Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate


Vyombo vya habari kuanzia Saudia na Ulimwengu wameweka habari hii kama habari kuu Ufalme wa Saudia wapewa haki exclusive kujenga bandari...

KWA UCHACHE KURASA ZA HABARI:

Saudi Arabia acquires Tanzania's Bagamoyo port


Mamlaka ya Tanzania iliipa Kampuni ya Uwekezaji na Maendeleo ya Saudia Afrika (SADC) haki ya upataji na ununuzi wa Bandari ya Bagamoyo iliyoko Tanza.


Bandari ya Bagamoyo iko kwenye pwani ya mashariki ya Tanzania, na iko ...


... Saudi Arabia ilitangaza kuinunua Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya mradi wa “East Gate” unaolenga kuimarisha ...

x.com
https://x.com

Saudi Arabia yanunua Bagamoyo ya Tanzania


9 hours ago — Saudi Arabia acquires Tanzania's Bagamoyo port Saudi Arabia acquires Tanzania’s Bagamoyo port #SaudiArabia #Tanzania #Acquisitions.

TANZANIA: SAUDI ARABIA YAWEKA HAKI YA KUENDESHA ...


Serikali ya Tanzania iliipatia Kampuni ya Uwekezaji na Maendeleo ya Saudia Afrika (SADC) idhini na ununuzi wa bandari hiyo kama ...




Saudi Arabia yanunua Bagamoyo ya Tanzania.


Saudi Arabia acquires Tanzania's Bagamoyo port Saudi Arabia acquires Tanzania’s Bagamoyo port #SaudiArabia #Tanzania #Acquisitions
 
Vyombo vya habari kuanzia Saudia na Ulimwengu wameweka habari hii kama habari kuu Ufalme wa Saudia wapewa haki exclusive kujenga bandari
Exclusive rights manake wengine wasiingilie lakini wapi Kuna Shida?
 
Kiswahili cha Google Translate hichi. Boresha basi na wewe
 
Dar port itakufa,Trust me
Zimefunguliwa ports kibao na haijafa sembuse hii ya Bagamoyo?

Hii itakuwa ni Bandari ya Yale mameli makubwa.

Dar port ife mda huo DP World na mwenzie Adani watakuwa wanafanyaje Sasa?

Katika mazingira ambayo Uchumi wa Nchi inazidi kupata, uchumi wa Nchi jirani unapaa,hizo Bandari zinafia wapi?

Hiyo Dhana Yako Haina tofauti na wale waliodai Ubungo Logistics itaua Kariakoo.
 
Acquisition in business terms
Acquire manake nini? Kwenye biashara hiyo ni kama kununua lakini ni kupewa Haki za kufanya uendelezaji na sio kununua.

Kwa nini wanatumia Hilo neno ni Ili aliyenunua asiwe subjected na washindani wengine wakati ana mkataba hapo.
 

Hii ni field yangu bwana mdogo

Kwa Volume za East africa haziwezi atract vessels of more than 10000 TEU’s

Currently Dar port efficiency limited with area and Vessel entrance chanel.

Bandari ya Bagamoyo itachukua eneo kubwa litakalo ruhusu mizigo yote kukaa within port area at low cost.

Back to you,Bandari gani imefunguliwa ukafikiri ingetishia uhai wa bandari ya Dar?

Nijibu hilo swali.
 
Mkishajikaririsha vitu mnajiona Wataalamu.

Hizo vessels zisiwe attracted Kwa nini wakati Uchumi unakua?

2050 tunatarajia 🇹🇿 iwe na Uchumi wa doba Bilioni 700 ,Sasa hizo vessels hazitakuwepo?

Ujenzi tuu wa hiyi Bandari si chini ya miaka 10.
 
Acquire manake nini? Kwenye biashara hiyo ni kama kununua lakini ni kupewa Haki za kufanya uendelezaji na sio kununua.

Kwa nini wanatumia Hilo neno ni Ili aliyenunua asiwe subjected na washindani wengine wakati ana mkataba hapo.

Tayari Saudia kesha tangaza na atatumia mkataba wa acquisition kukusanya mikopo, kuingiza wabia wengine, kuuza hisa, kipata mitaji ktk mabenki kwa rehani n.k hivyo kuufanya mkataba huu kuzidi kuibana Tanganyika vilivyo hadi ku surrender haki zingine
 

Nijibu swali langu hapo chini,naona unalikimbia
 
 

Attachments

  • IMG-20250213-WA0034.jpg
    57.5 KB · Views: 1
Tayari Saudia kesha tangaza na atatumia mkataba wa acquisition kukusanya mikopo, kuingiza wabia wengine, mabenki n.k hivyo kuufanya mkataba huu kuzidi kuibana Tanganyika vilivyo hadi ku surrender haki zingine
Sawa hii ni Bandari muhimu sana na ijengwe.

Ieleweke kwamba Nchi imeweka Dira ya 2050 ambayo Ina project uchumi wetu kufikia $700B.

Moja ya miradi itakayotufikisha huko ni Bagamoyo Port na ule wa gesi.

Mradi wa gesi watamiza.mazu gumzo June as per Reuters so binafsi naunga mkono sekta binafsi.

Serikali ijikite kutoa Huduma sio kila.kitu kutumia hela au Kodi .
 
Nijibu swali langu hapo chini,naona unalikimbia
Bandari ya Tanga, Bandari ya Mtwara zote Kwa sasa zimeanza kubeba mizigo ya zaidi ya tani 1M -3Mln Kwa mwaka kutoka less than 1M.

Na Bado miundombinu na uwekezaji mwingine unaendelea eg Mtwara Kuna mradi wa Ujenzi wa gato la bidhaa chafu zaidi ya Bilioni 100 zinawekwa.

On top of that Barabara ya Tanga-Sinhgida na reli ya Tanga-Misoma ziko kwenye pipeline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…