Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Pongezi kwa mama kufungua nchi


1739461207728.jpeg
 
Coco beach kuna Bobge la Masjid, hadi panapendeza.

Ukitembelea coco beach kama hujaenda upiga picha kwenye Masjid coco beach, unakuwa hujafika coco beach.
Tuonyeshee hio picha ya Masjid ya St Peter
 
Uwazi wa serikali ya Kenya

11 February 2025​

Rais Ruto afanya mkutano na Ujumbe wa Biashara kutoka Shirikisho la Vyama vya Biashara vya Saudia



View: https://m.youtube.com/watch?v=tWrNQRQZK0I

Nairobi, Februari 11, 2025, SPA --

Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Ruto leo amempokea Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudia Hassan Alhwaizy na ujumbe alioandamana nao wa wawekezaji 25 wa Saudia na wawakilishi wa serikali katika mji mkuu, Nairobi.


Rais Ruto alieleza utayarifu wa Kenya kutoa msaada kamili na uwezo kwa wawekezaji wa Saudia, akibainisha kuwa makubaliano kati ya shirikisho la Saudia na Chemba ya Kitaifa ya Biashara na Viwanda ya Kenya yatarahisisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.


Alhwaizy alisema kuwa majadiliano yalihusu fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo nchini Kenya, maendeleo ya mali isiyohamishika, na uagizaji wa nyama nchini Ufalme, pamoja na kuanzishwa kwa eneo huria nchini Kenya kwa mauzo ya Saudia kwenda Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom