Sauli: Bilionea ambaye Wazungu/Wageni wanamtambua Waswahili hatujamfahamu kabisa

Kwa taarifa tu pale chunya pana madon wa madini zaidi ya Sauli.. Sauli anaonekana ndio mjanja nyuma ya mabosi wa madini kwa kuwekeza kwenye Usafiri.. Ni mjanja sana jamaa.. alimfanyia ukanjanja mzungu mmoja kilichoendelea anakijua mwenyewe
 
Hapa kuna mazingira yanaandaliwa mtu kupigwa, chezea wabeshi wewe.
 
Umechanganya madesa mkuu
Sauli anaesemwa hapa ni jamaa doni wa madini kule Chunya ndie anaemiliki mabasi ya SAULI
 
toka Kusini mwa Afrika
Huu ni uongo, mwezi uliopita ambao ni wa 5, SA watu wake wote walisweka lock down na kulikuwa hakuna ndege inayotoka na kuingia SA wala Tanzania, hao watasha walifikaje Tanzania kama sio story za kuungaunga hizi.... Ungo mwingine bwana hauna maana.
 
Acha uongo hiyo AVA kaichonga master fabricant kampun ya Kenya ndio inachonga bus za asante rabi zote na sasa hivi kamchongea chuma itaanza root soon

Hujaona hiyo Saul Mpya DTF alikabidhiwa kutoka ofc za scania Dar kaangalie page ya Saul utaona hzo hazijachongwa na ndio sasa hivi inaongoza rout ya Mbeya Dar toka imekuja hiyo DTF inakanyaga mafuta balaaa na hyo Benz nayo haijachongwa ata ukiangalia service yake sio ya kitoto.


Saul kafuta utawala wa deer sahv wakina DPK wanamjua vzur
 
Issue hapo ni kuwa hizo Gemilang zinakuwa assembled Kenya na kampuni hiyo ya AVA. Zinakuja kama body parts zikiwa fully completed toka Malaysia na hapo kenya wanaziunganisha tu.

Yaani kampuni ya Gemilang imeshirikiana na kampuni ya Kenya kufanya uwekezaji East Africa. So hizo ni Gemilang Original kama zile za Malaysia...maana hata huko Asia wanafata utaratibu ule ule wa kuunda body zao..

Yeye anasema hizo ni za kuchonga tu, hapana. Ni assembly...yaani unaunganisha kitu ambacho tayari kilishatengenezwa huko Malaysia.
 
Dogo acha uongo huyo Sauli wakati wa Utawala wa Mkapa alikuwa wa kawaida sana. Acha kutengeneza stori
 
Mkuu acha uongo Sauli kaanza na mabus 3 mwaka 2019 mwezi wa kwanza
300drh
226dpc
685dpn

kwa sasa kaongeza zingne 3 ila katoa gari moja kwanz ambayo ni DTF ndio maana akaongeza ruti ya Tunduma
 
 
Hapa umetudanganya mchana kweupe. 75Km ni kama kutoka mbeya mjini mpaka tukuyu.

Eti alikuwa anatumia dakika 6??? Tuache utani.
na km 75 ni sawa na kutoka Mbeya to Chunya

wenzako walikua wabishi kama wewe likawekwa dau mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…