Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Upo vikindu sehemu Gani mkuu?
 
Hawa ni wachumi kutoka igawa
 
Sasa kwa unavyo fikiria, Afrika ina uwezo wa kuingia kwenye Win-Win na India. Brasil, China na Russia and now Argentine and Saud Arabia?
Ni swala la muda kabla ya ya Africa kugundua kuwa imeingizwa huko ili kupunwa au kutumika kama silaha tu.
 
Akili zingine, hizo BRICS Zote wewe Una pesa yako Unataka kutunza utumie miaka kumi ijayo, utaweka kwenye pesa ya nchi gani?

Pesa zote hizo sio stable na zinaingiliwa na serikali.

Nchi zote hizo wanauza vitu vingi Usa kuliko wanavyouza kwa nchi nyingine.

Bado ni Safari ndefu sana mpaka kupata mbadala wa Usa
 
Tunapoenda Marekani atabaki na karatasi tu
 
Eti we naye ni mchumi.
We mkurya rudi Kiagata
 
Wabongo hampendi kuambiwa ukweli,
BRICS ni genge lingine la wanywa kahawa tu kama ilivyo AU.
Wabongo wengi wajinga
Wanajisajuli Green Card wakikosa wanapiga mayowe

Wanatumia systems za Marekani afu kelele nyingi
 
BRICS haiji na sarafu yake na wala haitakuwa na sarafu yake hata kwa miaka 50 ijayo.
Imekuwepo muda mrefu ila hakuna cha maana

Hapo sana sana labda kwenye mafuta
 
Matumizi ya dola yametutesa sana nchi masikini. Waangalie uwezekano wa ambao siyo wanachama kunufaika kwa namna fulani na arrangement za Brics.
Naomba utuelimishe tumetesekaje kwa matumizi ya dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…