Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa....
Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini......

Saudi Arabia is likely to bend its laws forbidding non-married couples to live together, for Al-Nassr’s new signing, Cristiano Ronaldo.

The 37-year-old Portuguese forward joined Al-Nassr last month after a mutual termination of his contract with the premier league side, Manchester United.

However, Cristiano Ronaldo, alongside his family, who have arrived in Saudi Arabia Ronaldo ‘is likely to be let off the hook for living with partner Georgina Rodriguez in Saudi Arabia’ as they will reportedly break the law in Saudi Arabia but aren’t expected to be punished by the authorities for living together as non-married couples.

The five-time Ballon d’Or winner, who has been unveiled by his new Arabian club, is already living in Saudi Arabia with Rodriguez whom he met while playing for Real Madrid back in 2016, and has had two children with – Bella and Alana.

The Portuguese star also has three other children – Cristiano Jr. and Eva and Mateo – who are twins.
Wanaipindisha tu kwa ajili ya Ronaldo au wanaibadilisha moja kwa moja?
 
Wana maana yao,hata wakatoliki kuzuia mapadri kuoa waliona mbali kwa uhai wa kanisa,bila hivyo lingesharambatika
Kanisa gani limesambaratika kwa ndoa za viongozi wake?
Unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo ndio tabia kuu ya mapadre duniani. Hasa ufiraji
 
Wanasema imevunjwa sheria sheria ila hiyo sheria yenyewe hatuisomi...inakumbatiwa unaweza kudhani hii habari ni chai za Mitandaoni..
 
Huyu jamaa (Cristiano Ronaldo) mbona inasemekana huyo manzi yake (Georgina Nagió) washagaoana zamani tu kisirisiri tangu 2020?! 🤔

Jamaa alimuelewa sana yule mrembo akaamua kuvuta chombo, unaambiwa mtoto alikuwa mshambamshamba tu anapiga kazi Supermarket kitengo cha mavazi special ya Kampuni tajiri ya Gucci... mwamba akachukuaga namba akawa akitaka kuja anamcheki hewani demu anafurahi kinoma! Na akifika anahudumiwa na huyo manzi wakazoeana sana! Ipo documentary inaeleza historia yako ila inasemekana walioana kisirisiri pia na sio staa wa kwanza duniani kuoa kwa siri.
 
wavaa kobazi nderemo na vifijo piga vigererereeeee kwa
shangwe.
 
Arab culture ipi, si hao arab ndio lugha ya peponi

screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321

utazania alikufa nankukuta wanaongea lugha hiyo
 
Wazanzibari hawana tabia hiyo usihulumu bila ushahidi ulikuwepo wakati wanachama au chuki tu inakusumbua

Tatizo lenu mnataka kila mtu awe mrokole chunguza hilo kanisa linalo daiwa kuchomwa utakuta limejengwa katikati ya nyumba za waisilamu kisha mziki mzito mchana mpaka kesho

Ukijaribu kusema imbeni kwa faida yenu hawataki jibu lao heti nawe njoo tukeshe kwa maombi maobi gani ya kulia vilio kwa sauti ya juu majirani hawalali niliwapeleka polisi wao ndio wanao sikilizwa ukienda mahakamani wanaweka wakili

Lakini kama watakuwa kama waloma au wasabato hakuna mbona wataishi tu na kumuambu huyo mwana wa mariyamu na mama yake

Ushauli Zanzibar wanaishi waisilamu unapo jenga kanisa muabudu yesu wako kwa faida yako usichukue tabia ya uyole ukipeleka Zanzibar hawato kubali
Mbona huku bara misikiti imejengwa katikati ya makazi ya watu na haijachomwa moto? Ikifika saa 11 asubuhi mnaanza kupiga kelele watu tumelala, saa 1 hivyo hivyo lkn hakuna mtu anayewabughuzi.
Nyie mnavurugu tu, miji yenu mefanya uharibifu Libya, Mali, Somalia, Sudan, Pakistan, Afghanistan, Syria, Nigeria & Iran
Mtu hajafunika kichwa mnamuua.
Shida yenu kubwa ni watu wavurugu na hamuheshimu imani za dini zingine. Mnajiona nyie ndiyo watakatifu sana na mnahaki zote. Ndiyo maana China haiwataki kbsa maana mkienda huko mtaanza vurugu tu, unamkuta mtu anakula zake nyoka unaanza kumletea imani yako.
 
Halafu huku wazenj wanachoma makanisa moto wakati waliowaletea huo upuuzi wanawakaribisha makafir sebleni kwao hahaa
Jifunze kuwa na subira na uvumilivu itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom