Nimesoma Vitabu kama Nane vya haya mauaji ya 2pac na Biggie ..nimeangalia Documentary nyingi na nimeangalia interview nyingi sana...
Kefe D ni mjinga sana...Ni kweli alikua kwenye Gari Iliyomuua Makaveli, na ni kweli kabisa wao ndio walihusika ila aliepiga risasi ni Orlando Anderson...Tena Orlando ilibidi Amuegemee Cousin wake...ndio Amlenge 2pac...Kefe D ni Mjomba wa Orlando...
Pdiddy anaingiaje?
Huko Nyuma Pdiddy kweli aliwahi mpa hiyo Offer Kefe D ya kumuua Makaveli...kefe D hakufanya...ikapita muda sana ikawa kama ishu imeshaisha muda...so siku ile ya pambano la Tyson wakina 2pac walivyompiga Orlando kule Las Vegas
Kina kefe D wakapata chance ya kumuua 2pac...
Ila sio kwasababu ya ile dola 1 milion hapana kwa sababu ya lile tukio la kumpiga Orlando anderson, Kefe D baada ya hapo akaenda kudai ile dola milioni kwa Pdiddy...sasa Pdidy kwasababu anamuogopa KefeD akamwambia nimempa drug Kingpin wa new york...yule alieorder 50cent apigwe risasi
Maana ndie aliewaunganisha diddy na kefe D
Siku ya tukio Baada ya 2pac Kupigwa risasi Suge Knight alichungulia gari walilokua kina KefeD...na wakakutana uso kwa uso na KefeD...akabaki na mshangao maana wamekua wote na ni marafiki tokea utoto wao
Baadhi ya watu waliokua kwenye gari ya kefeD bado wapo hai na nafkiri watakamatwa...police wanajua kila kitu ila makelele yamekua mengi ndio wanamkamata kefe D
Orlando aliuawa miaka michache baadae kwenye shoot out kwenye carwash moja.
Nakaribisha maswali ila usiulize kama unakejeli!
View attachment 2791869View attachment 2791870View attachment 2791872