Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwa hiyo shida ni matuta na siyo speed. Sijui ndugu kama ulifika hata La Saba BKulegea kwa bolt hasa unavyokutana na tuta na kuvunja spling za gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo shida ni matuta na siyo speed. Sijui ndugu kama ulifika hata La Saba BKulegea kwa bolt hasa unavyokutana na tuta na kuvunja spling za gari
Ushawahi miliki au endesha japo mkokoteni maana kwenye guta ntakuwa nmekuonea sanaKwa hiyo shida ni matuta na siyo speed. Sijui ndugu kama ulifika hata La Saba B
Nomeona Katalama pia madereva wanayaendesha rough sana sijui kama yatadumuBiashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji.
Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi mengi kuharibika na kwayo kutumia gharama kubwa kwenye matengenezo na mwisho kushindwa kujiendesha na wadai wakafilisi vyao.
Mwisho wa siku Sauli imebaki simulizi.
NB: Kisbo ana bahati ya kung'amua mapema kurejea kwenye ustaarabu vinginevyo naye ingeshabaki simulizi.
Boss Simagunga, pia alikuwepo Mohammed Trans, Mombasa Raha hiyo njia ya Mwanza haitaki ubabaishajiUtajiri wa magari ni mgumu sana.Kulikuwa na tajiri mmoja Dar lux sijui kaishia wapi nae
Boss Simagunga, pia alikuwepo Mohammed Trans, Mombasa Raha hiyo njia ya Mwanza haitaki ubabaishaji
Yule atakuja kulia kilio cha mbwaNomeona Katalama pia madereva wanayaendesha rough sana sijui kama yatadumu
Nchambi's a.k.a Mombasa rahaBoss Simagunga, pia alikuwepo Mohammed Trans, Mombasa Raha hiyo njia ya Mwanza haitaki ubabaishaji
Vyuma tuachieni waarabu....
Inaonekana hujui hata ukichomaanisha ndyo maana hujui nikichomaanisha piaSoma kwa kuelewa siyo kujibu tu kama bata mwenye kideri
Nini kinafanya yutong ishindwe kupambana na zhongtong mkuu?Unit za yiutong bado asingetoboa, for the record sauli kama alivyo katarama mwanza wanakua tofauti na wapinzani wao kwa sababu wanatumia unit za scania,
Yuotong haiwezi pambana na zhongtong ambazo tayari wapinzani wake wakuu, newforce na Achimwene wanatumia. Angefeli mapema kweupe.
Mbna kina Kilimanjaro express,happy nation,machame investment,tilisho,dar express,osaka,lim safari,ibra line,marangu coach,arusha exp, Kandahar nk wapo toka kitamboMtanzania gani utampa investment ya mamilioni akakutafutie pesa kama wanavyoita wao?
Ukweli mchungu hakuna mwenye bus au Lori atatoboa.
Hata latra hilo wanajua.
Wote unaowaona ni just a matter of time.
Mbna kina Kilimanjaro express,happy nation,machame investment,tilisho,dar express,osaka,lim safari,ibra line,marangu coach,arusha exp, Kandahar nk wapo toka kitambo
Nadhani Abood ndio the GOAT wa mabasi yote nchini,miaka takribani 40,ascandinavia kavuma maika michache sana haizidi 20Biashara ya mabus walifaulu Scandinavia pekee, na ndio walioleta mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria kwa njia ya mabasi hapa Tanzania
Naona afadhali ya MaloriWanaganga njaa tu hao.
Mswahilu hapewi jukumu la kuleta mapato.
Mtegemee kuongeza michepuko tu.
Wako wapi Hood, Scandinavia, Mombasa Raha, akamba, city boy, sumry, lushanga, nk?
Wabunge usiweke kwenye list hapo tafadhali.
Rule of the thumb, nunua bus unufaishe konda, dereva, mpiga debe, fundi, polisi na latra.
Wenye mabasi na malori ni wenye kustahili pole!
Hiyo pekee haiwezi kuwa sababu, biashara kubwa kama ina kanuni zake za kiuweledi kuzingatia kusema tu mwendo mkali ndio imeua biashara sio kweli, mbona wengine kama Allys ,katarama n.k wanaendelea vizr tu' au unawatabiriaje?Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji.
Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi mengi kuharibika na kwayo kutumia gharama kubwa kwenye matengenezo na mwisho kushindwa kujiendesha na wadai wakafilisi vyao.
Mwisho wa siku Sauli imebaki simulizi.
NB: Kisbo ana bahati ya kung'amua mapema kurejea kwenye ustaarabu vinginevyo naye ingeshabaki simulizi.