TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ule wa DP Dunia....ambao alisaini Waziri wa ujenzi wa wakati huo!Haijafikia hiyo stage,ilifika mtaarifiwa.
Mikataba yote ni Siri au wewe u ajua mkataba gani ulio wazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wa DP Dunia....ambao alisaini Waziri wa ujenzi wa wakati huo!Haijafikia hiyo stage,ilifika mtaarifiwa.
Mikataba yote ni Siri au wewe u ajua mkataba gani ulio wazi?
Huo ndio ukweli, kukumbatia raslimali kwa wivu hatuwezi kutoboa... nyakati tulizonazo, baada ya wazungu kutia 'moto mchibuyu', inabidi waafrica tuwe sharp sana! ... TUSIACHE FURSA YEYOTE, ISIYO NA MADHARA TISHIO, ITAKAYOTOA AJIRA KWA RAIA NA KUTUINGIZIA MAPATO JAPO KIDUCHU!
Hawa wanajenga, wazungu wanakomba mali yote migodini wanatuwschia mashimo na wajivuni wanachekelea tu.
Hebu nitajie mkataba mmoja wapo ambao Magufuli aliweka wazi!!Ushari ni kwamba bila kujali mwekezaji katoka wapi kuwe na uwazi kwenye mikataba ya kitaifa. Magufuli aliweka mikataba ya madini wazi. Utekelezaji hatujui lakini Mama yetu ni msiri msiri bila sababu. Ingawa huu uwekezaji tumegundua sio wa kweli ni vizuri kuongeza uwazi. Watu wana lalamikia uwazi sio nani kapewa.
Nitajie mkataba mmja tuu ambao wewe unaujua uliwekwa wazi awamu ya MagufuliUshari ni kwamba bila kujali mwekezaji katoka wapi kuwe na uwazi kwenye mikataba ya kitaifa. Magufuli aliweka mikataba ya madini wazi. Utekelezaji hatujui lakini Mama yetu ni msiri msiri bila sababu. Ingawa huu uwekezaji tumegundua sio wa kweli ni vizuri kuongeza uwazi. Watu wana lalamikia uwazi sio nani kapewa.
Unakumbatia Rasilimali ambazo huna uwezo wake kuzichakata?Huo ndio ukweli, kukumbatia raslimali kwa wivu hatuwezi kutoboa
vipi loliondo Mkuu tunapata gawio kiasi kila mwezi/mwaka!Tangu lini wawekezaji wakauziwa Ardhi ya Nchi?
Kwani Loliondo kimeuzwa? Si Kuna waliojenga mahoteli na waliochukua leseni za uwandaji au?vipi loliondo Mkuu tunapata gawio kiasi kila mwezi/mwaka!
Huwa nasikiliza sana bunge letu na Huwa naona hesabu kutoka taasisi mbali mbali lakini za hapo nilipo sijawahi sikia Mkuu ndo maana nimeuliza ili kupata ufahamu tu!Kwani Loliondo kimeuzwa? Si Kuna waliojenga mahoteli na waliochukua leseni za uwandaji au?
Kiasi gani mnapata nenda mamlaka husika ya Ngorongoro watakupa hesabu.
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.
My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch kama China inavyofanya Peru na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia.
View: https://youtu.be/EuCAghUvins?feature=shared
Binafsi napendelea hii Bandari ijengwe haraka,tumecheleshwa sana ndugu zangu 👇👇
media="youtube:8oPVZVrymdk"]
View: https://youtu.be/8oPVZVrymdk?feature=shared[/URL]
====
Saudi Arabia ilitangaza uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani.
Uwekezaji huu mkubwa una lengo la kufungua kufungua fursa mpya za uwekezaji kwa kampuni za Saudi Arabia katika sekta muhimu, na kutoa fursa za masoko kwa kusafirisha bidhaa za Saudi kwenda katika masoko ya Afrika.
****
In a major strategic move, the Kingdom of Saudi Arabia announced its acquisition of Bagamoyo Port in Tanzania, as part of the “East Gate” project, which aims to enhance the region’s position as a global trade hub.
This huge investment comes within the framework of the Kingdom’s efforts to open new investment horizons for Saudi companies in vital sectors, and provide marketing outlets for exporting Saudi products to African markets.
Project details
Port location: Bagamoyo Port is located on the eastern coast of Tanzania, and is considered one of the most important ports in East Africa.
Total area: The project area is 800 hectares, making it one of the largest maritime projects in the region.
Capacity: The port will be able to accommodate 20 million containers annually upon completion, making it a strong competitor to major ports in the region such as Mombasa Port in Kenya and Dar es Salaam Port in Tanzania.
Project cost: The total cost of the project is $10 billion, which includes the development of infrastructure and logistics facilities.
Angalizo:
Zingatia Taarifa ya Serikali ya Tanzania & Saudia kwamba Bandari ya Bagamoyo Haijuzwa Wala Kutolewa popote.
View: https://www.instagram.com/p/DGBF7YZo7h9/?igsh=c2JjbGMwdGdoY2Z2
[URL unfurl
View attachment 3236004
Source: Archup.net

Kila kitu omani sasa mna wajomba wapya mungu amipe kheri na barakaWaarabu ni wajomba zetu.
Muda si muda tutawapa tena uwanja wa ndege wa DSM-JNIA.
Pia tuko na mazungumzo na wajomba wetu wa Oman tuwape moja kwa moja SGR yetu... maana Kidogosana anaelekea amechemka
Kwa hiyo unataka tuseme iraq au iran?Kila kitu omani sasa mna wajomba wapya mungu amipe kheri na baraka
Sasa basi haina haja kusema omani omani
Kweli Mjomba Ana heshims yake lakini mmetusema saana hata wajomba wakahuzunika tunawaombea kheri na barakaKwa hiyo unataka tuseme iraq au iran?
Mjomba ana heshima yake
Subiri mwezi ujao uone baraka za wajomba: watashusha land cruiser LC 300 kwa kila kiongozi wa ccm kuanzia wilaya hadi taifa.Kweli Mjomba Ana heshims yake lakini mmetusema saana hata wajomba wakahuzunika tunawaombea kheri na baraka
Mjomba wa zamani au mpya,wazamani usitegemee ,mpya mtajuana wenyeweSubiri mwezi ujao uone baraka za wajomba: watashusha land cruiser LC 300 kwa kila kiongozi wa ccm kuanzia wilaya hadi taifa.
Mjomba wa zamani au mpya,wazamani ustigemee mjomba mpya mtajuana wenyewe