Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Hoja ni masharti tu kama masharti ni mepesi sawa lakini kama ni yale yale yakutugeuza watumwa hapana
 
Wanaotaka maeneo karibu na bandari njoo inbox.
 
Haziko chini ya foreigners. Tupe list ya bandari za mataifa mengine ambazo ziko chini ya foreigners!
Wewe unaumwa eti? Si u google hapo nani akupe? Kwamba 🇹🇿 ndio wajinga saaaana ila wewe unajua si ndio?

Huo uzushi si ndio mlikuwa mnashadidia wakati wa DP World? Kiko wapi? Shida hapa sio uwekezaji shida ni kuwa Mwarabu basi Wazungu na wahindi Kuna shida ? 😁😁
 
DP World kupewa bandari zote, halafu East African Gateway Tanzania ya Adani Ports kununua gati za TICTS bandari ya Dar es Salaam hivyo gati zote za Dar es Salaam zipo chini ya mmiliki yule moja.

Na sasa bandari ya Bagamoyo ambayo ni ya DP World kwa mkataba ule uliopigiwa kelele unafichwa kwa kisingizio upewa mwekezaji mpya yaani Saudi African Investment and Development Co. (SADC)

Je nyuma ya pazi ni yuleyule aliyepewa bandari zote kwa mkataba mbovu usio na kikomo ndiyo anatumia kuingia mkataba na kampuni hizi na zingine kuhitimisha kuchukua bandari zote kiaina bila mtanganyika kufahamu ni yuleyule ya yeye aliyekabidhiwa bandari zote ndiyo anakamilisha kiini macho hiki.
 

TOKA MAKTABA :
 
It makes no difference; whether owner ni Mzungu au Mwarabu, national security concern iko pale pale. Ni kitu ambacho ni rare sana kwa mataifa yanayojitambua. Africa in general na Tanzania in particular inaongozwa na wapumbavu. Hata wewe unaweza kupigwa mnada. Ndiyo maana African chiefs waliuza subjects wao wakati wa biashara ya watumwa!
 
Mihemko
 
Msaudia ana pesa ! Swala la kushindwa kuendeleza mradi mdogo kama huo wa bandari ni ndoto!.
Huko ulaya na Amerika ana uwekezaji wa miradi miikubwa sana kuliko huu wa bandari.


Tatizo sio pesa hata China ilikuwa na pesa. Tatizo mkataba uko wapi? hizi 10% zitauza nchi hii. Sasa mtasikia mkataba wa siri wa gas . Norway wamegoma kutoa rushwa kesho mtasikia wamepewa waarabu. Machawa hapa wamekuwa kama misukule. Mnafikiri mikataba kujua mnasadia Chadema ni ujinga sana.
 
Hawa wanajenga, wazungu wanakomba mali yote migodini wanatuwschia mashimo na wajivuni wanachekelea tu.
 
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
M Katabqbwq Chinqnulikuwa Wach7nqbwaonni technology na ujenzi, Oman financing, Tanzania walambe kodi tu.
.magufuli akatia unaa.
 
Kwanini wanagawa mali zetu bila kutushirikisha au utumwa ndo unarejeshwa kwa mlango wa nyuma?
 
Jamaa wajanja, wanachangamkia fursa kweli kweli maana wanajua fika mafuta yao sio tena utajiri wa kuutegea in a long run.

Sasa wezentu na sisi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…