Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa....
Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini......

Saudi Arabia is likely to bend its laws forbidding non-married couples to live together, for Al-Nassr’s new signing, Cristiano Ronaldo.

The 37-year-old Portuguese forward joined Al-Nassr last month after a mutual termination of his contract with the premier league side, Manchester United.

However, Cristiano Ronaldo, alongside his family, who have arrived in Saudi Arabia Ronaldo ‘is likely to be let off the hook for living with partner Georgina Rodriguez in Saudi Arabia’ as they will reportedly break the law in Saudi Arabia but aren’t expected to be punished by the authorities for living together as non-married couples.

The five-time Ballon d’Or winner, who has been unveiled by his new Arabian club, is already living in Saudi Arabia with Rodriguez whom he met while playing for Real Madrid back in 2016, and has had two children with – Bella and Alana.

The Portuguese star also has three other children – Cristiano Jr. and Eva and Mateo – who are twins.
 
Arabic culture hiyo

Arab culture ipi, si hao arab ndio lugha ya peponi

screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321
 
Umeanza sasa hicho kilami si unekitafusili hili tujue maana yake au na wewe ujui tafusili yake?
 
Halafu huku wazenj wanachoma makanisa moto wakati waliowaletea huo upuuzi wanawakaribisha makafir sebleni kwao hahaa
Wazanzibari hawana tabia hiyo usihulumu bila ushahidi ulikuwepo wakati wanachama au chuki tu inakusumbua

Tatizo lenu mnataka kila mtu awe mrokole chunguza hilo kanisa linalo daiwa kuchomwa utakuta limejengwa katikati ya nyumba za waisilamu kisha mziki mzito mchana mpaka kesho

Ukijaribu kusema imbeni kwa faida yenu hawataki jibu lao heti nawe njoo tukeshe kwa maombi maobi gani ya kulia vilio kwa sauti ya juu majirani hawalali niliwapeleka polisi wao ndio wanao sikilizwa ukienda mahakamani wanaweka wakili

Lakini kama watakuwa kama waloma au wasabato hakuna mbona wataishi tu na kumuambu huyo mwana wa mariyamu na mama yake

Ushauli Zanzibar wanaishi waisilamu unapo jenga kanisa muabudu yesu wako kwa faida yako usichukue tabia ya uyole ukipeleka Zanzibar hawato kubali
 
Haki ipi? Kumnyima mwanamke haki ya kuangalia soka? Haki ya kuendesha gari? Haki ya kusafiri mwenyewe? Haki ya kufanya kazi?
Wewe mkeo anafanya kazi kutafuta pesa bila shaka wake zao hawafanyi kazi na pesa wanazo kuliko huyo mkeo
 
Wacha porojo wewe. Eti waroma hawana shida kusa hawapigi mskelele. Umesahsu mwaka 2013 kina paroko wa kanisa katoliki aliuwawa zanzibar kwa chuki za kidini? Mna ubaguzi saba. Mbona bara midikiti ipo kila kona tusumbuana kila asubuhi kwa maspika ya adhana.
 
Haki ipi? Kumnyima mwanamke haki ya kuangalia soka? Haki ya kuendesha gari? Haki ya kusafiri mwenyewe? Haki ya kufanya kazi?
Wana maana yao,hata wakatoliki kuzuia mapadri kuoa waliona mbali kwa uhai wa kanisa,bila hivyo lingesharambatika
 
Back
Top Bottom