ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Kujadili nini Bungeni?Hivi ndivyo mlivyojadiri bungeni?š š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujadili nini Bungeni?Hivi ndivyo mlivyojadiri bungeni?š š
Badilini mbinu za siasa zenu mkuu....msitembee na upepo wa matukio.... hopefully Lissu anaweza kuliwekea mkakati hili jambo....ila mkiendelea na trends zenu za siku zte hakyanani pamoja na kuibiwa kura lile jumba jeupe la pale magogoni mtabaki kulisikia tu....Chadema ilikuwa na wajenga hoja wazuri sana lakini siku hzi ni fujo tu....tulizeni mizuka makamanda...tunawategemeaMmewauzia sh ngapi? au Mjomba ni mama?
Coco Beach, Dar-es-SalaamHivi hakuna sehemu tupange siku tukutane iwe ni kulia tu.....tulieeee tupoe. Yani ukifika hilo eneo ni kuanza kulia tu kwa makelele
Kulia hakujawahi kuwa suluhu ya tatizo. Stand up and fight!Hivi hakuna sehemu tupange siku tukutane iwe ni kulia tu.....tulieeee tupoe. Yani ukifika hilo eneo ni kuanza kulia tu kwa makelele
Waarabu ni wajomba zetu.
Uwekezaji aina hii unahitajika kwa wingi Ili kuboresha utoaji wa huduma.
Tuanzie kulia kwanza ili machozi yaishe ili tukiingia front hata ukipigwa panga la utosi unacheka tu maaana machozi ushayamaliza kabla.Kulia hakujawahi kuwa suluhu ya tatizo. Stand up and fight!
10t zilitoka wapi?Kama taifa tumeweza kujenga mradi wa 10t wa SGR, tumeshindwaje kujenga hiyo Bandari ?
Kwani hofu yako iko wapi? Kama kuna terms zinatukandamiza hapo sawa lakini kama ni win-win sioni tatizo ni nini?