Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

👆 Sisi kazi ni kuuza mapande makubwa ya nchi ya Tanganyika

Sheikh Waleed Alorainan Huko Kenya wanatafuta fursa kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, vyuo vya hoteli management wapate kazi nchi za Saudia na Ghuba ambapo wakenya wamejaa kama cabin crew katika mashirika ya ndege na airport, mahotelini n.k za Qatar, Saudia n.k
Utumwa mpyaaaaaa
 
Tunatapatapa sana hatujui umuhimu wa sisi kujenga na kuendesha wenyewe bandari zetu:

30 October 2024

Tanzania inaweza kuwa kitovu cha biashara kwa bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika - waziri Maxim Reshetnikov​

DAR ES SALAAM. Oktoba 29 (Interfax) - Nafasi nzuri ya Tanzania kwenye ufuo wa Bahari ya Hindi inairuhusu kuwa sehemu moja ya bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika na kuendeleza ukanda wa usafirishaji wa Kaskazini-Kusini, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi Maxim Reshetnikov alisema katika mkutano huo. Jukwaa la biashara kati ya Urusi na Tanzania Jumanne.
1739494525769.jpeg

Jukwaa hilo ni sehemu ya makubaliano na maazimio yaliyoongelewa wakati wa ziara rasmi ya ujumbe wa Urusi nchini Tanzania kwa mkutano wa kwanza wa tume ya ushirikiano wa serikali mbili.

"Tumeainisha vipaumbele vya kimkakati. Kwanza, vifaa. Nafasi nzuri ya kijiografia ya Tanzania kwenye pwani ya Bahari ya Hindi na kuunganishwa na nchi zingine za Afrika inafungua fursa kubwa kwa Urusi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweza kuwa sehemu moja kuu yaani kitovu cha biashara za bidhaa zetu za Urusi kuingia ndani ya bara la Afrika na kuendeleza ukanda wa uchukuzi wa Kaskazini-Kusini Kwa upande wake, huku pia nchi yetu inaweza kuipatia Tanzania fursa ya soko la Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia," Reshetnikov alisema.

Ushirikiano wa nishati una uwezo mkubwa, alisema. "Hii ni pamoja na matumizi ya amani ya nishati ya atomiki, ujenzi wa vifaa vya nishati mbadala, na uchimbaji wa rasilimali za madini," Reshetnikov alisema.

"Kilimo, dawa, uchumi wa kidijitali, mazingira ya mijini na, kwa hakika, utalii ndio jambo linalozingatiwa. Tuko tayari kujadili yote hayo na kutatua matatizo ya makazi na mawasiliano kati ya benki katika nchi zetu kwa pamoja," alisema.

Urusi pia inavutiwa na miradi ya pamoja ya kijamii, ikijumuisha ile ya elimu, sayansi na afya, Reshetnikov alisema.

30 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum

View: https://m.youtube.com/watch?v=ELtXQfhmdzc

Tanzania welcomed Russian Economic Development Minister Maxim Reshetnikov in Dar es Salaam for a Business and Investment Forum aimed at strengthening bilateral trade and economic ties. Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum
 
Magu aliweka mkataba wa China hadharani. Tunaomba wewe na Mama wetu fisadi wekeni mkaba hadharani
Alikuwa anafanya siasa ,hakuna aliouweka Hadharani Bali alijisemesha Ili apate Kisingizio Cha kutojenga Bandari badala yake ajenge vya kwake.

Uweke hapa huo mkataba wa awali aliowapa huyo Magu wako tuusome.
 
Waarabu ni wajomba zetu.

Muda si muda tutawapa tena uwanja wa ndege wa DSM-JNIA.

Pia tuko na mazungumzo na wajomba wetu wa Oman tuwape moja kwa moja SGR yetu... maana Kidogosana anaelekea amechemka
Hivi mchakato wa mwendokasi imekuwaje? Si ni kama tuliwapa?
 
Waarabu ni wajomba zetu.

Muda si muda tutawapa tena uwanja wa ndege wa DSM-JNIA.

Pia tuko na mazungumzo na wajomba wetu wa Oman tuwape moja kwa moja SGR yetu... maana Kidogosana anaelekea amechemka
Jinga wewe,kwani Ground operator wa uwanja wa Ndege wa Dar ni Mwandemele au Kampuni ya Wazungu?

Kwa kuwa ni Swissport hakuna shida ila Kampuni ya Oman ikiendesha Kilimanjaro airport ni shida?

Upumbavu,tuache kuangalia maendeleo tuzingagie chuki zenu za kifala?

Serikali msirudi nyuma ,mna mission ya kujenga Uchumi wa $700B by 2050 kama vision 2050 inavyotaka na miradi ya kutufikisha huko ni hii ya PPP.
 
Sio kwamba China na Oman hawakuwa na hela shida ilikuwa terms zao wanazotaka 99 years.

Kwa jinsi walivyogawa kirahisi bandari ya Dar kwa DPW na Adani. Tęgęmea mkataba wa Bagamoyo wenye uwekezaji wa mabillioni kuwa mmbovu kweli kweli.

It’s the new norm wale tuliowapa misitu hela ya Carbon trade hatuoni ikilipwa na DPW nae phase 1 ya mkataba ilikuwa ajenge car park storage ya ghorofa hakuna, dry port kurasini hakuna, sehemu ya mashua Dar hakuna na kuongeza crane hakuna alichofanya. Akianza huo uwekezaji sasa hivi hiyo sio hela ya kutoka mfukoni kwakwe ni kutokana na faida aliyoanza kuvuna tayari (bure).

Worst DPW wanavuna kupitia uwekezaji wa kuongeza capacity ya bandari kina cha maji kaongeza Magufuli ili meli kubwa zaidi ĹĽije na cranes za kisasa kanunua Magufuli. Na kabla kazi kukamilika bandari ilikuwa inaelekea kutoa gawio la karibu tsh 1 trillion moja.

Sasa hivi ufanisi umeongezeka na gawio limeshuka na bado tumewapa DPW 33 years bandari kwa uwekezaji wa $500 tu. Wakati Magufuli aliwagomea wachina na Oman waliotaka kuwekeza $10 billion dollars kama awataki miaka 33.

Kazi iendelee
Ufanisi umeongezeka na Mapato kushika,hii umetunga kutoka wapi? TRA ndio wa kwanza ku admit ongezeko la Mapato makubwa Kwa sababu ya kuimarika Kwa Bandari wewe unakuja na blaa blaa za kijinga.

Mwisho uongezaji wa gati ulianza Toka zama za Mkapa,hata Sasa hivi unaendelea hakuna spesho yeyote aliyofanya Magufuli,so Wacha wenge na mihemko.
 
Kuna wakati hua naona uwekezaji ni sawa tu labda changamoto iwe usiri katika uwekezaji, kwamba wananchi hatuambiwa ukweli na uwazi wa tija za uwekezaji husika. Ila uwezekezaji toka mataifa mbalimbali nchini kwetu ni sawa kabisa na jambo la heri.
 
Tunatapatapa sana hatujui umuhimu wa sisi kujenga na kuendesha wenyewe bandari zetu:

30 October 2024

Tanzania inaweza kuwa kitovu cha biashara kwa bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika - waziri Maxim Reshetnikov​

DAR ES SALAAM. Oktoba 29 (Interfax) - Nafasi nzuri ya Tanzania kwenye ufuo wa Bahari ya Hindi inairuhusu kuwa sehemu moja ya bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika na kuendeleza ukanda wa usafirishaji wa Kaskazini-Kusini, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi Maxim Reshetnikov alisema katika mkutano huo. Jukwaa la biashara kati ya Urusi na Tanzania Jumanne.
View attachment 3235937
Jukwaa hilo ni sehemu ya makubaliano na maazimio yaliyoongelewa wakati wa ziara rasmi ya ujumbe wa Urusi nchini Tanzania kwa mkutano wa kwanza wa tume ya ushirikiano wa serikali mbili.

"Tumeainisha vipaumbele vya kimkakati. Kwanza, vifaa. Nafasi nzuri ya kijiografia ya Tanzania kwenye pwani ya Bahari ya Hindi na kuunganishwa na nchi zingine za Afrika inafungua fursa kubwa kwa Urusi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweza kuwa sehemu moja kuu yaani kitovu cha biashara za bidhaa zetu za Urusi kuingia ndani ya bara la Afrika na kuendeleza ukanda wa uchukuzi wa Kaskazini-Kusini Kwa upande wake, huku pia nchi yetu inaweza kuipatia Tanzania fursa ya soko la Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia," Reshetnikov alisema.

Ushirikiano wa nishati una uwezo mkubwa, alisema. "Hii ni pamoja na matumizi ya amani ya nishati ya atomiki, ujenzi wa vifaa vya nishati mbadala, na uchimbaji wa rasilimali za madini," Reshetnikov alisema.

"Kilimo, dawa, uchumi wa kidijitali, mazingira ya mijini na, kwa hakika, utalii ndio jambo linalozingatiwa. Tuko tayari kujadili yote hayo na kutatua matatizo ya makazi na mawasiliano kati ya benki katika nchi zetu kwa pamoja," alisema.

Urusi pia inavutiwa na miradi ya pamoja ya kijamii, ikijumuisha ile ya elimu, sayansi na afya, Reshetnikov alisema.

30 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum

View: https://m.youtube.com/watch?v=ELtXQfhmdzc

Tanzania welcomed Russian Economic Development Minister Maxim Reshetnikov in Dar es Salaam for a Business and Investment Forum aimed at strengthening bilateral trade and economic ties. Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum

Kwani Port Operator akiwa Mwarabu ndio inazuia Tanzania wasiwe kitovu Cha bidhaa za Russia? Bandari ni njia tuu ya ku export na ku import .

Mna akili finyu sana.Serikali Iendelee kufanya mazungumzo na Saudia wajenge hii Bandari na special economic zone yake .
 
Kuna wakati hua naona uwekezaji ni sawa tu labda changamoto iwe usiri katika uwekezaji, kwamba wananchi hatuambiwa ukweli na uwazi wa tija za uwekezaji husika. Ila uwezekezaji toka mataifa mbalimbali nchini kwetu ni sawa kabisa na jambo la heri.
Yaani wapingaji ni wale wajinga wajinga ambao kimsingi wao hoja zao Huwa ni chuki Kwa Waarabu ndio maana hapo utasikia ooh mjomba sijui upuuzi gani and such nonsense.

Wamekuwepo since uhuru hakuna Cha maana wamefanya zaidi ya hasara na Kupitisha mizigo Kwa vimemo ya kwao na mahawala zao,so private sector wakija wanaogopa.

Tujenge Bandari Zenye ushindani Kwa maslahi mapana ya Nchi hii.Miradi hii 2 ikifanikiwa basi Kuna uwezekano mkubwa wa kufikia projection ya $700B economy by 2050.

1.Bagamoyo Port &SEC $ 10Bln.
2.Lindi LNG $42Bln.
 
We umeuona huo mkataba?

Kwanini wameufanya kimya kimya... mbona ule wa DPW uliwekwa hadharani?
Kwani mikataba inafanyiwa Hadharani?

Nasubiria kuona matokeo ya kitakachokubaliwa ndio Utajua wamerekebisha au hapana ,hata hivyo sheria Mpya za uwekezaji na mikataba ndio zitatumika sio kama zile za JK Kwa sababu ule wa awali ulivynjika.

Ingekuwa case kama investors wangekuwa wale wale.Simple logic tuu hiyo Wala haihitaji wewe kupewa mkataba wakati haiwezeyna Huwa Siri.

Hakuna mtu aliyeweka wazi mkataba wa DP World,tuwekee hapa basi maana nyie ndio mlikuwa madai ni miaka 99 mara hauna kikomo.lakini maisha siku tukaambiwa tumesainiani miaka 30 ya uendeshaji wenye renewable clause nk.
 
Badilini mbinu za siasa zenu mkuu....msitembee na upepo wa matukio.... hopefully Lissu anaweza kuliwekea mkakati hili jambo....ila mkiendelea na trends zenu za siku zte hakyanani pamoja na kuibiwa kura lile jumba jeupe la pale magogoni mtabaki kulisikia tu....Chadema ilikuwa na wajenga hoja wazuri sana lakini siku hzi ni fujo tu....tulizeni mizuka makamanda...tunawategemea
Nikufunze kitu tu masta.... Siasa ya nchi za kiafrika ni ya matukio. Siasa za sera zimebaki kwa nchi za ulaya na Marekani na chache za kiafrika zilizoendelea. Sababu kuu ni elimu yetu ni ndogo kuchambua mambo na kufatilia sera, japo tunakiri na kufahamu sera ndio kila kitu na ndio maendeleo. Bado nchi zetu zinazungumzia barabara nzuri, maji, umeme, afya n.k. Katika hilo unadhani kuna chama cha upinzani kitazungumzia sera zake hapo na kikasikilizwa??? Hapo lazima wapite na upepo wa matukio ndipo wananchi waone hawa ndio watetezi wetu. Then kupitia upepo wa matukio ndio labda wapenyeze sera, japo watu watakua na interest zaidi na matukio. Hata ukiangalia nchi zote zilizopinduliwa kijeshi hakuna mahali zilitqngazwa sera, wale jamaa walichofanya ni kuona maisha magumu tu wananchi wanateseka wakaingia mbele na kukamata hatamu.
 
DP World mkitaka mumjue mwenyewe ni siku CCM na samia watakapoondoka madarakani.
Kwa sasa mmiliki Fake ni DPW.
We are not interested na kumjua mmiliki wa kampuni, kampuni Huwa Zina Wana hisa wengi ,tunachotaka kuona ni urasimj unakwisha bandarini na Mapato yanaongezeka full stop.
 
Yaani wapingaji ni wale wajinga wajinga ambao kimsingi wao hoja zao Huwa ni chuki Kwa Waarabu ndio maana hapo utasikia ooh mjomba sijui upuuzi gani and such nonsense.

Wamekuwepo since uhuru hakuna Cha maana wamefanya zaidi ya hasara na Kupitisha mizigo Kwa vimemo ya kwao na mahawala zao,so private sector wakija wanaogopa.

Tujenge Bandari Zenye ushindani Kwa maslahi mapana ya Nchi hii.Miradi hii 2 ikifanikiwa basi Kuna uwezekano mkubwa wa kufikia projection ya $700B economy by 2050.

1.Bagamoyo Port &SEC $ 10Bln.
2.Lindi LNG $42Bln.
I second you.

Lakini changamoto zote hizi na mvutano wa haya mambo ni uwepo wa usiri ndani yake. Hapo lazima ujenge speculations kwa watu. Mi nadhani pamoja na uwepo wa USIRI katika mambo ya serikali, basi wabadili utaratibu kidogo, ishu nyeti kama za uwekezaji wa acquisition ya ardhi uwe na uwazi. Kuwe na public dialogue, sio watu kupinga, No watu watoe mawazo ya kuboresha. Mambo yakiwa kiuwazi kuanzia utangazaji wa tender na mshindi wa tenda, trust me hutasikia sehemu kuna ishu za mjomba wala Shangazi wala uarabu wala sijui udini na ushoga.

Tulipofika inabidi serikali ijiandeshe kwa maximum transparency, kwa sababu honestly sidhani kama watanzania tupo pamoja. Upinzani ninmkubwa miongoni mwetu.
 
Nikufunze kitu tu masta.... Siasa ya nchi za kiafrika ni ya matukio. Siasa za sera zimebaki kwa nchi za ulaya na Marekani na chache za kiafrika zilizoendelea. Sababu kuu ni elimu yetu ni ndogo kuchambua mambo na kufatilia sera, japo tunakiri na kufahamu sera ndio kila kitu na ndio maendeleo. Bado nchi zetu zinazungumzia barabara nzuri, maji, umeme, afya n.k. Katika hilo unadhani kuna chama cha upinzani kitazungumzia sera zake hapo na kikasikilizwa??? Hapo lazima wapite na upepo wa matukio ndipo wananchi waone hawa ndio watetezi wetu. Then kupitia upepo wa matukio ndio labda wapenyeze sera, japo watu watakua na interest zaidi na matukio. Hata ukiangalia nchi zote zilizopinduliwa kijeshi hakuna mahali zilitqngazwa sera, wale jamaa walichofanya ni kuona maisha magumu tu wananchi wanateseka wakaingia mbele na kukamata hatamu.

Lakini ajue kuwa kwa sasa sera zinazotekelezwa ni za CCM .
Lisu ana akili sana .
Kutangaza sera ni kuanza kampeni kabla ya muda ni kinyume cha sheria za uchaguzi.

Kwa sasa vyama vinapinga sera na uwajibikaji wa CCM mpaka kampeni zitakapanza
 
I second you.

Lakini changamoto zote hizi na mvutano wa haya mambo ni uwepo wa usiri ndani yake. Hapo lazima ujenge speculations kwa watu. Mi nadhani pamoja na uwepo wa USIRI katika mambo ya serikali, basi wabadili utaratibu kidogo, ishu nyeti kama za uwekezaji wa acquisition ya ardhi uwe na uwazi. Kuwe na public dialogue, sio watu kupinga, No watu watoe mawazo ya kuboresha. Mambo yakiwa kiuwazi kuanzia utangazaji wa tender na mshindi wa tenda, trust me hutasikia sehemu kuna ishu za mjomba wala Shangazi wala uarabu wala sijui udini na ushoga.

Tulipofika inabidi serikali ijiandeshe kwa maximum transparency, kwa sababu honestly sidhani kama watanzania tupo pamoja. Upinzani ninmkubwa miongoni mwetu.
Hakuna mahala mikataba inawekwaga wazi all over Duniani labda Kwa sababu maalumu.I stand to be corrected.

Na inakuwa Siri Kwa sababu za Kibiashara,only vipengele muhimu tuu tena Baadhi ndio huwekwa wazi.eg sharing ya Mapato, investments portfolio but not each and everything.

Hao wanaopinga Wanaleta uzushi Ili kupotosha na Wakiwa na lengo la kushika madaraka, nothing else but Kwa wajinga kwao ni faida.

Mambo yanayotesa Nchi hii ni pamoja na mentality za kijamaa,kuchelewa kuingia kwenye ulimwengu wa ushindani na ubepati na kuwa na mawazo hasi ya eti kujibiwa wakati haya mambo ya Kibiashara yanafanyika Dunia nzima.

Mwisho Serikali iendeshe mambo yake vile sheria inataka.
 
Saudi Arabia ilitangaza ununuzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani.

Uwekezaji huu mkubwa una lengo la kufungua kufungua fursa mpya za uwekezaji kwa kampuni za Saudi Arabia katika sekta muhimu, na kutoa fursa za masoko kwa kusafirisha bidhaa za Saudi kwenda katika masoko ya Afrika.

View attachment 3235511

=============================================

In a major strategic move, the Kingdom of Saudi Arabia announced its acquisition of Bagamoyo Port in Tanzania, as part of the “East Gate” project, which aims to enhance the region’s position as a global trade hub.

This huge investment comes within the framework of the Kingdom’s efforts to open new investment horizons for Saudi companies in vital sectors, and provide marketing outlets for exporting Saudi products to African markets.

Project details

Port location: Bagamoyo Port is located on the eastern coast of Tanzania, and is considered one of the most important ports in East Africa.

Total area: The project area is 800 hectares, making it one of the largest maritime projects in the region.

Capacity: The port will be able to accommodate 20 million containers annually upon completion, making it a strong competitor to major ports in the region such as Mombasa Port in Kenya and Dar es Salaam Port in Tanzania.

Project cost: The total cost of the project is $10 billion, which includes the development of infrastructure and logistics facilities.

Source: Archup.net

Kuwapa rasilimali waarabu na wazungu hasa Marekani ni kukaribisha ugaidi na magaidi .

Hawa ndio Muhimili mikuu ya ugaidi .

Mtawapa wanajeshi wetu kazi kubwa ya kuuawa na magaidi wakati huo akina Adbdul watakua wanaishi Oman.

Watanganyika amkeni mtete nchi yenu kama Jeshi limeshindwa kulinda mipaka ya nchi dhidi ya mabeberu .
Fursa nyingi zinatolewa kichawa ,rushwa ,kirafiki na kidini .
Tanzania hatutaki mifumo ya kibeberu .
Saudi Arabia hata nchi nyingine za kiarabu hawawataki maana ni mawakala wa mabeberu hasa Marekani .

Ule ni uchochoro wa ukoloni mpya.

Samia ameifanya historia ya utumwa ijirudie Tanganyika .

Vijana wanaozaliwa leo watatulaumu sana na Wakati huo CCM itakua imekufa na waasisi wake wote .
 
Back
Top Bottom