inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ukisema Saudi Arabia ni nchi/mamlaka iliyoanza Karne ya 19,na ni jina la mfalme wa kwanza wa hayo mamlaka,kabla iliitwa Hijaz,wakati Aya za hijja zinashuka Makkah alikozaliwa mtume ilikua nchi tofauti na nchi ya Madina alikokimbilia na kufia,nchi ya saudia haikuwepo hivyo isingeweza kuingia kitu kwenye QUR'AN,nchi lilinga ya mkwawa na tabora ya milambo zilikua na sheria na taratibu zake tofauti na nchi ya Tanganyika na baadae TanzaniaIlikuwepo jina tu ilikuwa tofauti. Ila ardhi ni ile ile.
Ni kama ardhi ya tanganyika na Tanzania.
Wakati nyerere anapigania uhuru Tanzania haikuwepo ila kariakoo ilikuwepo pale pale ilipo leo
Ukisema Saudi Arabia ni nchi/mamlaka iliyoanza Karne ya 19,na ni jina la mfalme wa kwanza wa hayo mamlaka,kabla iliitwa Hijaz,wakati Aya za hijja zinashuka Makkah alikozaliwa mtume ilikua nchi tofauti na nchi ya Madina alikokimbilia na kufia,nchi ya saudia haikuwepo hivyo isingeweza kuingia kitu kwenye QUR'AN,nchi lilinga ya mkwawa na tabora ya milambo zilikua na sheria na taratibu zake tofauti na nchi ya Tanganyika na baadae Tanzania
Tofauti,hutaki kuelewa, Saudi Arabia ni mamlaka mpya,Haina uwezo Wala fursa ya kupachika chochote mwenye QUR'AN Kama mlivyidai,hata wakati wa mtume Hilo jambo halikufanyika kwa shura Bali ni ufunui kwa mtume,so hakuna mamlaka ya kibinadam iliyopachika Hilo Kama mnavyodaiNaona unajitekenya mwenyewe. Mimi nimesemq Macca na madina zipo kwenye ardhi ile ile. Ila jina la nchi tu limebadilika. Nikatoa mfano wa kariakoo ya tanganyika na kariakoo ya Tanzania
Kama ni ubunifu tu basi Saudia wala wasingeweza na hakuna mwengine atakayeweza mpaka mwisho wa dunia.Tanzania imekosa ubunifu wangepachika kipengele cha kuhijj Serengeti tungevuna mihela kuliko Saudia.
Unamjibu vizur. KishenzIlikuwepo jina tu ilikuwa tofauti. Ila ardhi ni ile ile.
Ni kama ardhi ya tanganyika na Tanzania.
Wakati nyerere anapigania uhuru Tanzania haikuwepo ila kariakoo ilikuwepo pale pale ilipo leo
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
Mtu mweusi amka, jivue uoga wa kuchomwa moto na ahadi hewa za pepo isiyo na uhalisia wowote.
Ni utalii tu,kama kwenda Paris.Sasa kama hakuna andiko huwa tunamiminika kwenda kwenye hiyo miji kufanya nini?
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.Halafu utumbie israel anatengeneza ngapi mkienda kuhiji mpk mnarudi na viudongo
Nyonzo bin mvule maamaeeCase closed,,,,
Siku akitokea mchungaji akasema watu waabudu Tembo basi mtawapata wengi sanaTanzania imekosa ubunifu wangepachika kipengele cha kuhijj Serengeti tungevuna mihela kuliko Saudia.
Na linapotajwa neno imani tu watu hawaulizi garama bali hufunguka tu wakiamini wanatoa kwaajili ya mungu waoUtalii wa kiimani unalipa sana.
Hamna uchafu unaitwa hija kwenye ukristoHalafu utumbie israel anatengeneza ngapi mkienda kuhiji mpk mnarudi na viudongo
Haya mapato ni dunia nzima,kuanzia pale anayekwenda kuhiji anakotoka,tena bila kuchagua kabila,dini,asiye na dini,utaifa,rangi ya mtu anayeyekwenda hija anawalipa kupata huduma kwao,nk.Mtu anaptoka nyumbani,mji anaoishi kuelekea kufanya Hija(ambayo hufanyika msimu maalumu)au UMRA(ambayo haina msimu,ni wakati wowote ndani ya Mwaka).anatumia pesa yaNchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
View attachment 2851322
Kushangaa tu kama wengine wanavyoenda Iringa kushangaa fuvu la Mtemi Mkwawa au Serengeti kushangaa tumbiliSasa kama hakuna andiko huwa tunamiminika kwenda kwenye hiyo miji kufanya nini?
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.