mashirika ya ndege.
4.Atabadili pesa za nchi yake kupata pesa ya kigeni,wabadilishaj pesa,wanaogeza ajira.
5.Wanaokwenda Hija kuna nguo maalumu za kuvyaa kule Hija,watanunua,maduka na viwanda wanapata pesa,na kuongeza ajira,serekali inapata kodi.
6.Wenye biashsra za mifugo kama ng'ombe,mbuzi,kondoo,ngamia,wanapata biashara dunia nzima kwa kuuza Saudia,na kupata pesa za kigeni,,Kenya fursa hii wanaitumia bizarre,mbali na wanyama hao kuuzwa ndani ya nchi kwa waislamu,ambao hawakwenda Hija.Fugeni,ni fursa pesa sana.Hapo sijagusa kuku,kwa ulaji wa kwaida sio wa ibada.
7.Zawadi watakazonunua walokwenda Hija kutoka nchi mbali mbali duniani.
8.Haya mapato,ni.kwenda na kurudi,kwa hiyo nchi zote duniani,zinapata mapato.
9.Aliyeanzisha Hija,kwa waislamu,ni mjuxi wa hali ya juu,inatakiwa ashukuriwe sana.Amewezesha biashara za kimataifa.