Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

Wanaipindisha tu kwa ajili ya Ronaldo au wanaibadilisha moja kwa moja?
 
Wana maana yao,hata wakatoliki kuzuia mapadri kuoa waliona mbali kwa uhai wa kanisa,bila hivyo lingesharambatika
Kanisa gani limesambaratika kwa ndoa za viongozi wake?
Unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo ndio tabia kuu ya mapadre duniani. Hasa ufiraji
 
Vipi kama angekuwa shoga?!
 
Wanasema imevunjwa sheria sheria ila hiyo sheria yenyewe hatuisomi...inakumbatiwa unaweza kudhani hii habari ni chai za Mitandaoni..
 
Huyu jamaa (Cristiano Ronaldo) mbona inasemekana huyo manzi yake (Georgina Nagió) washagaoana zamani tu kisirisiri tangu 2020?! 🤔

Jamaa alimuelewa sana yule mrembo akaamua kuvuta chombo, unaambiwa mtoto alikuwa mshambamshamba tu anapiga kazi Supermarket kitengo cha mavazi special ya Kampuni tajiri ya Gucci... mwamba akachukuaga namba akawa akitaka kuja anamcheki hewani demu anafurahi kinoma! Na akifika anahudumiwa na huyo manzi wakazoeana sana! Ipo documentary inaeleza historia yako ila inasemekana walioana kisirisiri pia na sio staa wa kwanza duniani kuoa kwa siri.
 
wavaa kobazi nderemo na vifijo piga vigererereeeee kwa
shangwe.
 
Mbona huku bara misikiti imejengwa katikati ya makazi ya watu na haijachomwa moto? Ikifika saa 11 asubuhi mnaanza kupiga kelele watu tumelala, saa 1 hivyo hivyo lkn hakuna mtu anayewabughuzi.
Nyie mnavurugu tu, miji yenu mefanya uharibifu Libya, Mali, Somalia, Sudan, Pakistan, Afghanistan, Syria, Nigeria & Iran
Mtu hajafunika kichwa mnamuua.
Shida yenu kubwa ni watu wavurugu na hamuheshimu imani za dini zingine. Mnajiona nyie ndiyo watakatifu sana na mnahaki zote. Ndiyo maana China haiwataki kbsa maana mkienda huko mtaanza vurugu tu, unamkuta mtu anakula zake nyoka unaanza kumletea imani yako.
 
Halafu huku wazenj wanachoma makanisa moto wakati waliowaletea huo upuuzi wanawakaribisha makafir sebleni kwao hahaa
Jifunze kuwa na subira na uvumilivu itakusaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…